Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hali ya Bakhmut ni mbaya kwa Wanajeshi wa Ukraine. Vikosi vya Ukraine vimelazimika kutoka nje ya majengo mengi ya marefu wakati wa usiku, ili wasiweze kuzingirwa, baada ya timu za washambuliaji za PMC Wagner kuvunja ngome zao za ulinzi kwenye mtaa wa Levanevskogo
 
Naomba nisihusishwe na madhara yoyote yatakayojitokeza frontline, maana nimeshatoa tahadhari mapema.

Mwambieni Zelensky awaondoe vijana wake frontline haraka ili kunusuru maisha yao, vinginevyo watapigika mwaka huu kama ngoma ya Wazaramo.
 
Russia spent at least 120 million dollars on today's night attack on Ukraine

The data was calculated by the Ukrainian outlet Economichna Pravda:

[emoji837] A Kalibr missile costs $6.5 million, i.e. the total cost of those fired at night (9 pieces) is $58.5 million.

[emoji837] A Kh-47 Kinzhal hypersonic missile can cost 10 million dollars and more, so the total cost of 6 launches is at least 60 million dollars.

[emoji837] Iranian attack drones Shahed-136/131, according to information in open sources, cost from $20,000 dollars up to $50,000 per unit. On average, six such UAVs cost $280,000.

[emoji837] A Russian drone "Orlan-10" costs $100,000, according to the General Staff.

[emoji837] There is no data on the price of the SuperCam drone in open sources, so it is assumed that it is close to the price of the Orlan-10 UAV. Therefore, three drones cost about $300,000.

So, in general, the missiles and drones launched over Ukraine on the night of May 16 cost about $119.08 million.

Join our telegram channel for more videos - link in comments



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mzgo kidogo kutoka nje laakin kipigo kinatengenezwa pale Russia.
 
Kazia kwa Maneno bila msaada kutoka kwa upinde.
 
Huyu alishasema kwamba, Ukraine wasipofanya counteroffensive, wafadhili wayavunjika moyo...

Sasa sijui hiyo counteroffensive itafanyikaje wakati Russia anashambulia kambi za wanamgambo wa Ukraine
Wanapigwa Vibaya na Mm sijawahi Kuona vita unayomwambia adui nitakuja kukupiga siku flani...Yaani Ni wababaishaji sana
 
Hii maana yake kama watakuwa washirika maana yake mmarekani akileta ujinga hapo Taiwan tegemea mrusi kutia jeshi hapo uchina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…