Mie nikajua huduma za satellite anapewa na kampuni ya Elon Musk, au satellite la Musk ndio limetunguliwa?Mkuu F-16s wala hakuna haja ya kuzijadili,mbona kwa Urusi ni maembe dodo.Halafuu, zitafanyaje kazi,kwa kuwa zinahitaji GPS for targetting na Satellite iliyo-kuwa ina-provide GPS services for Ukranian Millitary Equipment provided by the West ilishadondoshwa na Urusi.Mbons hakuna kazi mkuu.
Hii habari ilinipita.