LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Mnaonaje huyu mnyama wa Ukraine ashadungua ndege za Urisi za kutosha na kufyeka vifaru kama vyote
20220225_202904.jpg
 
Ukraine yavunja Daraja kuchelewesha Askari wa Urusi kuteka mji mkuu, wakati huo huo Marekani inajiandaa kupeleka msaada wa kijeshi wa 600 million USD.

Pia Kuna Taarifa za Urusi imepoteza Umiliki wa Uwanja wa ndege waliouteka, na vikosi vya Urusi kushindwa mpakani mwa Beralus.

Why Ukraine hata wakipigwa wanatoa taarifa ila Urusi anaficha
Hii vita jinsi ya Ukraine kushinda bila kupoteza muda ni kugeuza vita kutoka kupambana na jeshi la urusi na kumgeukia Putin na wasaidizi wake. Wamsake Putin tu na wasaidizi wake
 
China hawez sema hivo China mnafiki na selfish anaangaliaga maslahi yake tu China na urusi wote n wajamaa wote n magaid tu
 
Hakuna vita rahisi, wote sisi humu ni mashabiki maandazi tunaosubiria misaada..
 
Hahaha,Urusi yavamia rasmi Ukraine,majeshi ya Kirusi yako kilometre 11 kuingia mji mkuu wa Ukraine

Vikosi vya Kirusi vimeshika kituo kikubwa cha Nuclear cha Chanoby,vikosi vya Kirusi vimeshika kiwanja cha ndege kilichoko karibu na Kiev..

Putin katoa onyo kali kwa nchi yoyote itakoyoingilia mzozo huo,itapata pigo la kihistoria

Sources,BBC,AL JAZEERA
 
Achana na propaganda za nchi za magharibi hizo.

Kwanza, China ndo walomtosa US kwa kumwambia Putin kwamba US walikuwa wakiteta nao ili wambembeleze Putin asiivamie Ukraine.

Pili, kusikia hivyo Putin (kama wafuatilia) akaenda China mwanzoni mwa michezo ya Olimpiki na akahakikishiwa taarifa hizo (za kuhusu US) kwamba Biden alikuwa akiwaomba China tangu mwezi November 2021 waongee na Putin, China akakataa.

Tafuta gazeti la New York Times wameandika habari hii.

Tatu, nimeeleza mara nyingi humu kwamba Russia hawakupanga jambo hili(kuivamia Ukraine) jana au juzi ni jambo la kitambo tangu 2014 na wengine wasema ni nyuma zaidi ya hapo walikuwa wakiwasoma Ukraine kwa ukaribu.

Saa hii majeshi ya Russia yapo ndani ya Kyiv na kufikia jumamosi au jumapili tutasikia habari zingine.
 
Back
Top Bottom