Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu kila mtu anaamua kujiaibisha kwa namna yake.
Bwana Volodin anataka kurudisha maeneo yalikuwa sehemu za Poland baada ya Vita Kuu ya Pili. Hm, kurudisha kunamaanisha kuyarudisha kwa Ujerumani. (maana theluthi moja ya Poland ya leo ilikuwa nchi ya Ujerumani hadi 1945)
Ila Wajerumani walishakubali kwamba walishindwa kwenye vita na ameneo hayo yalipotea. Hawana hamu kuanzisha vurugu upya kwa kulipiza kisasi. Hawana nia kama Bwana Putin anayelia machozi kuhusu kuanguka kwa ukoloni wa Urusi wa zamani, akijaribu sasa kurudi nyuma katika historia kwa kushambulia Ukraine.

Kwa maneno yake Volodin anajaribu kuficha kumbukumbu ya jinai ya 1939 ambako USSR ilipatana na Ujerumani ya Hitler kushambulia na kugawa Poland. Baada ya ushindi wa Ujerumani kwenye Septemba 1939, USSR ilivamia na kutwaa zaidi ya nusu ya Poland, iliyofuatwa na mashambulio ya USSR dhidi ya Latvia, Estonia, Lithuania na Moldova. Yote yalikuwa koloni.
Nikuuliza Taifa linaloitwa Poland liliundwa mwaka gani?
 
Wengine waliuliza mara kwa mara kwa nini hawasikii tena habari za Himars. Wasikate tamaa, habari ziko!
Home » Russian Aggression » Russo-Ukrainian war 2022-2023 »

Frontline update: Ukrainians withdraw from most of positions in Bakhmut, conduct HIMARS strikes at Russian reinforcements​

Ukrainians conducted a series of very successful HIMARS strikes at the Russian troops relocating to the Bakhmut direction. Relocation creates a perfect opportunity for identifying, tracking, and destroying enemy forces’ concentrations......

In the meantime, more information became available about Ukrainian yesterday’s strike on unspecified buildings near the airfield in Mariupol. Today satellite footage became available of this area, which shows that HIMARS rockets entered the center of the building. Ukrainian sources reported that there was an underground facility that was used as a high-level command post of the Russian forces that are operating in the Vuhledar and Zaporizhzhia areas. The Ukrainian Mariupol advisor to the mayor reported that 24 troops were killed and 37 were wounded. As a result of strikes on other facilities, Russians also lost a lot of vehicles of various types: from cars to APCs. Local residents noticed how Russians were transporting the destroyed machinery through the city.

A target of another strike became Tokmak in Ukraine’s Zaporizhzhia Oblast. Local residents reported hearing multiple explosions, which was later confirmed by the Russian-appointed head of the region. He stated that there were at least two explosions and that more information would become available later. HIMARS strikes were also recorded in the Donetsk Oblast. Russian independent investigative outlet reported that a Ukrainian HIMARS strike destroyed up to 10 T-90 tanks east of Marinka. Overall, it looks like by destabilizing the situation on the Bakhmut’s flanks and forcing Russians to send reinforcements, Ukrainians managed to destroy more heavy equipment during the relocation than during the storming operation of the flanks that Russians tried to reinforce. And the frequency and intensity of HIMARS strikes will continue to increase, especially as Norway and the UK recently agreed to supply Ukraine with eight artillery systems M270, which has twice as many rockets as HIMARS.
 
Hii ndiyo ramani ya hapo kale kuhusu Poland. Niambie lini Poland ilikuwa Taifa?

1684680216110.png
 
Zinawasaidia nini wakati Russia anaendelea kuchukua maeneo sasa hivi tunaelekea Odessa.
 
Hii ndiyo ramani ya hapo kale kuhusu Poland. Niambie lini Poland ilikuwa Taifa?

View attachment 2630281
Mkuu unaleta ramani ya miaka 1776 hadi 1795. Ramani inaonyesha jinsi gani Urusi uliendeleza ukoloni wake upande wa magharibi katika miaka ile. Kwa kushirikiana na wakoloni wengine, hasa Prussia (Ujerumani kaskazini) iligawa Poland na kutwaa maeneo yake.
Kwa hiyo ramani yako inaonyesha vizuri sana mwaka 1776 Poland ilikuwepo. Ila haionyeshi historia ya Poland. Jinsi nilivyojibu, Poland kama nchi na ufalme ilianza karne kadhaa kabla Urusi.
Je unajua Urusi ilianza lini?
 
