kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Hizo video ameshatuma zaidi ya mara 70 akidai kuiteka bakhumut [emoji23]hii ni mara ya kwanza sio anadai katuma video kabisa au hujaiona
Alaf mwanzo alisema hivi kiutawala bakhmut iko chini yetu na hii ni baada ya kuwatimua manaz kwenye jengo la utawala
Leo kasema kaichukua bakhmut
Alaf waambie hao kuku wako wa nato watume video tuone wako bukhmut sehemu gani na sio maneno ya khanga hatuyataki!
Proved 🤣😂😂🤣😂🇷🇺💪😃👏👏🙌Endeleeni ivyo ivyo kuwa upande wa mashoga ipo siku litawakuta jambo[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635].
Jukwaa mmelikimbia tayari kwa sababu ya kuwamini mashoga.
*Himars
*T14 armata
*kipanya44
*Mk245
Na wengine
Niletee ushahidi wa kuonyesha Pligozhin alishasemaga kuwa ameiteka Bakhmut yote.Hizo video ameshatuma zaidi ya mara 70 akidai kuiteka bakhumut [emoji23]
Hii inaonesha hata nyie ni wagonjwa wa akili kama mnashindwa kumsoma huyu mtu kwamba ni mgonjwa wa akili!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hata kwenye Covid 19 walituambia Waafrika tutakufa kama nzige maiti zitazagaa barabarani kwa mamilioni.Aksnt mkuu kwa ufafanuz
Leo hii amekuwa mgojwa tena[emoji23][emoji23][emoji23]Hizo video ameshatuma zaidi ya mara 70 akidai kuiteka bakhumut [emoji23]
Hii inaonesha hata nyie ni wagonjwa wa akili kama mnashindwa kumsoma huyu mtu kwamba ni mgonjwa wa akili!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
soma vizur coment hiyo video gani ametuma mara 70 au ushavurugwa mji unaenda jengwa kama mauripaulHizo video ameshatuma zaidi ya mara 70 akidai kuiteka bakhumut [emoji23]
Hii inaonesha hata nyie ni wagonjwa wa akili kama mnashindwa kumsoma huyu mtu kwamba ni mgonjwa wa akili!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Una proganda za kitoto sana....tuliza kiboga uchomwe singePrigozhin kawaingiza king na warusi wote wa buza wanajaa kama mpira kwenye nyavu [emoji1787]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wala Sina haja ya kwenda mbali kukuletea ushaid,pekua tu kwenye huu Uzi ushaidi upo wa kutosha [emoji28]Niletee ushahidi wa kuonyesha Pligozhin alishasemaga kuwa ameiteka Bakhmut yote.
Nipo nimekaa siti ya mbele nasubiri majibu
Chizi prigozhin anawaingiza king na nyie mnajaa kama nyumbu..,[emoji23]Una proganda za kitoto sana....tuliza kiboga uchomwe singe
Uzuri kumbukumbu uwa hazifutiki.kati ya wewe na Progozhin nani mgojwa maana ni wewe ndo ulikuwa unatuletea taarifa zake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizo video ameshatuma zaidi ya mara 70 akidai kuiteka bakhumut [emoji23]
Hii inaonesha hata nyie ni wagonjwa wa akili kama mnashindwa kumsoma huyu mtu kwamba ni mgonjwa wa akili!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
oddesa ndio kituo kinachofuata kaa kwa kutulia NYATO OYEChizi prigozhin anawaingiza king na nyie mnajaa kama nyumbu..,[emoji23]
Hii dunia haijawah kuishiwa vituko!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Leo hii amekuwa chizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Chizi prigozhin anawaingiza king na nyie mnajaa kama nyumbu..,[emoji23]
Hii dunia haijawah kuishiwa vituko!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kukumbusha tu ni kwamba hiyo picha iliyopo kwenye avatar yako ni Moja ya ushaidi mwingi mliowahi kuleta hapa mkidai kwamba bakhumut Iko chini ya Wagner.., ajabu ni kwamba Leo mmeshasahau hizo propaganda [emoji1787]Leo hii amekuwa chizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2629016
Kk security ya Russia imewapiga wanajeshi wa Ukraine na NATO huko[emoji23][emoji23]alafu mnasema NATO wapo vizuri.mohamedidrisa789 anadai Wagner hawajawahi kudai kuiteka bakhumut huku picha ya kwenye avatar yake ikimkana[emoji2][emoji16][emoji38][emoji28][emoji23][emoji1787]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Baada ya miezi 6 akirudi Tena huyo prigozhin na kudai kuikomboa bakhumut msisahau kuja Tena kushangilia [emoji1787]Kk security ya Russia imewapiga wanajeshi wa Ukraine na NATO huko[emoji23][emoji23]alafu mnasema NATO wapo vizuri.