T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Nimemuona mzee. Hawa viongozi wetu sometimes wanachoka na safari na appearances za lazima wasipokuwepo kunakuwa na mashakaThe President Lukashenko has just arrived at the central command post of the Air Force and Air Defense Forces.View attachment 2622825
Ukiniona mm niko kimya, uje niko frontline, mkuu. Lazima NATO ijifunze kitu mwaka huu. Nasikia JB anaandaa package mpya baada ya lile la hivi majuzi kufumuliwa na kuteketezwa na Iskanda dee Big bullet 🙂
Wacha waipate maana Poland amekuwa Kama mbwa koko wa USA, kila siku kanabweka tu kameweka mkia matakoni. Kuna nchi zinajiona super power ndani ya NATO Kama Poland.Kwa wasiojua, sasa hivi Poland imeanza kulalamika kuhusu Uranium ya huko Ukraine kwamba inaweza kuwaathili na wao pia.
Radioactive level imekuwa juu sana.
Huna unachokijuaMkuu yule dikteta mfupi mnene wa taifa lenye njaa hajawahi kuelekeza roketi wala Korea Kusini wala Japani. Anarusha roketi zake baharini pande mbalimbali. Hakujaribu kulenga eneo la nchi yoyote. Lakini anapenda kupiga makelele. Wapenda makelele wanamshangilia, wenye akili timamu wanampuuza.
Trump alipomwambia "Roketi zangu ni kubwa kuliko zako" alianza mara moja kutangaza upendo wake kwa Trumpi, sivyo?
NATO Hawaitak ukrein kama donbas itakua huru maana watashindwa kumsumbua Urusi...na Urusi anataka Donbas iwe "buffer zone" kati yake na NATO..ndio maana Urusi haitaki Ukrain yote...maana Poland watamsumbuaKwa hiyo starting point ni mpaka Ukraine waishindi Russia.... mbona sasa wanaanza kumuwekea conditions...?
Drugs addict.
View attachment 2623155
Tangu SMO ianze hajawahi kutangatanga, sanasana alienda kwenye miji aliyofukuza wanazi na kufanya ziara za kutosha...huyo ndio baba bora, nyumbani kukiwa na shida huendi kushinda bar na kwenye makasino, unashikamana na familia yako hata kama majirani watakutenga kwa nguvu zote.Akianza ziara ya kwenda China, Iran, India kutengeneza uhusiano na nchi yake kuhusiana na SMO atakuwa sawa ila Zele akifanya ziara kuhusiana na Same operation ambayo kwake ni vita anakuwa mbaiwayu. Hahahaha. Kwanini Action zinazofanana ziwe na implication zisizofanana?
Hizi storm shadow zinaendelea tu Kula vichwa
One of the militant leaders, Igor Kornet, was blown up in #Luhansk. He survived, but is in intensive care, his condition is extremely seriousView attachment 2623060
Drugs addict.
View attachment 2623155