Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu kweli hali imekuwa vibaya hadi unamkimbilia Trump? Mwongo, mbakaji, mwizi na mlaghai aliyethibitishwa mara nyingi?? Pole.
Ndiyo naamini Putin ana uwezo wa kusaidia wapinzani anasemekana amejitahidi mara kadhaa kwa kuingilia chaguzi.
Sasa ni nani aliyepoteza uhai MArekani akitetea "demokrasia a kweli"?
Hakika Marekani hawahitaji silaha wala masnaipa waana wana vichaa wa aina hii wa kutosha.
Hao makundi ya Kirusi walioshambuliaBelgorod sijui vema. Nina picha kuhusu Wachechen walioko upande wa Ukraine. Ni wazalendo wanaotafuta njia za kumwondoa wakala wa Putin huko Grozny. Baada ya Chechnya kupata uhuru mnamo 1995, Putin alirudisha vita akaua bila huruma na kuharibu nchi ile ndogo na kumweka kadikteta huko...
Sipendi mauaji lakini siwezi kukana haki yao ya kujitetea.
 
Hii vita imemuacha urusi akiwa uchi wa mnyama, sijui atatamba na nini Tena[emoji1787]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kibali cha Biden cha kuandaa ndegevita kwa Ukraine na kufundisha marubani wao kilitolewa baada ya kupokea taarifa kuhusu kuangushwa kwa Kinzhal sita.
Inaonekana kulikuwa na watu waliomwonya Biden hizo roketi zinaweza kuwa tishio kweli.
Sasa inaonekana hofu hiyo imepotea.
 
[emoji298]Western officials pushed back against China's calls for an "immediate" ceasefire in Ukraine during the European tour of Chinese Special Representative for Eurasian Affairs Li Hui, the Wall Street Journal reported on May 26. [emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Medvedev on the possibility of a Russian pre-emptive nuclear strike: "Europe has lost its mind. The US is generally acting in its pragmatic interests. They are not fighting themselves, they are making money. They are trying to wipe out a centuries-old enemy. As for Europe, for me it is an amazing story. They constantly heat up and inflame the situation with their decisions. In this situation they will provide aircrafts to the Kiev regime. Moreover, maybe they will also give them nuclear weapons. But then it will mean that a missile with a nuclear charge will come to them. There are irreversible laws of war. If it comes to nuclear weapons, a pre-emptive strike will be necessary. The Anglo-Saxons don't fully realise this and think it won't come to that. It will, under certain conditions.
 
Elena Panina, director of the Institute of Russian Strategic Studies: "It's time to ask a question. How did it turn out that for the 16th month of the SMO we are seriously discussing that the Anglo-Saxons can transfer tactical nuclear weapons to Kiev, which will be used in the new territories of Russia?
By the way, why only in new regions? Moreover, for example, Moscow has already come under attack from Ukrainian drones. Colleagues from Telestream are interested in whether Russia will decide on a preemptive strike on Britain in order to "show London that bullish play is not only the prerogative of the Anglo-Saxons."
Hard to say. Our practical actions so far indicate otherwise. The British supplied Kyiv with tank shells with depleted uranium cores, then they supplied long-range Storm Shadow missiles. Prior to that, they, together with the Americans and Norwegians, staged a diversion on the Nord Streams.
In response, we did not even take a simple and logical step - we did not lower the level of diplomatic presence in relations with Britain: we did not expel their ambassador from Moscow and did not recall our own from London.
On the other hand, perhaps we are waiting for the moment when the Anglo-Saxons will do something to immediately take them all out of the game?
In any case, the transition to such a level of escalation as a preemptive strike against Britain, whether with conventional or nuclear weapons, is the responsibility of the Supreme Command. It is very difficult to predict what the President of the Russian Federation will do. He knows how to surprise.
As far as we are concerned, there is no point in teasing a nuclear-armed country with a conventional strike. It is necessary to demolish Foggy Albion immediately and completely, including with the help of strategic nuclear forces"


Siku Putin akitoka madarakani nchi ikashikwa na mwendawazimu dunia itajuta πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
If the West provides Ukraine with nuclear weapons, "it will be necessary to launch a preemptive strike," Medvedev said. According to him, the West is not fully aware of this and believes that it will not come to this: "It will come, under certain conditions."
t.me/mriya24/22511
 
Ukraine is losing on this Battlefield"- Lloyd Austin When you can't keep up with the lies, you just have to tell the truth. Pro Ukrainians live in a fantasy world. In reality, Ukraine is losing to Russia and it's getting worse each day.
 

Kumbe propaganda ya Putin inaongeza makelele. Hakuna aliyejadili kuwapatia Ukraine silaha za kinyuklia.
Ila Medvedev na wenzake walipenda mara kwa mara kufanya matishio ya vita ya nyuklia. Hakuna aliyewaamini.
Labda wanatafuta sasa njia mya ya kuwaaminisha Warusi kuna mipango ya aina hii?
Ni hii sababu ya kudai eti Uingereza inataka kuwapa ukraine silaha za nyuklia?
Ilhali hakuna aliyewahi kutafakari au kujadili jambo hilo?
 
Mtego uwo kimbia mbio[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…