jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
Tuendelee kula mtori nyama tutazikuta chini.Kuongezea tena
Russia wapo vizuri sana kwenye mifumo ya air defense. Tumeona jinsi S-200, S-300, S-400 na sasa hivi kuna hii S-500 air defense inayoweza ku locate object tokea huko Europe.
Tumeona pia Russia walivyo wazuri kwenye Electronic Warfare tokea kipindi kile Elon Musk analalamika mpaka sasa hivi USA na Ukraine wanasema kwamba HIMMARS zimekuwa non functioning kutokana na jamming.
Lakini eti kuna mpiga punyeto mmoja anakuja kuleta habari za eti Russia hakuna kitu, Russia wapo hoi.
Naomba niongeze tena hapaHuyu jamaa ni mpiga punyeto tu.
Kuna swala la comparative advantage. Nchi haiwezi kujitosheleza kwa kila kitu kwa 100%. Hata hao US kwenye chips wanategemea toka Taiwan na China... je utasema US wapo weak kwenye electronics?
Russia wamewekeza kwenye energy... nuclear energy russia is number 1, kwenye gas Russia is number 1.. huko ndiko kwenye advantage kwao..
Na ndio maana nchi zinakuwa na bilateral agreements na nchi rafiki ili ziweze kusaidia kwenye maeneo ambayo ni weak kwako na strong kwa mwenzako.
Nachoona mimi punyeto imemuharibu kichwa kabisa.
Huyu alishasema kwamba, Ukraine wasipofanya counteroffensive, wafadhili wayavunjika moyo...[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
[emoji845][emoji1255][emoji2526]Ukraine will have "terrible losses": the President of the Czech Republic and the ex-NATO general warned Kyiv against haste with a counteroffensive
[emoji3502]The well-known Russophobe, the former head of the NATO Military Committee, and now the leader of the Czech Republic, Petr Pavel, warned that Kyiv would inevitably face "terrible losses" - regardless of the strength of its forces.
[emoji3502]Kiev cannot afford the counter-offensive to fail, and therefore there is no need to rush, he stressed.
[emoji3502] “For some, it may be tempting to push them (the Ukrainian army) to show some results. It will be extremely harmful for Ukraine if this counter-offensive fails, because there will be no other chance, at least this year," Pavel said and mentioned that he had warned President Zelensky and Prime Minister Shmyhal during a recent trip to Kiev.
t.me/RVvoenkorView attachment 2613468
Habari mbaya sana hii kwa sisi mashabiki wa Ukraine ... sasa itakuwaje..[emoji1][emoji1]Wagner leader Yevgeny Prigozhin says he has received “a promise” of more ammunition from the Russian army, after he threatened to pull his frontline Wagner troops out of Bakhmut.
Wagner chief ‘promised’ more arms after pullout threat
All the updates from May 7: Yevgeny Prigozhin says arms have been pledged for Moscow's Bakhmut offensive.aje.io
Huyo mishipa ya fahamu ilishalegea kitambo sambamba na mishipa ya mboo.Bado kuna yule mpiga punyeto wa kutoka huku mchambawima atakwambia eti Russia wana hali mbaya kiuchumi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu alishasema kwamba, Ukraine wasipofanya counteroffensive, wafadhili wayavunjika moyo...
Sasa sijui hiyo counteroffensive itafanyikaje wakati Russia anashambulia kambi za wanamgambo wa Ukraine
Iraq aina bandari unalijua ilo?.tuambie sasa yakutoka Iraq unayapeleka tena nchi gani?.Yanaenda iraq aliko wapiga kwanza ndio yana safirishwa. Ndio umuhimu wa ku win war sio battle
Zimepigwa zote.
View attachment 2613489
Tena huko Iraq unaposema Walishatimuliwa wamebakiza kambi moja tu tena trump angekuwepo mpaka leo basi iyo kambi angeshaifunga maana usalama wa wanajeshi wake ni mdogo kwa sababu ya mashambulizi.Iraq awapatani hata kidogo na Marekani.Yanaenda iraq aliko wapiga kwanza ndio yana safirishwa. Ndio umuhimu wa ku win war sio battle