Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


China hawez kuishusha kiuchumi kwa sasa wale jamaa wamewaletea corona ila bado wapo vzr
 
hili nimeliona pia katika twita page ya ministry of defens russian.arabic page ukitrans late reply zs warab zote wanafurahia
 
Mionzi itakufikia tu japo kidogo.
Usiombe hii vita.

Mrusia akirusha USA naye anarusha yanakutana anga za Afrika. Lazima madhara yakukute.
Apo mwanzo upo sawa ila sehem ya pili nahisi umeteleza kidogo...

Angalia hili tufe



Ile raman plain achana nayo sasa apo safari ya kutoka Russia kwenda USA anga la Afrika unapita kutafuta nn [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Au waamini Singapore akitaka kwenda marekan mpk apite afrika avuke ndo aende Marekan?....

Hyo raman ukiichukiulia kama ilivo mezan utaishi kwa kuamini kua umbali wa kutoka Russia kwenda USA ni mbali sana au kwa lugha nyingine kua East na West ziko mbaaali kiivo...

Ushawah kuwaza tu baada ya Far east au Far west uko unaenda wapi?

Ukichukua raman ile ya tufe ndo inaelekeza vizuri...



Ila hii ya Plain detail zake unaeza ishi maisha yote ukiamin South Korea to USA ziko mbali mbaaaaaali mno na kwamba kutoka korea bas mpk upite Africa uvuke ndo uingie marekan...



Ila kumbe uhalisia wa Flights uko hivi

 

Kiev claims NATO will defend arms convoys to Ukraine against Russia​


“Today, the head of NATO… Mr. Stoltenberg has made a statement: if a single projectile, a single bullet hits a convoy that … [is delivering arms] to Ukraine, [NATO] will consider it a trigger for Article 5 [of the North Atlantic Treaty],” Danilov said while on air on Rada, the Ukrainian parliament's TV Channel.

Neither NATO nor Stoltenberg personally has made any public statements on Sunday confirming or denying Danilov’s assertion. The Ukrainian official’s statement comes a day after Russia’s Deputy Foreign Minister Sergey Ryabkov warned that Russia would consider arms convoys heading for Ukraine to be “legitimate targets” for Russian forces. Ryabkov has not elaborated on whether the convoys could be targeted on Ukrainian territory or elsewhere.
 
Umeelezea vizuri kaaabisa[emoji3577][emoji3577][emoji3577]
 
Bado hujawaelewa vizuri, wengi wanashangilia kwa sababu US alishambulia nchi zenye waislam wengi na sasa na upande wa pili wa shilingi.
 
Lengo la Putin ni kuiingiza NATO katika huu ugomvi ili aishambuie US hasa vituo vyake vya kijeshi vilivyoko katika nchi za NATO.

Pia, Putin anataka kutumia mgogoro wa kivita baina ya NATO na Russia, kuficha aibu ya kushindwa kuiteka Kiev mpaka sasa na pengine kutoshinda kabisa vita baina yake na Ukraine.

Linapokuja swala la vita baina ya NATO na Russia, Putin anaoa hana cha kupoteza na yuko teyari kutumia nyuklia hata kama dunia nzima itaangamia kwani ana hasira na chuki mbaya dhidi ya wamarekani, hivyo akipata sababu ya kutumia nyuklia dhidi ya Marekani au washirake wake, hatasita hata kama itakuwa ni kwa gharama ya dunia nzima.
 
Duh uko BUZA maeneo gani??
 
Hongera kwa kutimiza haki yako ya kutoa maoni.
👏👏👏
 
Nimetumia law of mtion. Suring collision two bodies can move together or move in a different direction.

Assume speed na mass ie conservation of linear momentum haujui yataelekea wapi after collisiib.

Ni maoni tu
 
Bado hujawaelewa vizuri, wengi wanashangilia kwa sababu US alishambulia nchi zenye waislam wengi na sasa na upande wa pili wa shilingi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na we ndo haujaelewa kabisa unaanza kuleta udini apa... So unataka kutwambia wote walio upande wa Mrusi ni waislam?

Tumechoshwa na ubabe wa Mmarekan tu kujifanya kila kona ya dunia ye ndo ana sauti... Askari wa dunia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Em toa Issue za Dini dini apa....
 
Nimetumia law of mtion. Suring collision two bodies can move together or move in a different direction.

Assume speed na mass ie conservation of linear momentum haujui yataelekea wapi after collisiib.

Ni maoni tu
Yah nimekupata jomba... Ila nahisi zikikutana zitalipukia sehem zilipokutania...

Ila kwa kua anga ni lile lile na hewa siku zote ipo kwe motion itadhuru kila kona ya dunia....
 
Poor uchambuzi
 
Ukweli ni kwamba bila ya mmarekani kusingekua na vita za kizembe na kumwagana damu ovyo, sera yake ni mbaya sana kwa ulimwengu wa dunia tena hatari kabisa, anasababisha migogoro mengi sana kiasi ambacho anaziingiza nchi migogoro ambayo haiwahusu, mifano mengi tumeona na tunaendelea kuona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…