Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Kichapo kwa NATO kupitia kwa puppet wao huyohuyo wanaemtumia kama toilet paperBaada ya hapo kitaendelea nn?
Eye witness walisema Partiot missiles/interceptors zilikuwa zinavurumishwa to aimlessly like mad, as if kulikiwepo kitu kilocho kuwa kinazifanya zina misfire in salvos bila ya ku intercept chochote cha maana,je, hicho niktu chakawaida kweli au kuna wajuzi wa mambo waliweza kufanikiwa kuhack Patriot control systems na kuzifanya zifanye mambo ya ajabu ajabu Kama hayo ya kujifyatua bila mpangilio ending up lighting the dark sky/night like Xmass tree.[emoji845][emoji631][emoji1255]Patriot lost all 32 missiles while trying to shoot down a #Russian hypersonic "Dagger" that destroyed an American air defense system - Military Watch Magazine.
[emoji404] “They all failed, and this salvo alone cost approximately $96 million.” , the article says.
[emoji843] The publication also notes that due to the low degree of mobility of the #American air defense systems, the Armed Forces of Ukraine could not move the #Patriot installations closer to the front to cover their troops.
Safii [emoji122]Mkuu "West"? Hm Japani iko upande wa mashariki wa nchi nyingi. Ujerumani iko upande wa mashariki wa Ufaransa.
Dar es Salaam iko upande wa magharibi ya Zanzibar.
Tusisumbuliwe na vichwa vya habari.
GAzeti si maandiko ya kuamini. Ni chanzo cha habari na maoni tunayohitaji kupima na kukagua.
Safi sana!Nimekwambia baadhi ya miaka, tatizo pro Russia hamna akili yani hata unachobisha hujui na huna uwezo wa kujenga hoja kazi kuchomekea tusi na kuondoka.
Nilishawauliza kwanini population ya Russia mwaka 1992 ndio ileile ya mwaka 2022, na hapo hiyo 2022 ni baada ya miaka michache nyuma watu kuongezeka. Hiyo miaka ya 2006 hadi 2010s idadi ya watu kwanini ilishuka kulingana na 1992. Unaijua Russian population crisis ya 2016?
Umesoma birth rates na death rates za Urusi?
Umesoma data za infant mortality rate, ajari, HIV/AIDS, unywaji wa pombe kali, emigration, life expectancy na ugumba kwa wanaume?
Vyote hivyo hujui hata vinapatikana wapi. Elimu! Elimu! Elimu!
Hawa wanataka kuwaiga Wamerikani katika wizi wa taxpayers' money big time kwa kushinikiza Serikali ili iongeze budget kwenye Wizara ya Ulinzi kwa kisingizio kwamba Urusi ni tishio kubwa kwa western militaries hivyo ili kukabiliana na tishio la Putin ni lazima wizara ya Ulinzi iongezewe fedha zaidi ili kuviwezesha viwanda vya silaha kuunda silaha za kuweza kukabiliana na tishio la Urusi.British Defense Secretary Ben Wallace has warned that there is a threat of a wider global conflict by the end of the decade, demanding a clear plan to increase British defense spending to 2.5 percent of GDP.
Umshana is one of them.
Umshana look at this[emoji116]!It shows clearly that there is a lot of evil going on behind the scenes,which the American government does not want to be exposed,but we will.
FBI WhistleBlower: "This Government Will Crush You if you expose what they're doing"
19 MAY 2023
F.B.I. Whistleblower, Garrett O’Boyle just ended today’s hearing before a congressional committee with a chilling warning for future F.B.I Whistleblowers.
Doesn't this Umshana prove that we are dealing with a monster,which will go to any length to cover-up it's evil?Very chilling.
Unadhani kwa nini kilitokea kati ya 1992 na 2022 mpaka population yao kitobadilika?Nimekwambia baadhi ya miaka, tatizo pro Russia hamna akili yani hata unachobisha hujui na huna uwezo wa kujenga hoja kazi kuchomekea tusi na kuondoka.
Nilishawauliza kwanini population ya Russia mwaka 1992 ndio ileile ya mwaka 2022, na hapo hiyo 2022 ni baada ya miaka michache nyuma watu kuongezeka. Hiyo miaka ya 2006 hadi 2010s idadi ya watu kwanini ilishuka kulingana na 1992. Unaijua Russian population crisis ya 2016?
Umesoma birth rates na death rates za Urusi?
Umesoma data za infant mortality rate, ajari, HIV/AIDS, unywaji wa pombe kali, emigration, life expectancy na ugumba kwa wanaume?
Vyote hivyo hujui hata vinapatikana wapi. Elimu! Elimu! Elimu!
