Maongezi ni kwamba Ukraine ikubali yaishe, iombe msamaha kwa usumbufu uliojitokeza na kuahidi hawatorudia tena huku wakiachana na mpango wa kurudisha maeneo yaliyopotea.Hebu turud kwenye uhalisia walau kwa uchache tuachane na ushabiki wa kuchagua upande
Sawa ndio wapiganaji wa Zele wamewaua urus zaid ya mia tano vp kuhusu gharama walizotumia ???
Unadhan kwa njia hii inaweza kuipa Ukraine kile ilichopoteza???
Binafs naamin suluhu ni moja tu nayo ni maongez tofaut na hapo Ukraine itaendelea kuwa eneo la kujaribia silaha mpya na kuharibu zilizoxpaya
Tena wasisikike kutamka wala kuandika neno NATO.Maongezi ni kwamba Ukraine ikubali yaishe, iombe msamaha kwa usumbufu uliojitokeza na kuahidi hawatorudia tena huku wakiachana na mpango wa kurudisha maeneo yaliyopotea.
AU
Urusi iondoke Ukraine na kuyaachia maeneo iliyoshika.
Wewe unaona hilo likitokea?
Mkuu unatumia mfano wa ajabu! Mchinjaji ni Urusi?Ukraine kazidiwa katika ujasusi wa kivita, hizo silaha anazo omba NATO zitazidi kuteketea tu, Ukraine ni kuku inayotapa tapa kwa kurusha mbawa huku na kule kwenye mikono ya mchinjaji mwenye kisu kikali.
Umoja wa ulaya utafanyaje? Umoja usiojiamulia Mambo mpaka upangiwe na marekani? Kwenye Vita hii umeona umesaidia nn zaidi ya video conference?Sijui Russia itavamia na Moldova maana nao wanaikimbia. Rais aliyechaguliwa hivi karibuni, Malia Saru ameanza mchakato wa kuiondoa Moldova kwenye Interparliamentary Assembly of Member Nations of the Commonwealth of Independent States (IPA CIS) umoja sawa na EU ya Russia. Wanachama ni hawa:
Azerbaijan
Armenia
Belarus
Kazakhstan
Kyrgyz Republic
Moldova (inatoka)
Russian Federation
Tajikistan
Ukraine (status haijulikani)
Uzbekistan
Kati yao Russia na Ukraine zinapigana, Azerbaijan na Armenia zimepigana mara mbili na hakuna kitu umoja huo umefanya. Spika wa Moldova kasema umoja wa CIS ni useless, wanaitafuta EU.
View attachment 2622756Juzi pale Serbia kulikuwa na maandamano, yangetokea Paris basi humu kelele zingekuwa nyingi. Moscow vigumu yatokee hawana uhuru huo.
Alafu Lukashenko tangu atoke Moscow mbona haonekani, kahudhuria maadhimisho ya Urusi akiwa na bandage ila maadhimisho ya nchini kwake kakosaView attachment 2622758
The President Lukashenko has just arrived at the central command post of the Air Force and Air Defense Forces.Sijui Russia itavamia na Moldova maana nao wanaikimbia. Rais aliyechaguliwa hivi karibuni, Malia Saru ameanza mchakato wa kuiondoa Moldova kwenye Interparliamentary Assembly of Member Nations of the Commonwealth of Independent States (IPA CIS) umoja sawa na EU ya Russia. Wanachama ni hawa:
Azerbaijan
Armenia
Belarus
Kazakhstan
Kyrgyz Republic
Moldova (inatoka)
Russian Federation
Tajikistan
Ukraine (status haijulikani)
Uzbekistan
Kati yao Russia na Ukraine zinapigana, Azerbaijan na Armenia zimepigana mara mbili na hakuna kitu umoja huo umefanya. Spika wa Moldova kasema umoja wa CIS ni useless, wanaitafuta EU.
View attachment 2622756Juzi pale Serbia kulikuwa na maandamano, yangetokea Paris basi humu kelele zingekuwa nyingi. Moscow vigumu yatokee hawana uhuru huo.
Alafu Lukashenko tangu atoke Moscow mbona haonekani, kahudhuria maadhimisho ya Urusi akiwa na bandage ila maadhimisho ya nchini kwake kakosaView attachment 2622758
Urusi haijawahi kutamka hivyoUkraine yasema kuwa ina makombora ya Storm Shadow ya kurusha 20 kila siku kwa Wiki 2 nzima
Hapo awali Urusi ilisema makombora waliyopewa ni machache
Suala siyo kukwea pipa na kurukaruka angani kama mbayuwayu. The point is, anakwea pipa kwenda kufanya nini? Kulialia na kuombaomba. Putin amejitosheleza almost to the brim katika nchi yake mwenyewe, ndiyo maana anawaza kuijenga nchi yake na kuwapatia wahitaji msaada.Putin sidhani kama anaweza kutoka nje ya taifa lake hata kwa siku 2..., zelensiky yeye ni mwendo wa kukwea pipa tu
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mkuu, HIMARS kwanza heshima yako! Please, mwambie Zelensky ayaweke yote kwenye depot moja, tuna kazi nazo sie wanachama kindakindaki wa MULTIPOLAR WORLD ORDER (MWO). 🙂Ukraine yasema kuwa ina makombora ya Storm Shadow ya kurusha 20 kila siku kwa Wiki 2 nzima
Hapo awali Urusi ilisema makombora waliyopewa ni machache
Ukraine Force wanapoteza Sana askali, Kama Jana mashambulizi kwenye maghara ya slaa za mabaki ya nuclear yalilipuliwa wote waliokuwa karibu waliungua mpaka mifupa kwa joto kali la mabaki ya nuclear toka UK waliyoleta kusaidia Ukraine.MoD Russia:
⚡️ Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation
(15 May 2023)
Part I (see Part II)
The Armed Forces of the Russian Federation continue the special military operation.
