Kwa mara ya kwanza nimeona sense out of Guterres.Guterres aonya G7 kuacha kuigawa Dunia sehemu mbili[emoji3514][emoji3514]
Secretary-General Antonio Guterres called for a detente between the West and China
UN Secretary-General Antonio Guterres has called on the G7 nations to refrain from dividing the world into Cold War-style blocs aligned with either the US or China. The Western leaders, meanwhile, made Russia and China the focus of a joint statement on nuclear weapons.
Speaking to Japan’s Kyodo News as the leaders of Canada, France, Germany, Italy, Japan, the UK, and the US met in Hiroshima on Saturday, Guterres called for “active dialogue and cooperation” between the G7 nations and China on matters of climate change and development.
“I believe it is very important to avoid the division of the world into two, and it’s very important to create bridges for serious negotiation,” he said.
👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍🙏China: G 7 ni kakikundi ka wahuni wachache [emoji23]
The international community will not fall in line with the pro-Western rules pushed by the G7 and will not allow the US-led group to dominate world affairs, the Chinese Foreign Ministry said in a statement on Saturday.
“China will never accept the so-called rules imposed by the few. The international community does not and will not accept the G7-dominated Western rules that seek to divide the world based on ideologies and values,” the statement read.
The Foreign Ministry went on to accuse the group of acting on behalf of “America-first” policies and attempting to impose its will on others. “That simply shows how little international credibility means to the G7,” the ministry said
Labda kama kuna sifa zingine nje ya makaratasi lakini kiuhalisia hii ni fighter ya kawaida kwa sababu ni ya kizazi cha nne sawa na Su-27 na Mig-29 alizonazo Ukraine. Haziwezi kutawala anga linalolindwa na mifumo kama S-300, S-400, Buk na mingine.Wachambuzi, tuzijadili siraha mpya kwenye uwanja wa SMO-F 16 planes, je zitakua na impact gani?
Russia watakua damaged how far na meassures za kuzidhibiti ni zipi?
Na kwangu mtihaniHivi ni mimi tu nisiyeona picha humu? Naishi kwa shida sana hapa ndani. Natumia App[emoji24][emoji24]
mm hata bado kuamini kama kayatamka haya maneno kwa dhati kabisa....!!!...hawa ni wale binadamu walionyweshwa damu ya 'America First'...yaani wako tayari hata kuuwa binadamu on the expense of America...Kwa Mara ya kwanza nimeona sense out of Guterres
Kwenye nyuzi nyingine ni mshana???Umshana si mzungu ni mzaramo wa kibaha
🤣🤣🤣Kama mlinzi wao wa anga tegemezi aliokuwa anategemewa sana Patriot imepigwa, unafikili hizo ndege zitafa ya nini?Labda kama kuna sifa zingine nje ya makaratasi lakini kiuhalisia hii ni fighter ya kawaida kwa sababu ni ya kizazi cha nne sawa na Su-27 na Mig-29 alizonazo Ukraine. Haziwezi kutawala anga linalolindwa na mifumo kama S-300, S-400, Buk na mingine.
Ila pia Russia anaweza kutumia ndege zake hasa Su-35 ambazo ziko equiped na BVR missiles akiwa ndani ya anga lake kwa sababu F-16zinaonekana vizuri kabisa kwenye radar. Angekuwa anaomba ndege za kizazi cha 5 labda ingeshtua, ila kwa hizi nina uhakika mbungi lake linachezeka vizuri tu.
Nadhani ange push zaidi kupewa mifumo ya ulinzi wa anga inge make sense ila kwa hizi ndege nadhani ina prove kwamba jamaa yuko desperate, kachanganyikiwa hajui hata aombe nini kwa wakati gani na kitamsaidia vp. System za offensive zote anazo omba sidhani kama zitamsaidia kwa muda mrefu maana ni za kizazi cha nyuma ambazo nyingi Warusi wanaweza kudeal nazo vizuri kabisa labda apewe F-22 na F-35 ambazo sidhani kama inawezekana.
You are very right mkuu,labda alikuwa anaota.mm hata bado kuamini kama kayatamka haya maneno kwa dhati kabisa....!!!...hawa ni wale binadamu walionyweshwa damu ya 'America First'...yaani wako tayari hata kuuwa binadamu on the expense of America...
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣Kama mlinzi wao wa anga tegemezi aliokuwa anategemewa sana Patriot imepigwa, unafikili hizo ndege zitafa ya nini?Labda kama kuna sifa zingine nje ya makaratasi lakini kiuhalisia hii ni fighter ya kawaida kwa sababu ni ya kizazi cha nne sawa na Su-27 na Mig-29 alizonazo Ukraine. Haziwezi kutawala anga linalolindwa na mifumo kama S-300, S-400, Buk na mingine.
