kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Bahati nzuri vita vilivyopiganwa ulikuwepo si historia ila kujizima data na kujitoa ufahamu kuhusu vita hizoMkuu kwa nini wavamie Urusi? NATO haitaki kuvamia Urusi. Kazi yake si kushambulia nchi, ni maungano ya kuteteana. NATO haikuwahi kushambulia nchi.
(Ukipenda kuleta tena orodha ya Libya, Iraki, Afghanistan na kadhalika: hapana hizo zote hazikuwa mashambulizi ya NATO; Afghanistan ilikuwa jibu kwa shambulio dhidi ya nchi mwanachama, Libya ilikuwa kufuatana na agizo la Umoja wa Mataifa, Iraki 1 ilikuwa jibu la uvamizi wa Kuwait, Iraki 2 ilikuwa vita ya Marekani, si ya NATO; Kuingia kwa NATO Yugoslavia ilifuata azimio 816 ya Baraza la Usalama ya Umoja wa Mataifa na ombi la Katibu Mkuu, kwa shabaha ya kusimamisha Waserbia waliolenga kuangamiza Waislamu wa Bosnia).
Nakazia [emoji116][emoji116]Russia inapambana kuisambratisha mitambo miwii ya kuzuia makombora toka Marekani na Ujerumani iliyoko Ukraine. Mitambo hiyo aina ya "Patriotic" inaweza kutambua makombora yakiwa umbali mrefu sana hivyo kuwa na uwezo wa kuzuia makombora ya masafa ya kati ya Russia.
Kutokana na uwezo huo wa kutambua makombora (Detect) yakiwa mbali, hali hiyo inaifanya mitambo hiyo pia kuwa dhaifu kudukuliwa mahali ilipo. Tofauti na mitambo mingine ya kudungulia makombora ambayo inahamishika, Patriotic haihamishiki hivyo kufanya kama masafa yake yakidukuliwa kuwa rahisi kushambuliwa na Makombora ya adui,
Mitambo hiyo ambayo tangu iingie Ukraine ina chini ya mwezi, imepelekwa huko mapema baada ya wanajeshi wa Ukraine kufuzu mafunzo ya awali ya matumizi ya mitambo hiyo mapema zaidi kuliko ilivyotarajiwa.
Sasa mitambo hiyo ndiyo inatumika kudungulia makombora ya Russia aina ya Hypersonic ya Kinzhal au Killjoy. Russia imesema mitambo hiyo ndiyo itakuwa lengo la kwanza kushambuliwa na makombora kwa lengo ya kuendelea kulifanya anga la Ukraine kuwa tupu dhidi ya mashambulizi hayo ya Russia.
Mei 6 Mwaka huu baada ya masafa ya Patriotic kudukuliwa na Russia, Russia ilirusha makombora kadhaa aina ya Kinzhal kwa lengo ya kuushambulia mmojawapo wa mitambo hiyo lakini makombora hayo yalidunguliwa na mitambo hiyo.
Kutokana na Russia kuwa na uwezo wa kudukua masafa ya mitambo hiyo hata kama kuna masafa Kanyaboya (camouflage frequency) yanayotumiwa na mitambo hiyo kupoteza ilipo, wizara ya Ulinzi ya Marekani na Jeshi la Ukraine wanatafuta njia ya kuilinda mitambo hiyo ili isishambuliwe na Russia kwa kuongeza ulinzi wa kielektronik ili kulinda masafa ya mitambo hiyo yasitambuliwe wakati ikitafuta uelekeo wa makombora yanayorushwa toka Russia.
.Russia inapambana kuisambratisha mitambo miwii ya kuzuia makombora toka Marekani na Ujerumani iliyoko Ukraine. Mitambo hiyo aina ya "Patriotic" inaweza kutambua makombora yakiwa umbali mrefu sana hivyo kuwa na uwezo wa kuzuia makombora ya masafa ya kati ya Russia.