Zinawasaidia nini wakati Russia anaendelea kuchukua maeneo sasa hivi tunaelekea Odessa.
Mkuu nina uhakika wewe huelekei mahali popote. Utabaki mbele ya keyboard huko Buza.
Ukiweza kusoma ramani - labda unaweza kutambua kwamba katika miezi iliyopita mwelekeo wa Warusi ilikuwa kwenda mbali na Odesa, si kukaribia.
Au nimekosa, je?
 
Mkuu unaleta ramani ya miaka 1776 hadi 1795. Ramani inaonyesha jinsi gani Urusi uliendeleza ukoloni wake upande wa magharibi katika miaka ile. Kwa kushirikiana na wakoloni wengine, hasa Prussia (Ujerumani kaskazini) iligawa Poland na kutwaa maeneo yake.
Kwa hiyo ramani yake inaonyesha vizuri sana mwaka 1776 Poland ilikuwepo. Ila haionyesha historia ya Poland. Jinsi nilivyojibu, Poland kama nchi na ufalme ilianza karne kadhaa kabla Urusi.
Je unajua Urusi ilianza lini?
Nimekuuliza Poland ilikuwa Taifa mwaka gani? Naona unakwepa kujibu. Na kabla ya hapo ilikuwa inaitwa jina gani?
 
Nilijibu tayari: kila mwanafunzi wa historia anajua mwaka 966 BK inayokumbukwa kama mwaka wa kuundwa kwa Poland.
Soma: Poland was established as a state under the Piast dynasty, which ruled the country between the 10th and 14th centuries. Historical records referring to the Polish state begin with the rule of Duke Mieszko I, whose reign commenced sometime before 963 and continued until his death in 992.
Mwaka 966 ni mwaka ambako Miezsko I alipokea ubatizo akufuatwa na watu wake. Nasaba yake iliendelea kwa karne zilizofuata kama familia ya kifalme ya Poland.
Nchi ilijulikana tangu Mieszko I kama "Polska" yaani Poland. Asili ya jina na chanzo cha dola ni "Polani" yaani watu wa "lana" (mashamba, tambarare), tofauti na "Pomori" (watu wanaokaa kwa "more" yaani kando la bahari) na "Pogori" (watu wa "gora" yaani ya milima).
Kama ungejua kidogo historia ya Urusi, ungejua kwamba dola la Poland lilitangulia Urusi kwa karne kadhaa; "Rus" ya Kyiv ilianzishwa mnmao mwaka 1000, lakini Urusi wa Moscow ilifuata katika karne ya 13 tu, baada ya Wamongolia kuharibu Kyiv.
 
[emoji298][emoji298]If Ukrainians were not so brave and freedom-loving, the Russian genocide against them could have succeeded, and just a shadow would have been left of the whole nation, President of Ukraine Volodymyr Zelensky says in his address to the people of Japan at the G7 Summit in Hiroshima.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hebu nikuoneshe sasa origin ya kaeneo kadoooogo ka Poland.
Mkuu ushauri tu: usijaribu kugombana nami katika mambo ya historia..
Ila ukipenda: Ramani yako haionyeshi karne ya 10, ni takriban karne ya 9.
HApa nyekundu nyeusi ni milki ya MIeszko I mnamo 970
1684681544881.png

Mpaka mwekundu ni ufalme wa Poland mnamo mwaka 1000 (hakuna Moscow wakati ule!).
 
Kitendo cha Russia Aerospace Forces kuangamiza mitambo ya ulinzi ya Patriot imebadilisha kabisa landscape ya hii SMO.

Vilevile imeleta ishu muhimu sana kwa westerns kuhusu ulinzi wao wa anga ambao unategemea patriot systems.

Sasa wanaelewa kwamba they are defenseless mbele ya Russia.
 
Back
Top Bottom