Ila pia Russia anaweza kutumia ndege zake hasa Su-35 ambazo ziko equiped na BVR missiles akiwa ndani ya anga lake kwa sababu F-16zinaonekana vizuri kabisa kwenye radar. Angekuwa anaomba ndege za kizazi cha 5 labda ingeshtua, ila kwa hizi nina uhakika mbungi lake linachezeka vizuri tu.
Nadhani ange push zaidi kupewa mifumo ya ulinzi wa anga inge make sense ila kwa hizi ndege nadhani ina prove kwamba jamaa yuko desperate, kachanganyikiwa hajui hata aombe nini kwa wakati gani na kitamsaidia vp. System za offensive zote anazo omba sidhani kama zitamsaidia kwa muda mrefu maana ni za kizazi cha nyuma ambazo nyingi Warusi wanaweza kudeal nazo vizuri kabisa labda apewe F-22 na F-35 ambazo sidhani kama inawezekana.
US na NATO watakuja kustuka very late kua huyu jamaa alikua jasusi wa warusi kujua uwezo wao wa silaha za kivitaNiliwahi kuandika mahali kuwa huyu Zelensiky anaweza kuwa "our Man behind enemy line"
====
Yaani anataka silaha zote za NATO ziabishwe. Ha ha haaaa!
Matamshi makali ila ujumbe kuntu, Taifa Moja linawaendesha wengine kama makoloni yakeChina: G 7 ni kakikundi ka wahuni wachache [emoji23]
The international community will not fall in line with the pro-Western rules pushed by the G7 and will not allow the US-led group to dominate world affairs, the Chinese Foreign Ministry said in a statement on Saturday.
“China will never accept the so-called rules imposed by the few. The international community does not and will not accept the G7-dominated Western rules that seek to divide the world based on ideologies and values,” the statement read.
The Foreign Ministry went on to accuse the group of acting on behalf of “America-first” policies and attempting to impose its will on others. “That simply shows how little international credibility means to the G7,” the ministry said
Tumia google ku access jamiforums mkuu, kwenye app picha hazionekaniHivi ni mimi tu nisiyeona picha humu? Naishi kwa shida sana hapa ndani. Natumia App[emoji24][emoji24]
Ni kweli ila kwangu app ni nzuri kuliko hiyo Google au browsingTumia google ku access jamiforums mkuu, kwenye app picha hazionekani
Hawa G7 au Westerners ni washenzi sana na watu wote wenye akili timamu inabidi tuwakatae kwa nguvu zote. ETI WAMEKUTANA NA AJENDA KUU NI KUDHIBITI KUKUA KWA USHAWISHI WA CHINA. Pumbafu sana eti ndio wanajiita world leaders
Sahihi kabisa ila kwa kutumia Google itakusaidia kuona picha zinazorushwa humu. Kama nilielewa vizuri tatizo unalopata maana nilikua nasumbuka hivi piaNi kweli ila kwangu app ni nzuri kuliko hiyo Google au browsing
Hii ni sawa na wakati wa birthday, dady ametimiza ahadi yake ya kukufundisha uendeshe gari lake, lakini ufunguo halisi wa gari lako jipya la gift atakukabidhi ^siku ukiwa mkubwa na kujitegemea mwanangu mpendwa!^Olaf scholz: Ukraine isitegemee F- 16 fighter jet kutoka Kwa German [emoji23][emoji23][emoji32]
Ukraine should not expect F-16 fighter jet deliveries from the West in the near future, German Chancellor Olaf Scholz said on Sunday, while expressing support for a plan to train pilots to fly the advanced jets.
Speaking on the sidelines of the G7 summit in Hiroshima, Japan, Scholz stated that “what is connected with the training of pilots is a long-term project,” adding that the US has not yet decided what will happen at the end of the program.
Tumia na web mzee, kuna ile app nyngne unaidowload kupitia browser inakuwa kama webHivi ni mimi tu nisiyeona picha humu? Naishi kwa shida sana hapa ndani. Natumia App[emoji24][emoji24]
Nakubaliana na wewe maana kwa hali ya kawaida mtu asingekubali watu wake waendelee kufa na nchi kuharibiwa, angeshaomba mazungumzo ya Amani. Ukute lilipandikizwa kwenye familia ya mtu likiwa na mwezi mmojaUS na NATO watakuja kustuka very late kua huyu jamaa alikua jasusi wa warusi kujua uwezo wao wa silaha za kivita