Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Aseee..... Inabidi kucheka ... Punguza ujuaji dingiMwanzoni kabisa niliandika hisia ya mtaalamu mmoja aliyedai inawezekana Putin alitumia akili za FSB zaidi kuliko za jeshi. Ndio maana traitors, watoa targets na sympathizers walikuwa wengi ndani ya Ukraine wakielezea movements za majeshi, silaha zilipo, sites za AD, miundombinu muhimu. Baada ya Russia kuanza ua kiholela simphesizers wakaikataa, na Ukraine ikapiga operation kali kuondoa mamluki na sometimes walikiuka haki za binadamu.
FSB ndio iliwadanganya Warusi kwamba mambo yatakuwa kama Crimea twende na misururu. Wakati huko MI6 na CIA ilishawapanga Ukraine miezi miwili kabla wanabisha, baadae wakakubali mwishoni. Siku chache kabla tarehe ya kuvamia ilishajulikana na CIA. Hivyo ni sahihi Putin hakutaka kuiharibu Ukraine akijua kina Zelensky watatimua mbio
Uingeleza yasema itatoa Mamia ya makombora ya kujilinda dhidi ya mashambulizi ya anga
Itatoa pia Mamia ya Ndege za kujitoa mhanga zisizo na rubani, zenye uwezo wa kusafiri zaidi ya KM 200
Hii ina maana Ukraine atakuwa na uhakika wa kulipua chochote ndani ya Ukraine hadi Kerch
Kwamba hujaona kifurushi cha German?Angekua Germany ningetishika ila Uingereza ni taifa ambalo kwenye vita lilishapotea muda sana hata kuiweka Top 10 wanazingua.
Wewe ni chatbot??Kwani na wewe ni chatbot?
Mmeanza kubishana wenyewe kwa wenyewe tena.....Tulia mnyolewe vuzi na dogo zelensky , kuanzia leo ni kugongwa tu viichwani na vyuma vizito , Shadow storm hoyeeee
Walikuja wenzako kwa fujo mnooo ... Wamekimbia uzi.. tupo hapa
Uungwana ni vitendoHata mimi ni pro Ukraine, ila ukweli nikua wanetu wanachapika sio kidogo, cnn na bbc wanaendelea kutu feed wrong information as if ukraine inashinda japo kwa ground mambo ni tofauti sana.
Ukraine iliomba hizo F16 muda sana, tukiacha mbali uwezo wa silaha ujasusi una asilimia kubwa sana ya kukufanya ushinde au ushindwe, na katika hilo ipo wazi si ajabu ukakuta washauri wa Zelensky au watu wa karibu kabisa serikali ya Ukraine ni majasusi wa Russia.Tg Channel ya ukrein imeandika kama ifuatavyo.
#Слухи #Раскладка
Our source is inside that all European military gifts to Zelensky and the news that Ukrainian pilots will begin to be trained on F-16 aircraft in the summer, they will be handed over in the fall, as well as heating up the topic that the West is giving more and shifting the red lines, etc. All this is an attempt by Western players to force the Bear (Russia) to get out of the lair (defense), which will make the summer-autumn military campaign easier for the Armed Forces of Ukraine. In this scenario, the Armed Forces of Ukraine will have at least a chance of success, but breaking through the defense of the Russian Federation is suicide and “Russian roulette” for Bankova. After all, the losses will be huge, while the risk of failure is 80%, and the risk of losing new territories is 75%.