Kutokana na uwezo huo wa kutambua makombora (Detect) yakiwa mbali, hali hiyo inaifanya mitambo hiyo pia kuwa dhaifu kudukuliwa mahali ilipo. Tofauti na mitambo mingine ya kudungulia makombora ambayo inahamishika, Patriotic haihamishiki hivyo kufanya kama masafa yake yakidukuliwa kuwa rahisi kushambuliwa na Makombora ya adui,
Mitambo hiyo ambayo tangu iingie Ukraine ina chini ya mwezi, imepelekwa huko mapema baada ya wanajeshi wa Ukraine kufuzu mafunzo ya awali ya matumizi ya mitambo hiyo mapema zaidi kuliko ilivyotarajiwa.
Sasa mitambo hiyo ndiyo inatumika kudungulia makombora ya Russia aina ya Hypersonic ya Kinzhal au Killjoy. Russia imesema mitambo hiyo ndiyo itakuwa lengo la kwanza kushambuliwa na makombora kwa lengo ya kuendelea kulifanya anga la Ukraine kuwa tupu dhidi ya mashambulizi hayo ya Russia.
Mei 6 Mwaka huu baada ya masafa ya Patriotic kudukuliwa na Russia, Russia ilirusha makombora kadhaa aina ya Kinzhal kwa lengo ya kuushambulia mmojawapo wa mitambo hiyo lakini makombora hayo yalidunguliwa na mitambo hiyo.
Kutokana na Russia kuwa na uwezo wa kudukua masafa ya mitambo hiyo hata kama kuna masafa Kanyaboya (camouflage frequency) yanayotumiwa na mitambo hiyo kupoteza ilipo, wizara ya Ulinzi ya Marekani na Jeshi la Ukraine wanatafuta njia ya kuilinda mitambo hiyo ili isishambuliwe na Russia kwa kuongeza ulinzi wa kielektronik ili kulinda masafa ya mitambo hiyo yasitambuliwe wakati ikitafuta uelekeo wa makombora yanayorushwa toka Russia.
Huyu Aliyetoa hii komenti bado yumo humu??Tatizo watz tuna ujuaji wa kinonko sana.
Urusi ikiamua itaivamia Ukraine na Marekani hatofanya chochote zaidi kulialia na kuweka vikwazo.
Iwapo vita itatokea nakuhakikishia jeshi la Ukraine halitaweza kuhimili nguvu ya jeshi la Urusi hata ndani ya wiki mbili.
Mkuu acha kujitekenya na kucheka mwenyeweWagner wanasema wameanza UA wanajeshi wa Russia wanaokimbia lindo
Ukraine imekamata 17.5sqkm
Swali zuri sana.Je Russia anashikilia asilimia ngapi ya bhakhmut?
Ndio siku hizi anaitwa UTI.Huyu Aliyetoa hii komenti bado yumo humu??
We naye;Huyu Aliyetoa hii komenti bado yumo humu??
NATO??We naye;
1. Ukraine alishakwisha zamani waliobaki ni NATO.
2. Vita bado. Hii n SMO tu.
Sasa asiwepo aende wapi
Ndio ujue ukubwa wa wagnerNATO??
NATO wawepo Ukraine halafu Wagner bado waendele kurandaranda kwenye Mitaa ya Bakhmut??
Bado unaiita SMO wakati Putin mwenyewe wakati wa "Victory Parade" aliita vita wewe ni nani unayeendelea kuiita SMO??
Acheni maskhara nyie. Yaani kile kikundi cha mamluki ndiyo kipigane na NATO??Ndio ujue ukubwa wa wagner
Hahaha waambie watie mguu kwa kujidhihirisha wachakatwe vizur.Acheni maskhara nyie. Yaani kile kikundi cha mamluki ndiyo kipigane na NATO??
Hao Wagner wanatofauti gani na Blackwaters worldwide waliokuwa wanapigana kwa niaba ya Marekani kule Iraq?
Zile nchi haziendeshwi kienyeji kama Russia.Hahaha waambie watie mguu kwa kujidhihirisha wachakatwe vizur.
HawZile nchi haziendeshwi kienyeji kama Russia.
Unadhani unaweza kupeleka wanajeshi wa NATO vitani kinyemela bila ya wananchi wa nchi zao kujua!!??
Hivi mpaka sasa go ahead ya namna ukraine apigane agizo linatokea wapi?Zile nchi haziendeshwi kienyeji kama Russia.
Unadhani unaweza kupeleka wanajeshi wa NATO vitani kinyemela bila ya wananchi wa nchi zao kujua!!??