Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Yes, it's official according to mental degraded people [emoji1787]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
mohamedidrisa789 anadai Wagner hawajawahi kudai kuiteka bakhumut huku picha ya kwenye avatar yake ikimkana[emoji2][emoji16][emoji38][emoji28][emoji23][emoji1787]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
we kweli kichaa hayo ni maeneo yaliyotekwa ndani bakhmut hapo awal kwahiyo ulitaka wasubiri mpaka wauteke mji mzima ndio watume picha aise kweli nyie viazi
umesahau kua kila hatua walipofika zilikua zinaletwa na ushahid wa picha hukumbuki yule kichaa wenu alipofika kwenye kiwanda alipiga picha na baada ya wagner kupachukua pale wakatuma picha au ushasahau
hahahaha
 
Maembe ya US bado yanaendelea kudondoka embe lingine limedondoka huku Spain [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji845][emoji633] F-18 crashes in #Spain.

[emoji845][emoji3575] An F-18 fighter jet has crashed at the Zaragoza airbase, erupting in a giant fireball near a busy highway. The pilot flying the plane managed to eject before the ceash and is reported to be safe.

The local Heraldo de Aragón said that the pilot suffered injuries to his leg while no other injuries have been reported following the crash.
 
mohamedidrisa789 anadai Wagner hawajawahi kudai kuiteka bakhumut huku picha ya kwenye avatar yake ikimkana[emoji2][emoji16][emoji38][emoji28][emoji23][emoji1787]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwa iyo picha ya kwenye avatar yangu inasema kuwa bakhmut yote ipo chini ya wagner[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe ndio huna akili kabisa,hata wazazi wako waliingia hasara tu..,hiyo picha jamaa alituletea akidai Wagner wameithibiti kabisa bakhumut na Hilo ni jengo la utawala la bakhumut [emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wewe ndio huna akili kabisa,hata wazazi wako waliingia hasara tu..,hiyo picha jamaa alituletea akidai Wagner wameithibiti kabisa bakhumut na Hilo ni jengo la utawala la bakhumut [emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jengo la utawala la Bakhmut lina rangi iyo.mbona leo kama vile umechanganyikiwa kabisa kipanya44
 
Aiseee hahah
 
NYATO wanajitahidi kuficha about Bahmut, but Prigo yupogo wazi kbs...huraaa Wanamgambo wa Mbagala kugalagaza nchi 50


Sio mara ya kwanza Kabunyau Security Company kuwaburuza NYATO, pale Afghan, wavaa makobazi waliwatatua marinda NATO wakatoka nduki huku wanadondosha watu kutoka kwa ndege za jeshi....

Punguani Zele anaiharibu nchi nzuuuri kwa kutetea maslahi ya Mashoga....Rais Kishoshia ni ndorobo kabisa!
 
Si ulituletea picha ( ikiwemo iyo)na mavideo kibao ukidai Wagner wameithibiti bakhumut na Hilo ni jengo la utawala??

Leo hii hao Wagner wameiteka Tena bakhumut sio?[emoji1787]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Unaelewa maana ya kuchukua jengo la utawala na kumiliki Bakhmut yote.nimekwambia kuwa leta ushahidi wa kuonyesha kuna mtu alisema wagner wamechukua Bakhmut yote[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Niwape pole nyie mnaoingizwa kwenye mtego wa chizi prigozhin kirahisi tu kama nyumbu..,inashangaza sana, huenda hata nyumbu Wana afadhari!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hata Soledar ametuingiza mtego mpaka leo hiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…