Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji116]The United Kingdom has imposed sanctions on 86 Russian individuals and entities, according to the website of the UK government.
The sanctions target Russia's theft of Ukrainian grain, advanced military technology, and remaining revenue sources.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
"Russia 'has not even started yet!'Statement hii ya Putin inafikirisha sana.​

Nakazia [emoji116]View attachment 2627526

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kinochoshangaza ni kwako weye kukubali kumeza hizi habari bila kujipa nafasi ya kuzichambua na kufikiri kwa makini.

Kama hizi Patriotic Systems zapigwa vibaya kwanini Russia asimalize kazi?

Majasusi wa Russia wapo kazini masaa 24/7 wakigundua wapi zilipo shehena za silaha na zote zapigwa moto.

Kumbuka msemaji wa Kremlin alisema NATO na US watume tu silaha uwanja wa vita ili zichomwe moto.
 
Zelensky aongezewe ulinzi wa kutosha ili Wanazi, NATO na Marekani wasije kumla kichwa, then wakamsingizia Mrusi.

Zelensky! Zelensky! Zelensky! Nimekuita mara tatu. Najua umo humu JF tena kwa ID & avatar ya Putin wa bongo , nadhani umenielewa kaka.
 
Zelensky: ^I won't be traveling to Hiroshima Japan for a joint meeting with the G7. I'll be doing it virtually.^

NATO: ^Why? What happened? Who threatened AGAIN?^

Zelensky: ^Too risky; stakes are too high.^

US: ^We cannot afford the embarrassment AGAIN in a space of just two days. Remember the incidents with the Russian Kinhzal H Missiles. France can provide you with her airplane. GO!^
 
Duuh simu yangu Ile yenye ushahidi iliharibika ulisema RUSSIA wanatumia chip za washing mashine Leo unakana
Niliandika alafu ushahidi uko kwenye simu yako? Warusi bwana, kwani simu yako ni server ya JF.
Kaunta offensive haijaanza tuuu
Subiri mjirundike Bakhmut muingie mkenge mjue mnashinda alafu counteroffensive ipigwe eneo lingine. Kwa sasa jazana hapo Bakhmut punguzeni majeshi sehemu nyingine muhimu.
China ina lower birth rates hiyo inajulikana na China hawafi wengi kuliko wanaozaliwa. Russia wanazaliwa wengi na wanakufa wengi, na ipo miaka niliitaja Russia waliokufa ni wengi kuliko waliozaliwa.
Hiyo India ilishaipita China kwenye idadi ya watu kwa sababu Wahindi wanazaana sana
 
"Russia 'has not even started yet!'Statement hii inafikirisha sana.​

Hii vita ya (kumtumia Ukraine) Russia ina "full control", lakini hawataki kujitangaza mpaka pale muda utapofikia.

Vyombo vya habari vya magharibi wana ajenda ingine na sasa hivi wapo kwenye propaganda zaidi na kupindisha ukweli.

Ukweli mwingine na ambao ni mchungu kuumeza ni kwamba NATO na US wameishiwa silaha wakati Russia bado atumia silaha za kisovieti. Ni juzijuzi tu kaamua kutumia Khinzal ili kupiga na kuchoma moto shehena za silaha za kutoka NATO na US zikiwemo silaha za DU ambazo ziliwaka na kusababisha mionzi mikali ambayo joto lake lilifika Poland.

MIfumo ya ADS ya Patriot iliwekwa ili silaha hizo zihifadhiwe ndani yake ndo maana Russia katumia Kinzhal ambayo hupenya ADS.

Hii si mara ya kwanza kwa Russia kusema haijaanza vita rasmi yaani kuliingiza jeshi lake halisi vitani na bado atumia Wagner Group na wale wapiganaji wa Luhanski na Donetski.

Hivyo hizo kauli kwamba bado Russia hajaanza vita zina ukweli ndani yake.
 
Inafikirisha, lakini pia inafariji na kupunguza maumivu!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
No Kipanya inafikirisha kwa kuwa kama Russia haijaanza kipondo,na hali tunayo-iona Ukraine ndiyo hiyo,je watakapo anza kipondo rasmi,hali itakuwaje?Maana kipondo cha sasa tu Zelensky kakimbia nchi.Hapana,hiyo statement inafikirisha sana.

Nimeipenda sana analysis ya Richard,
hii hapa👇.Nimei-quote bila modification.

"Hii vita ya (kumtumia Ukraine) Russia ina "full control", lakini hawataki kujitangaza mpaka pale muda utapofikia.

Vyombo vya habari vya magharibi wana ajenda ingine na sasa hivi wapo kwenye propaganda zaidi na kupindisha ukweli.

Ukweli mwingine na ambao ni mchungu kuumeza ni kwamba NATO na US wameishiwa silaha wakati Russia bado atumia silaha za kisovieti. Ni juzijuzi tu kaamua kutumia Khinzal ili kupiga na kuchoma moto shehena za silaha za kutoka NATO na US zikiwemo silaha za DU ambazo ziliwaka na kusababisha mionzi mikali ambayo joto lake lilifika Poland.

MIfumo ya ADS ya Patriot iliwekwa ili silaha hizo zihifadhiwe ndani yake ndo maana Russia katumia Kinzhal ambayo hupenya ADS.

Hii si mara ya kwanza kwa Russia kusema haijaanza vita rasmi yaani kuliingiza jeshi lake halisi vitani na bado atumia Wagner Group na wale wapiganaji wa Luhanski na Donetski.

Hivyo hizo kauli kwamba bado Russia hajaanza vita zina ukweli ndani yake." Unquote.
 
Yaani kwa maafa yote hayo hadi zielinsky tumbo joto,Bado Russia hamjaanza vita sio !!?
 
Hili azimio linaweza kuonekana kama mzaha au ujinga, lakini Lina maana kubwa sana,

[emoji298][emoji298]The Group of Seven (G7) Leaders have issued a statement, urging Russia to stop its ongoing aggression and immediately, completely and unconditionally withdraw its troops and military equipment from the entire internationally recognized territory of Ukraine.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
The King of Spain, Felipe VI, visiting wounded Ukrainian soldiers that are being treated at a Spanish hospital in Zaragoza.

[emoji633][emoji1255]View attachment 2627536

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Bado jamaa wanavaa mabarakoa!!Haya majamaa mazombie kweli kweli,kama mang'ombe yanayozuiwa kula pumba,yaani mazombie proper.Corona yenyewe ni kitu fake kabisa,halafu barakoa ni hatari kiafya.Siwaelewi ujue,vichwani mwao sijui kumeja makamasi!
 
Leo mbona umekuwa wa moto sana Mzee[emoji1787]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…