Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ni habari njema sana kuona Arabs wakipatana na kuishi tena kama ndugu moja baada ya kipindi kirefu cha utengano uliosababishwa na USA na LGBTQ.

View attachment 2628723
Hapo USA itafika Hawa jamaa wakijitambua uchumi wa USA utaporomoka sana, maana wanaiba sana mafuta toka Iraq, Syria wakiwaacha masikini ni dhuruma kubwa sana. Kwenye kampuni zao Kama ExxonMobil, Chevron etc wanatengeneza billions$ profit kwa mafuta ya kuiba toka Syria na Iraq. Jeshi la Marekani linasimamia huo wizi.
 
NATO (40)= Russia (1)
 
RUSSIA DUDE KUBWA [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

Jana hyo Katika kuhakikisha hatoki mtu hapo bakhmut wakawatumia wenzao mvua ya moto,

wanaita "incendiary amunition"[emoji91][emoji91][emoji91]
Your browser is not able to display this video.
 
Mkuu wa Wagner group atangaza kuchukua mji wa Bakhmut kutoka kwa manazi.

Mipaka yote ya Bakhmut sasa ipo kwenye mikono ya Wagner group.

Habari ya Bakhmut imefikia mwisho siku ya leo.manazi yamekimbilia polini[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Your browser is not able to display this video.
 
Kumbe
 
Hizo ni mbinu za kivita.

Tumesema hapa mara nyingi kwamba Bakhmut ilikuwa yasumbua kutokana na kuwa na mahandaki mengi hivyo kulikuwa na kazi maalum ya kufumua mahandaki hayo.

Sasa tungojee vyombo vya habari vya magharibi vije na taarifa rasmi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…