Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwa asilimia 90% inawezekana Warusi wakishirikiana na wachina wameshajua NATO hawana silaha za kuwatisha tena.
Hata nyuklia wanazojidai nazo utakuta wameshapata dawa yake hivyo wanawachora tu wajiingize mazima pale Ukraine wawafanyie surprise. Hiki ni kipindi muhimu sana kwa jamii ya wanadamu... Ninayo raha kuishi kipindi hiki nione shetani anavyoaibika
Utasubiri sn meli airport na haitafika.
 
nyuklia wanazojidai nazo utakuta wameshapata dawa yake hivyo
Vidonge vya Iodine na vingine. Nyakati hizi serikali yetu inatakiwa iwe na stoko ya kutosha watu million 100 ya vidonge hivi.
===
1. Iodine tablets will block the absorption of radioactive iodine by the thyroid gland and reduce the risk of you contracting cancer of the thyroid gland. Iodine tablets only provide protection against radioactive iodine and not against other radioactive substances.

2.The drug, HOPO 14-1, is thought to work against several materials that might be used in weapons, including uranium. If it proves safe and effective it could guard against potential harm from nuclear accidents or terrorist attacks. About 42 volunteers will try different doses, checking for side effects.
 
Medved Replies To Elon Munsk on Twitter

ELON...Btw, how's it going in bakhmut?

MEDVED.....You asked me about Bakhmut..come and see for yourself![emoji1][emoji1]View attachment 2629312
Pro-Russia & Pro-NATO, hebu jifunzeni kitu hapa kwa Elon & Medvedev. Hakuna sababu ya kuporomosha ^me-two-sea^ ili tu hoja yako ikubalike.

NB: Nasikia kituo kinachofuata ni Kiev, then Poland.
 
'Mshua' kawapongeza Wagner kwa kuikomboa Bakhmut

Mungu ibariki Russia, Mungu mbariki Mshua wetu Putia

SmartSelect_20230521-065701_Chrome.jpg
 
Vidonge vya Iodine. Nyakati hizi serikali yetu inatakiwa iwe na stoko ya kutosha watu million 100 ya vidonge hivi.
===
Iodine tablets will block the absorption of radioactive iodine by the thyroid gland and reduce the risk of you contracting cancer of the thyroid gland. Iodine tablets only provide protection against radioactive iodine and not against other radioactive substances.
Licha ya vidonge, unaweza kushangaa vikiibuka vita kubwa kati ya nato na wakomunisti alafu mabomu makubwa yote kutoka nato yakaharibiwa yakiwa kwenye anga zao wenyewe hivyo wakaanza kukaangwa kwa mionzi ya mabomu yao wenyewe.
Kingine naamini zile dakika 5 za kwanza wachina na warusi watakuwa bize kulinda anga zao zaidi huku wakitungua satellite za nato zote alafu ndipo wataanza kuwaadabisha hawa mbwa.

Katika record sijaona silaha iliyomsumbua Urusi pale Ukraine alafu cha ajabu Putin na serikali yake hawana hofu kabisa ila wanaongea kwa kifupi sana kwamba, kila mtakacholeta tutakuharibu! Hii inaonesha anawajua nato kuliko wanavyojijua.

Urusi libarikiwe sana na iheshimiwe na kila mwenye akili timamu
 
Katika record sijaona silaha iliyomsumbua Urusi pale Ukraine alafu cha ajabu Putin na serikali yake hawana hofu kabisa ila wanaongea kwa kifupi sana kwamba, kila mtakacholeta tutakuharibu! Hii inaonesha anawajua nato kuliko wanavyojijua.
Kauli kubwa utasikia wanasema:
Malengo ya SMO yapo pale pale, kadri munavyozidi kumpatia silaha ukraine ndio maumivu zaidi yatazidi kiupande wao.

BY dimitri Peskov.
🤣🤣🤣


Kinachofuata baada ya hapo ni kuzilenga silaha za NATO kwa njia yeyote ile.

Javelin, himars, internet ya elon musk......vyote russia kavitafutia dawa
 
Maeneo yaliyokuwa yametekwa pembezoni mwa Bukhmut Sasa yameshatekwa na Urusi .Hebu soma hapa Chini jinsi Ukraine yaani akina @kipanya44, @umshama na wengineo wanavyolialia.
👉👉👉 Ukrainian Post

Meanwhile, in many areas of the front, many gifts are flying to the rear of the occupiers.

Probably, they smoked a lot in prohibited places😎

Wait, you bastards, the time will come👹
 
Bakhmut has indeed fallen,and in the mean time the stupidity of the collective West has been exposed.But in all this where is the Millitary Chief of the Ukranian Army and Vlodomyr Zelensky?!

 
Kampuni ya Ulinzi imewafukuza NATO!! Maajabu hayeshi Dunia hii...! NATO ndiyo wakuiga mbinu za digidigi kweli kisa kampuni ya Ulinzi...!?
Halafu eti tunapeleka wanajeshi wetu for training Marekani au tunatumia American Millitary Advicers,upuuzi mtupu,Russia ndiye mwanaune bwana.This is a wake-up call,tupelekewa wanajeshi wetu Urusi for training,na Millitary Advicers wetu watoke Urusi..

Putin ana mbwembwe.........,mwananaume kwa mkogo kabisa kasema,"we have not started yet." Duh,hamjaanza huku NATO chali!Sawa Boss Putin,sasa mtakapoanza itakuwaje,ngoja tusubiri.
 
Putin congratulates Wagner assault teams with liberation of Artyomovsk — Kremlin

Everyone, who distinguished himself in the battle, will be recommended for the state decorations, the Kremlin’s press office said in a statement
 
Back
Top Bottom