Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 13,481
- 26,392
Ngoja nijibu kwa niaba yake, because yuko Poland kwenye training za F-16 akijiandaa kwa historical counteroffensive.Kipanya unasemaje bukhmut tuijenge kama mariupol au kama beijing
ushauri tafadhali!
T14 Armata yeye kama ada anafanyia training zake kwenye airbase kuu ya Fort Bragg Marekani. Wengine bado wanafuatilia passport za kuingilia UK na ^Ujeremani.^
Yule MK254 yeye angali akichangisha nauli ili awahi JKIA. Imagine ameniomba nimchangie. Sharti moja nimemwambia: sasa hivi ni mwendo wa Ruble tu. So, nimempa around 100,000 Rubles (almost 3 mil TZS).
Alitaka nimkopeshe, lakini sie Warusi tunatoa bure tu kama yale makombora ya Kinzhal. Mods wengeruhusu private messages ziwe public, ningeposti ushahidi faster. Anyways!
Back to Bakhmut:
Kijengwe kiwanda & karakana kubwa ya kuyeyushia machumachuma ya NATO; sie hatuna tena nafasi ya kuyaweka huku Moscow.