President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Nikuuliza Taifa linaloitwa Poland liliundwa mwaka gani?Mkuu kila mtu anaamua kujiaibisha kwa namna yake.
Bwana Volodin anataka kurudisha maeneo yalikuwa sehemu za Poland baada ya Vita Kuu ya Pili. Hm, kurudisha kunamaanisha kuyarudisha kwa Ujerumani. (maana theluthi moja ya Poland ya leo ilikuwa nchi ya Ujerumani hadi 1945)
Ila Wajerumani walishakubali kwamba walishindwa kwenye vita na ameneo hayo yalipotea. Hawana hamu kuanzisha vurugu upya kwa kulipiza kisasi. Hawana nia kama Bwana Putin anayelia machozi kuhusu kuanguka kwa ukoloni wa Urusi wa zamani, akijaribu sasa kurudi nyuma katika historia kwa kushambulia Ukraine.
Kwa maneno yake Volodin anajaribu kuficha kumbukumbu ya jinai ya 1939 ambako USSR ilipatana na Ujerumani ya Hitler kushambulia na kugawa Poland. Baada ya ushindi wa Ujerumani kwenye Septemba 1939, USSR ilivamia na kutwaa zaidi ya nusu ya Poland, iliyofuatwa na mashambulio ya USSR dhidi ya Latvia, Estonia, Lithuania na Moldova. Yote yalikuwa koloni.
Acha dunia ijifunze.Tukisema Urusi anapambana na USA na washirika wake ushahidi ndo huo
Hii ndiyo ramani ya hapo kale kuhusu Poland. Niambie lini Poland ilikuwa Taifa?Mkuu kila mtu anaamua kujiaibisha kwa namna yake.
Bwana Volodin anataka kurudisha maeneo yalikuwa sehemu za Poland baada ya Vita Kuu ya Pili. Hm, kurudisha kunamaanisha kuyarudisha kwa Ujerumani. (maana theluthi moja ya Poland ya leo ilikuwa nchi ya Ujerumani hadi 1945)
Ila Wajerumani walishakubali kwamba walishindwa kwenye vita na ameneo hayo yalipotea. Hawana hamu kuanzisha vurugu upya kwa kulipiza kisasi. Hawana nia kama Bwana Putin anayelia machozi kuhusu kuanguka kwa ukoloni wa Urusi wa zamani, akijaribu sasa kurudi nyuma katika historia kwa kushambulia Ukraine.
Kwa maneno yake Volodin anajaribu kuficha kumbukumbu ya jinai ya 1939 ambako USSR ilipatana na Ujerumani ya Hitler kushambulia na kugawa Poland. Baada ya ushindi wa Ujerumani kwenye Septemba 1939, USSR ilivamia na kutwaa zaidi ya nusu ya Poland, iliyofuatwa na mashambulio ya USSR dhidi ya Latvia, Estonia, Lithuania na Moldova. Yote yalikuwa koloni.
Mkuu kweli hujui??Nikuuliza Taifa linaloitwa Poland liliundwa mwaka gani?
Zinawasaidia nini wakati Russia anaendelea kuchukua maeneo sasa hivi tunaelekea Odessa.Wengine waliuliza mara kwa mara kwa nini hawasikii tena habari za Himars. Wasikate tamaa, habari ziko!
Home » Russian Aggression » Russo-Ukrainian war 2022-2023 »
Frontline update: Ukrainians withdraw from most of positions in Bakhmut, conduct HIMARS strikes at Russian reinforcements
Ukrainians conducted a series of very successful HIMARS strikes at the Russian troops relocating to the Bakhmut direction. Relocation creates a perfect opportunity for identifying, tracking, and destroying enemy forces’ concentrations......
In the meantime, more information became available about Ukrainian yesterday’s strike on unspecified buildings near the airfield in Mariupol. Today satellite footage became available of this area, which shows that HIMARS rockets entered the center of the building. Ukrainian sources reported that there was an underground facility that was used as a high-level command post of the Russian forces that are operating in the Vuhledar and Zaporizhzhia areas. The Ukrainian Mariupol advisor to the mayor reported that 24 troops were killed and 37 were wounded. As a result of strikes on other facilities, Russians also lost a lot of vehicles of various types: from cars to APCs. Local residents noticed how Russians were transporting the destroyed machinery through the city.
A target of another strike became Tokmak in Ukraine’s Zaporizhzhia Oblast. Local residents reported hearing multiple explosions, which was later confirmed by the Russian-appointed head of the region. He stated that there were at least two explosions and that more information would become available later. HIMARS strikes were also recorded in the Donetsk Oblast. Russian independent investigative outlet reported that a Ukrainian HIMARS strike destroyed up to 10 T-90 tanks east of Marinka. Overall, it looks like by destabilizing the situation on the Bakhmut’s flanks and forcing Russians to send reinforcements, Ukrainians managed to destroy more heavy equipment during the relocation than during the storming operation of the flanks that Russians tried to reinforce. And the frequency and intensity of HIMARS strikes will continue to increase, especially as Norway and the UK recently agreed to supply Ukraine with eight artillery systems M270, which has twice as many rockets as HIMARS.
Mkuu unaleta ramani ya miaka 1776 hadi 1795. Ramani inaonyesha jinsi gani Urusi uliendeleza ukoloni wake upande wa magharibi katika miaka ile. Kwa kushirikiana na wakoloni wengine, hasa Prussia (Ujerumani kaskazini) iligawa Poland na kutwaa maeneo yake.Hii ndiyo ramani ya hapo kale kuhusu Poland. Niambie lini Poland ilikuwa Taifa?
View attachment 2630281
Mkuu nina uhakika wewe huelekei mahali popote. Utabaki mbele ya keyboard huko Buza.Zinawasaidia nini wakati Russia anaendelea kuchukua maeneo sasa hivi tunaelekea Odessa.
Nimekuuliza Poland ilikuwa Taifa mwaka gani? Naona unakwepa kujibu. Na kabla ya hapo ilikuwa inaitwa jina gani?Mkuu unaleta ramani ya miaka 1776 hadi 1795. Ramani inaonyesha jinsi gani Urusi uliendeleza ukoloni wake upande wa magharibi katika miaka ile. Kwa kushirikiana na wakoloni wengine, hasa Prussia (Ujerumani kaskazini) iligawa Poland na kutwaa maeneo yake.
Kwa hiyo ramani yake inaonyesha vizuri sana mwaka 1776 Poland ilikuwepo. Ila haionyesha historia ya Poland. Jinsi nilivyojibu, Poland kama nchi na ufalme ilianza karne kadhaa kabla Urusi.
Je unajua Urusi ilianza lini?
Nilijibu tayari: kila mwanafunzi wa historia anajua mwaka 966 BK inayokumbukwa kama mwaka wa kuundwa kwa Poland.Nimekuuliza Poland ilikuwa Taifa mwaka gani? Naona unakwepa kujibu. Na kabla ya hapo ilikuwa inaitwa jina gani?
Mkuu ushauri tu: usijaribu kugombana nami katika mambo ya historia..Hebu nikuoneshe sasa origin ya kaeneo kadoooogo ka Poland.
[emoji23][emoji23][emoji23]mr majanga nakuona unavotamani kuifungua chap hiyo link....Mbona naitafuta siioni naomba link mkuu
Watu kama hawaKweli kabisa Mkuu.
Na bado watu wengi sana hadi Sasa hivi bado wanaamini kua USA ndo Kila kitu.
eti punish..