Mathanzua yuko mbali sana kumlinganisha na ww...habari zake huwa ni credible...zilizo balance...zenye ubinadamu ndani yake...kwa kifupi Mathanzua yuko mbele yako a 1000 times kwa uwezo wa kuchambua habari na kuleta andiko hapa lililoshiba ...Hapana huyu Bwana Mathanzua hajasoma kitu. Yeye ni hodari kunakili tovuti za Marekani, mwelekeo wa Trump au vobaya zaidi, na kuleta habari hizo hapa JF.
Ndyo maana nakuita kiazi unaisi wote uku ni vilaza kamaa wewe rate ya watu kuzaa imepungua kwenye nchi zote zilizoendelea kasoro nchi za kiislamu tuNimekwambia baadhi ya miaka, tatizo pro Russia hamna akili yani hata unachobisha hujui na huna uwezo wa kujenga hoja kazi kuchomekea tusi na kuondoka.
Nilishawauliza kwanini population ya Russia mwaka 1992 ndio ileile ya mwaka 2022, na hapo hiyo 2022 ni baada ya miaka michache nyuma watu kuongezeka. Hiyo miaka ya 2006 hadi 2010s idadi ya watu kwanini ilishuka kulingana na 1992. Unaijua Russian population crisis ya 2016?
Umesoma birth rates na death rates za Urusi?
Umesoma data za infant mortality rate, ajari, HIV/AIDS, unywaji wa pombe kali, emigration, life expectancy na ugumba kwa wanaume?
Vyote hivyo hujui hata vinapatikana wapi. Elimu! Elimu! Elimu!
Unaleta mambo yasiyo na uhusiano wowote na mada. Ukiwa na vyanzo vya kuaminika kuhusu idadi ya wahanga wa shabulio la juzi: lete. Kama huna: hei unyamaze
Umshana look at this👇!It shows clearly that there is a lot of evil going on behind the scenes,which the American government does not want to be exposed,but we will.
FBI WhistleBlower: "This Government Will Crush You if you expose what they're doing"
19 MAY 2023
F.B.I. Whistleblower, Garrett O’Boyle just ended today’s hearing before a congressional committee with a chilling warning for future F.B.I Whistleblowers.
Doesn't this Umshana prove that we are dealing with a monster,which will go to any length to cover-up it's evil?Very chilling.
Inasemekana vumbi la mabomu ya depleted uranium yaliyounguzwa na ambayo yaliletwa Ukraine kutoka Uingereza kuwaua warussia linaelekea Ulaya Magharibi.
Waingereza hawajali maisha ya wenzao kwa sababu wao waKo mbali. Hii ni Mbaya.
Mkuu unaishi dunia ya ajabu tena unapenda kumeza vitu ambavyo hujatafuna.Mathanzua yuko mbali sana kumlinganisha na ww...habari zake huwa ni credible...zilizo balance...zenye ubinadamu ndani yake...kwa kifupi Mathanzua yuko mbele yako a 1000 times kwa uwezo wa kuchambua habari na kuleta andiko hapa lililoshiba ...
On the other hand ww habari zako unazotupia humu nyingi za kubumba...mm nakumbuka siku ya kwanza tu ww kuingia humu...uliingia na utaalam wako wa Physics ukatubeba ohhh Russia hana hypersonic...haiwezekani kabisa kuwa na hypersonic sijui due to heat generated .. yaani ulimwaga upupu humu wa kutosha na kila alieku challenge ulimbishia kabisa...ila leo hapa dunia nzima inaongelea hypersonic...vyombo vyote Magharibu wanaongea lugha moja...the might Kinzhal...the unstopable KINZHAL..
basi tokea day 1 ulishapoteza mbaya humu...
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
hv ww ni Mtanzania kweli aisee...??..hv unapata faida gani kushusha hadhi ya ubongo wako kwa ajili ya evil West..??..Mkuu unaishi dunia ya ajabu tena unapenda kumeza vitu ambavyo hujatafuna.
Je unaelewa kweli mahubiri ya Mathanzua kuhusu Njama ya Khazarian? Unaiamin?. Kwa nini? Maana hii ni uti wa mgongo wa michango yake.
Halafu ile ya fizikia: ndiyo kama roketi inakimbia kwa kasi hiyo inaweza kulengwa kwa shabaha inayosimama lakini ni vigumu kulenga kwa shabaha inayotembea.. sababu ni fizikia.
Menginevyo katika Media ya magharibi naona siku hizi hasa furaha kwa sababu Kinzhal ziliangushwa. Wengine walikuwa na wasiwasi, sasa maoni yamekuwa kinyume.
Sijui wewe unaona nini?
Chanzo Cha Taarifa yako mkuuNdege 50 za F16 zatolewa kwa ajili ya mafunzo. Nasisitiza ni za mafunzo. Za field (Counter offensive) ni siri yetu.
Zelensky Kanyaga twende mwana wani!!.
Chanzo Cha Taarifa yako mkuu