lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Kumbuka yeye pia huitwa MUNGU wa majeshi.Mungu wetu kwa mamlaka yako.Naomba ruhusu hiii vita iishe
Ha ha haa,H
Hata mm naona anatuchelewesha sana piga hako kajinga bomu moja la Kinzhai kajambe
Ha ha haa.Jamaa wana propaganda za kiduanzi sana. Mfumo ni long range which means ina intercept target zake mbali sio kama Nasams au Iris T au Pantsir S2 ambazo zina intercept kwa karibu. Sasa hizo debris wanazodai zime damage mfumo ziliwezaje kurudi pale pale mfumo ulipo zikaudondokea na hivyo kuuharibu? Kitu ukiharibu ma mia ya km angani halafu mabaki yake yarudi kudondokea hapo hapo ulipo? Robots za nato humu jukwaani zina amini vitu kirahisi sana
Sasa hivi Foreign Minister ndiye ana attend wageni.... je Bwana Zelensky yuko wapi...?[emoji298][emoji298]China's special envoy Li Hui has paid a visit to Ukraine and met with Ukrainian Foreign Minister Dmytro Kuleba, according to the Ukrainian Foreign Ministry.[emoji298]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mkuu haisaidii kushtakiana kuhusu ahadi na yale ambayo watu wanaamini ilikuwa ahadi au la. Angalau kuhusu mikataba iliyotiwa sahihi rasmi - je unaona upande wa nchi za Ulaya wamevunja mkataba wowote?Haionekani kuwa na mipaka yoyote kwakua wapinzani NATO hawashikilii ahadi yoyote ya mipaka wanayowekeana na Urusi
Ataelewa tu mkuu, huyu namjua ni muelewa sanaWala huyu hawezi kukuelewa
Hhaa, mimi mwenyewe nlikua najiuliza, lilikua linaintercept kitu gani kule mbeleDude linasahau kujilinda kisogoni na mgongoni. Au siyo? Walipachike side-mirror. haha
Mkuu je kuna sababu yoyote kuamini hizo "Turkish sources"? Ziko wapi? Ni nani? Ziko nje ya propaganda ya Kirusi?According to Turkish sources, yesterday NATO held an emergency meeting on the state of air defense of the largest base hubs for Ukraine in Poland and Slovakia in light of the failure of the Patriot air defense system in the defense of Kyiv.
1/View attachment 2625391
Mkuu tutaona kama utabiri wako ni kweli. Ila usisahau huyu Bwana alichaguliwa katika uchaguzi huru, tofauti na yule babu mwenye hofu nyingi anayetawala huko Moscow.Presently EU & USA ‘elit’is pretending to love & respect this guy & its ‘nation’ (1991-2024). But in 1-2 year he will be the most hated one.
Kumbe hukuielewa, baada ya kumaliza missiles zake zote haikuchukua dakika na unaambiwa ile chuma imetoka urusi si chini ya 800km ndani ya mda huo imefika pale kyiv kwenye patriot hyo ndyo maana ya hypersonic acha waendelee kupiga propgandaHapo ndio umenisanua kuhusu ile video nimeangalia sana kumbe ule mlipuko ndio chuma kilipewa kitu