◽️ In Kupyansk direction, aviation and artillery of the Zapad Group of Forces have engaged the units of the Armed Forces of Ukraine (AFU) close to Sinkova and Berestovoye (Kharkov region).
◽️ In addition, thanks to the coordinated actions of units of the 138th Motorised Rifle Brigade near Dvurechnoye (Kharkov region), actions of three sabotage and reconnaissance groups were foiled overnight.
💥 The enemy has suffered losses of up to 145 Ukrainian troops, two armoured fighting vehicles, three motor vehicles, two Gvozdika self-propelled artillery systems, and one D-20 howitzer in this direction in the past 24 hours.
◽️ In Krasny Liman direction, Operational-Tactical and Army aviation and artillery of the Tsentr Group of Forces engaged the units of the Armed Forces of Ukraine close to Nevskoye (Lugansk People's Republic).
◽️ Units of the 76th Air Assault Division have neutralised two sabotage and reconnaissance groups near Chervonaya Dibrova (Lugansk People's Republic).
💥 The enemy has suffered losses of over 75 Ukrainian troops, two armoured fighting vehicles, three pick-up trucks, one Gvozdika self-propelled artillery system, and one D-30 howitzer in this direction in the past 24 hours.
◽️ In Donetsk direction, assault detachments continue the fiercest battles on the western outskirts of the city of Artyomovsk, as well as units of the 4th Motorised Rifle Brigade near Krasnoye (Donetsk People's Republic).
◽️ Operational-Tactical and Army aviation and artillery of the Yug Group of Forces have inflicted a fire damage on the units of the Armed Forces of Ukraine close to Chasov Yar and Bogdanovka (Donetsk People's Republic).
◽️ The Russian aviation have made 7 sorties in this area during the day. The Group's artillery have performed 72 firing missions.
💥 The enemy's losses in this direction during the day amounted to up to 235 Ukrainian servicemen and mercenaries, one tank, four armoured fighting vehicles, seven motor vehicles, and D-20, D-30, and Msta-B howitzers.
🔹 @mod_russia_en
⚡️ Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation
(15 May 2023)
Part II (see Part I)
◽️ In South Donetsk and Zaporozhye directions, aviation and artillery of the Vostok Group of Forces inflicted a fire damage on the AFU units close to Ugledar and Vodyanoye (Donetsk People's Republic). The enemy's losses have amounted to over 150 Ukrainian troops, and five motor vehicles in this direction during the day.
◽️ In Kherson direction, up to 30 Ukrainian troops, one armoured fighting vehicle, and four motor vehicles have been destroyed.
💥 Operational-Tactical and Army aviation, Missile Troops and Artillery of the Russian Group of Forces have engaged 68 AFU artillery units, manpower and hardware in 97 areas during the day.
◽️ One U.S.-made AN/TPQ-37 counter-battery radar station has been destroyed near Krivaya Luka (Donetsk People's Republic).
✈️ Fighter aviation of Russian Aerospace Forces has shot down Mi-24 and Mi-8 helicopters of Ukrainian Air Force near Selidovo and Brusovka (Donetsk People's Republic).
💥 Air defence forces have intercepted 7 HARM anti-radar missiles, one Storm Shadow long-range cruise missile, and 10 HIMARS MLRS projectiles during the day.
◽️ Moreover, 21 Ukrainian unmanned aerial vehicles were shot down close to Novopokrovka, Vodyanoye, Rabotino (Zaporozhye region), Lyubimovka, Novaya Kakhovka (Kherson region), Gorlovka, Peski, Volodino (Donetsk People's Republic), Kremennaya and Novokrasnyanka (Lugansk People's Republic).
📊 In total, 425 airplanes and 233 helicopters, 4,156 unmanned aerial vehicles, 421 air defence missile systems, 9,169 tanks and other armoured combat vehicles, 1,100 combat vehicles equipped with MLRS, 4,821 field artillery cannons and mortars, as well as 10,214 units of special military equipment have been destroyed during the special military operation.
🔹 @mod_russia_en
Ukiniona mm niko kimya, ujue niko frontline kule ndanindani kabisa, mkuu. Lazima NATO ijifunze kitu mwaka huu. Nasikia JB anaandaa package mpya baada ya lile la hivi majuzi kufumuliwa na kuteketezwa na Iskanda dee Big bullet 🙂Hahahahah
Ngoja kwanza muda wake haujafika, ukifika lazima mkimbie humu