[emoji298][emoji298]World leaders arrived in Hiroshima for G7 summit
The G7 leaders already visited a museum in Hiroshima that documents the devastation caused by the U.S. atomic bomb in 1945. The event marked the start of the three-day summit, Kyodo reports.
Japanese Prime Minister Fumio Kishida, who chairs the meeting and represents Hiroshima voters, made nuclear disarmament a key item on the summit's agenda amid Russia's nuclear blackmail in its war against Ukraine and China's rapid nuclear build-up.
The war of Russia against Ukraine will be high on the discussion agenda.
Join our telegram channel for more videos - link in comments
View attachment 2627328
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Haya maswali ya nini sasa !.Hivi mkuu wa majeshi wa Ukraine ameshajitokeza mafichoni ?
Kapicha tu tuone[emoji298][emoji298]Ukraine's air defense forces destroyed five Iranian-made Shahed kamikaze drones over the Lviv region in the early hours of Friday morning, according to Maksym Kozytskyi, head of the regional military administration.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hiyo kitaalamu inaitwaje?(BAADA YA DE-DOLLARIZATION sasa naona kuna kampeni ya lugha....)
tutajua hatujui
Mwisho watakutana Kama LGBTHawa jamaa bana..
Leo wanakutana kama NATO
Kesho wanakutana kama G7
Kesho kutwa wanakutana kama EU
Wanaishia kutoa matamko ya kulaani. Wanafunga kikao na kurudi home.
AD za Ukraine [emoji1255] ni dhaifu sana nandio maana hakuna hata jiji moja ambalo halija gongwa na RUSSIA [emoji635]Zile taarifa zilizovuja zilisema AD za Ukraine ni dhaifu, ila airforce ya Urusi imeshindwa kuziharibu kabisa....labda wanasubiri offensive ikianza wazishambulie.
Mpaka saizi ame libarate km ngap?Vilianzia Crimea na vitaishia Crimea [emoji56][emoji56][emoji56]
[emoji1255]President Zelensky created a council for the liberation of Crimea
In particular, it included:
• Minister of Reintegration of the Temporarily Occupied Territories of Ukraine Iryna Vereshchuk
• Minister of Foreign Affairs of Ukraine Dmytro Kuleba
• Head of the Office of the President of Ukraine - Andriy Yermak
• Secretary of the National Security Council Oleksiy Danilov
• Head of the Security Service Vasyl Malyuk and others.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kama unategemea mwizi kukiri kua kaiba unakosea Sana MKUUHizi ni analysis ambazo zinaweza kuwa sahihi kabisa ila weakness ni moja tu kuwa muhusika ameshasema sio yeye.
Tafsiri yake ni kuwa tukitaka oficial report itabaki kuwa Kremlini imeshambuliwa ila Zele kakataa kuhusika na serikali ya Urusi inamshutumu kuwa kahusika hizo nyingine ni personal analysis, mwingine anaweza leta analysis akasema ni false flag ili kumaliza vita kibabe.
Hawa jamaa bana..
Leo wanakutana kama NATO
Kesho wanakutana kama G7
Kesho kutwa wanakutana kama EU
Wanaishia kutoa matamko ya kulaani. Wanafunga kikao na kurudi home.
Uhakika vikta anajitambua sanaaaaaViktor Orban (PM) is one of a few sensible statesmen remaining.
Sio kubwa tu Tanzania [emoji1241] ni kubwa sanaaaaaMbona figganigga kwenye genge lake kule anatuambia Tanzania ni kubwa kwa UKRAINE
Prigo toka mwanzo wa hii SMO analalamika ila tunashangaa mbona bado anapigana wakati hapewi yakutosha kwahio anapigania nini mawe auPrigozhin anawakoromea maboss wa jeshi, hapewi supplies za kutosha
Mkuu nikitazama mabondia wakipigana, wanarudia kufanya kilekile: kumpiga bondia mwingine ikiwezekana kichwani. Mara nyingi nimeona baada ya kurudia mara kadhaa, mmoja alianguka akashindwa.Sio mimi niliyotoa hiyo definition, ni Albert Einstein alisema kwamba, kuendelea kufanya kitu icho icho kwa namna hiyo hiyo na kutegemea kupata matokeo mapya huo ni ukichaa.
Mimi nilichofanya ni ku translate hiyo kauli yake na kitendo cha G7 kuendelea na sanctions.
Samahani mkuu kama nitakuwa nakuumiza na nilichoandika.