Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 13,481
- 26,392
Hawezi kujibu. Ukitaka kuwa rafiki yake, wewe mpatie chochote cha kumfariji, whether true or not. Karibu katika ulimwengu wa self-delusion & selective amnesia.Braza k.panya umesikia lkn kuhusu kulipuliwa kwa nyuklia???
Au ni propaganda???
Lkn hata zinapoletwaga habar za propaganda huwa unajibu inakuaje hili unalipita kimyakimya???
Mchaw lughaHawezi kujibu. Ukitaka kuwa rafiki yake, wewe mpatie chochote cha kumfariji, whether true or not. Karibu katika ulimwengu wa self-delusion & selective amnesia.
Mr Zelensky kwa sasa namfananisha na yale magari ya IST -- International Skeptical Tourist. Ataendelea kwenye mashaka na wasiwasi na kutangatanga huku na kule hadi awamalizie vitani watu wake wote.[emoji298][emoji298]Ukrainian President Volodymyr Zelensky has met with his French counterpart Emmanuel Macron in Paris.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ukraine wamepewa Kombora na UsMchawi lugha
VizurUkraine wamepewa Kombora na Us
S lililo expire mwaka 95
Anapiga tua wakat wenzake wanaish km tumbirZelensk yupo London
Hii vita imempaisha zelensiky kimataifa,anakula misele tu.., kweli dhahabu Ili iimarike ni lazima ipite kwenye moto Kwanza [emoji1787]Zelensk yupo London
Kama yule nguchiroAnapiga tua wakat wenzake wanaish km tumbir
Anaenda fata silaha mpyaHii vita imempaisha zelensiky kimataifa,anakula misele tu.., kweli dhahabu Ili iimarike ni lazima ipite kwenye moto Kwanza [emoji1787]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hiii ni Jana tu[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]nimesikia southern bukhmut Russia wamerudishwa 1km
Putin sidhani kama anaweza kutoka nje ya taifa lake hata kwa siku 2..., zelensiky yeye ni mwendo wa kukwea pipa tuMr Zelensky kwa sasa namfananisha na yale magari ya IST -- International Skeptical Tourist. Ataendelea kwenye mashaka na wasiwasi na kutangatanga huku na kule hadi awamalizie vitani watu wake wote.
Wazee wa deplete uranium mpooooo?
Akatafute nn hivi panya anaweza kutoka pangoni Kama ana chakula?Putin sidhani kama anaweza kutoka nje ya taifa lake hata kwa siku 2..., zelensiky yeye ni mwendo wa kukwea pipa tu
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Putin ni kama panya. Ok, ndo maana anajificha kwenye mahandakiAkatafute nn hivi panya anaweza kutoka pangoni Kama ana chakula?