lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Sana,kushindwa kwa Ukraine ni kushindwa kwa YankeesNawaona Walibya, Irakis, Afghans, Syrians, na almost kila raia duniani akirukaruka kwa furaha.
Sana,kushindwa kwa Ukraine ni kushindwa kwa YankeesNawaona Walibya, Irakis, Afghans, Syrians, na almost kila raia duniani akirukaruka kwa furaha.
Hii shida na mie ninayo Sana,sielewi nini tatizo,nili download google ila sijui imekuwajeIna maana hii JamiiForum app tunayo install kutoka Google Play Store ndugu zetu wameitelekeza. Picha hazifunguki kabisa. Please Maxence Melo tunaomba ufafanuzi ndugu.
Naunga Mkono hoja, mahali pengine anaandikwa Artyomovsk yote sawa na Artemovisk.Wakuu.
Naomba kutoa ushauri.
Kuanzia sasa, sisi Pro Russia tuwe tunatumia neno la "Artemovsk" badala ya Bhakmut.
Maana kwa sasa ili eneo ni sehemu ya Russia Federation.
Hii inaitwa mficha maradhi kifo ndio humfichua.Daaaah
Noma sana aiseeee.
Mkuu sijamwona mtu hapa anayeamini USA ni kila kitu.Kweli kabisa Mkuu.
Na bado watu wengi sana hadi Sasa hivi bado wanaamini kua USA ndo Kila kitu.
URUSI yupo kwenye operation ya kuondoa mashoga karibu na mipaka yake.Mkuu sijamwona mtu hapa anayeamini USA ni kila kitu.
Isipokuwa wako wanaoona Urusi kuwa kilele cha ustaarabu na utu, ambayo ni ajabu.
Nchi zote kubwa huwa na makosa, mazuri na mabaya mengi. Ila katika mfano tunaojadili ni Urusi aliyevunja amani na mikataba na kuanza mauaji mabaya.
🇷🇺 🇵🇱 Speaker of the State Duma, Volodin:
"Poland must return the territories acquired as a result of the Second World War and reimburse Russia for the funds spent on it in the war and post-war years, "
According to estimates today, we are talking about more than $750 billion. 🇵🇱 🇷🇺
Angepigan na bondia wa Ukraine/NATO asee ingenogaFuraha ya ushindi check bondia mrusi alivyomfanyia kitu mbaya mwenzake huku akionyesha mbwembwe kibaao kusherehekea ushindi wa Urusi huko Bukhmut.
View attachment 2629469
[emoji298]️[emoji635][emoji3037]The knockout victory and "Russian Kalinka" from Vyacheslav Borschev today, was the seventh for the Russian in the UFC.
😂😂😂 kipanya unachekesha sana kwa kweli.aliyepost video kuwa Bakhmut imeanguka yeye yupo front(Bakhmut).Zelensk anayekanusha, anakanusha akiwa Bakhmut sehemu gani?Warusi wa buza bado hamjachoka kuipiga punyeto bakhumut [emoji23][emoji23][emoji28]View attachment 2630252
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
G7 ni Wapigaji wa Dunia.China: G 7 ni kakikundi ka wahuni wachache [emoji23]
The international community will not fall in line with the pro-Western rules pushed by the G7 and will not allow the US-led group to dominate world affairs, the Chinese Foreign Ministry said in a statement on Saturday.
“China will never accept the so-called rules imposed by the few. The international community does not and will not accept the G7-dominated Western rules that seek to divide the world based on ideologies and values,” the statement read.
The Foreign Ministry went on to accuse the group of acting on behalf of “America-first” policies and attempting to impose its will on others. “That simply shows how little international credibility means to the G7,” the ministry said
Urusi wanatafuta sababu ya kumdunda huyu kiherehere ukizingatia nato anaowategemea wameshakata moto.🇷🇺 🇵🇱 Speaker of the State Duma, Volodin:
"Poland must return the territories acquired as a result of the Second World War and reimburse Russia for the funds spent on it in the war and post-war years, "
According to estimates today, we are talking about more than $750 billion. 🇵🇱 🇷🇺
Viva RUSSIAN NATION [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji112][emoji112]Licha ya vidonge, unaweza kushangaa vikiibuka vita kubwa kati ya nato na wakomunisti alafu mabomu makubwa yote kutoka nato yakaharibiwa yakiwa kwenye anga zao wenyewe hivyo wakaanza kukaangwa kwa mionzi ya mabomu yao wenyewe.
Kingine naamini zile dakika 5 za kwanza wachina na warusi watakuwa bize kulinda anga zao zaidi huku wakitungua satellite za nato zote alafu ndipo wataanza kuwaadabisha hawa mbwa.
Katika record sijaona silaha iliyomsumbua Urusi pale Ukraine alafu cha ajabu Putin na serikali yake hawana hofu kabisa ila wanaongea kwa kifupi sana kwamba, kila mtakacholeta tutakuharibu! Hii inaonesha anawajua nato kuliko wanavyojijua.
Urusi libarikiwe sana na iheshimiwe na kila mwenye akili timamu
Nyie ndio mnaonekana comedian [emoji28][emoji23][emoji23][emoji23] kipanya unachekesha sana kwa kweli.aliyepost video kuwa Bakhmut imeanguka yeye yupo front(Bakhmut).Zelensk anayekanusha, anakanusha akiwa Bakhmut sehemu gani?
Mkuu kila mtu anaamua kujiaibisha kwa namna yake.🇷🇺 🇵🇱 Speaker of the State Duma, Volodin:
"Poland must return the territories acquired as a result of the Second World War and reimburse Russia for the funds spent on it in the war and post-war years, "
According to estimates today, we are talking about more than $750 billion. 🇵🇱 🇷🇺
Kipanya mbona mbishi kuelewa.wote wanaowapa taarifa kuwa Bakhmut bado haijanguka wapo mbali na Bakhmut.sasa unapataje ujasiri wa kumbishia mtu anayetoa taarifa kutokea Bakhmut kwenyewe.Nyie ndio mnaonekana comedian [emoji28]
The Ukrainian military are advancing on the flanks in the suburbs of Bakhmut and are close to tactically encircling the city, Commander of the Ground Forces of the Armed Forces of Ukraine, Colonel General Oleksandr Syrskyi says.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kama kawaida: aliyeishia hoja anakimbilia matusi. Badala ya kujibu jambo, unaweza kutukana tu wapinzani wa Putin.URUSI yupo kwenye operation ya kuondoa mashoga karibu na mipaka yake.