Mfumo wa kijamaa ndio mfumo halisi; na vitabu vya dini (Biblia na Quran) vinaelekeza hivyo. Shetani katumia nguvu kubwa na resources nyingi kuuhujumu ujamaa.Sio kweli kuwa uchumi wa China upo ki ubepari zaidi bali propaganda tu za west kuonesha kuwa uchumi wa China umechangiwa na Sera za kibepari zaidi ili ionekane sera za ubepari ni bora but in reality sio kweli.
Hali ni mbaya sana, kwanini masuala ya kutunga sera wamewapa private organization kwanini wasisimamie kama serikali??
Bugucha usidanganyike mkuu,Democracy is nothing but a Luciferian tool for enslavement and domination,it has nothing to do with good gorvenance.Wajinga ndio wanaoishadidia.Nilidhani west ni democratic sana,kumbe hata wao ni mafikteta hivi mpaka mwmwanamfalme anaishi kama nguchiro!? Yoda njoo uone shoga zako wanao heshimu 'demokrasia'
Prince Harry lost the latest legal round in his fight to pay privately for police protection when he visits the United Kingdom. Harry says he doesn't feel safe visiting the U.K. with his young children, and has cited aggressive press photographers.
View attachment 2632273
Fed Reserve Board MembersHapo ndipo utafahamu kwamba kuna kikundi cha wahuni wachache ndio wanamiliki na kuendesha hiyo USA.
Ndio utafahamu kwa nini vita haziishi hapa duniani.
Kwa nini kila siku magonjwa mapya makubwa yanaibuka.
Dunia haitakuja kukaa na kuwa salama kama USA akiendelea kubakia kuwa kiranja.
Sio kweli kuwa uchumi wa China upo ki ubepari zaidi bali propaganda tu za west kuonesha kuwa uchumi wa China umechangiwa na Sera za kibepari zaidi ili ionekane sera za ubepari ni bora but in reality sio kweli.
Ukifatilia nyenzo za kiuchumi za china,makampuni makubwa na ya kati 80% yanashikiliwa na Serikali ya China sasa hapo utasemaje uchumi wa China ni wa kibepari?
Sisi mbona tupo sana mkuu [emoji116][emoji116][emoji116]Kipanya na Umshana mpo wapi?Naona baada ya mshale wa Bakhmut kupenya kisawa-sawa mmepata mstuko mnajikusanya.Okay, karibuni tena ulingoni bado tuna mengi mengi mengi sana ya ku-expose kuhusu uovu wa handlers wenu,the NWO Cabal(US+NATO or the West).Frankly mnapaswa kujitafakari,mnatetea kitu kilicho oza, Western governments are rotten entities.
Wahuni watupu.Federal Reserve ndio waliobuni mfumo wa revenue collection, mfumo ambao kimsingi ni unyang'anyi na wizi,because you are taking what does not really belong to you.Unfortunately mfumo huu wa unyang'anyi na wizi umehalalishwa kisheria in all nations,ila Federal Reserve ndio walioanza kuuhalalisha kisheria kwa hila, wakishirikiana na Congress ya Marekani.Kama watu hawajui the Federal Reserve is a private and criminal enterprise.Fed Reserve Board Members
1. Jerome H. Powell, Chair
2. Michael S. Barr, Vice Chair for Supervision
3. Michelle W. Bowman
4. Lisa D. Cook
5. Philip N. Jefferson
6. Christopher J. Waller
7. Board of Governors Members, 1914-Present