Imole
JF-Expert Member
- Jan 8, 2021
- 1,546
- 4,327
Mwonee huruma kamanda mtu kama Kipanya yupo kwenye hali ngumu.Sijui ni unblock kipanya
Tafsiri ya picha:
Kampuni ya Ulinzi imewafukuza NATO!! Maajabu hayeshi Dunia hii...! NATO ndiyo wakuiga mbinu za digidigi kweli kisa kampuni ya Ulinzi...!?kp kipanya44 unazungumzia bakhmut hii au ile ya hapo kwenu kiparang'anda
Leo ni mwendo wa whisky na nyama choma mpaka majogoo....urrrraaaa[emoji635][emoji635]View attachment 2629304
Wagner Wamewaibisha sana Nato, na Wanajuta kwa nini waliingia kwenye hii vitaKampuni ya Ulinzi imewafukuza NATO!! Maajabu hayeshi Dunia hii...! NATO ndiyo wakuiga mbinu za digidigi kweli kisa kampuni ya Ulinzi...!?
Yaani Kipanya Websites zote zinazo report Bakhmut imeanguka ni machizi,wewe ndiye mjanja,I don't think so.Mimi pia naamini Bakhmut has fallen.Kwanza Wagner hawajawahi ku-claim Bakhmut has fallen,why now?Bakhmut has indeed fallen.Huwezi kumuelewa chizi shekhe, ndio maana wote wanaomshangilia wanaonekana machizi vilevile [emoji1787]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
😄😄😄Kaa kwa kutulia Sasa Ili uweze kuiona air force ya ukraine ikiyachakaza majeshi ya fashisti!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kama kawaida - pasipo na hoja, matusi ni kimbilioUsimsahau Zungu pori Umshana
Acha ufala hilo sio tusi, waulize Waswahili wakufundishe wewe Zungu poriKama kawaida - pasipo na hoja, matusi ni kimbilio
Safari imewadia haponi huyoVoenkor announced the critical condition of the Commander-in-Chief of the AFU.
Valery Zaluzhny is in the main military clinical hospital in Kiev.
“The struggle for his life continues there, including with the participation of foreign specialists,” reporter Andrey Rudenko .
According to him from a source in the leadership of the AFU ,Zaluzhny was seriously wounded on May 8 during a visit to one of the command posts of the Eastern Group of the AFU in the Dnipropetrovsk region. Information is hidden in order to prevent panic among the military.
====/===/////////======
WAGNER wamemfanya kitoweo huyu kamanda mkuu wa vikosi vya ukraine, kama ni mzima au ameshakufa ila wanatuficha watajua wao safari imewadia haponi huyo
Nyumbani kabisa[emoji1]Oddessa
Ila huyu Bruce wa mchongo Bruce gn misuli haionekaniUkraine itawalazimu kumfufua huyu bwana bruce lee, huyu ndiye mwanadamu pekee mwenye uwezo wa kulisimamisha jeshi la wagner.
Si kwa mazoezi hayaView attachment 2628861
😃😃😃😃😃😃🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏Tafsiri ya picha:
JB: ^Hivi utaweza kweli? Hii ngoma utatoboa? Silaha zetu zote jamaa kazigeuza machumachuma. Au nikupeleke twende zetu Washington nikakupe hata kazi ya kupokea wageni ofisini kwangu?^
Zelenskyyy: ^Kitu kama hicho! Manake hawa jamaa soon watanila kichwa.^
Wa neonazi Ukraine wamekiri kupotezaMaeneo ya Bakhmut ambayo bado yanashikiliwa na vijana wakakamavu wa Kamanda Zelensky ni haya: -