Kumbe unamwamini Mathanzua akijiita "microbiologist"??? Amewahi pia kujiita "mchungaji". Unaona dalili kwamba chochote ni kweli ???Inawezekana kabisa kama microbiologist Mathanzua asemavyo hii ni chatbot🤔.
Maneno yake ni kama google translate kabisa! Au ni AI labda nn!? Basi irudishe feedback imefeli kujifanya ni mtu.
Huwa sifuatani na nadharia njama kama za braza. Lakini inaonesha kuna faida ya kuwasikiliza watu walio suspicious na kila kitu western kama braza. Kama hapa katusaidia tumejua kuwa the so called western-kabalistic-khazarianmafia-ajenda 😌. Is using even some bots and AI to install propaganda promulgating devices to try control peoples' perception. 'Evil indeed' 😆😆 in Mathanzua 's voice.
Anyway, to braza pamoja na kuwa sidhani kama kuna ulazima wa kumuhisisha shetani na hili. Au kuwa paranoid saana kwamba wanataka kuua saana.
Nadhani tu ni mambo ya ukoloni na kujaribu kuendelea kututawala, sababu inajulikana; When two intelligent species colide, they often struggle to dominate each other rather than annihilate each other.
Haikatai, kuwa microbiologist na kuwa mchungaji sio mutually exclusive.Kumbe unamwamini Mathanzua akijiita "microbiologist"??? Amewahi pia kujiita "mchungaji". Unaona dalili kwamba chochote ni kweli ???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani mbadala wa gesi iwe solar na maji.ivi una uelewa wowote ule kuhusu nishati maana unachongea ujijui.Mkuu inaonekana sehemu kubwa ya habari za miaka iliyopita ilipita kwako??? Nchi nyingi zimeamua kuachana na gesi na mafuta. Kadri zinavyofaulu kuhamia nishati mbadala (umeme wa sola, upepo, maji...) hazihitahi gesi na mafuta mengi. Shabaha ni kufika SIFURI gesi na mafuta hadi 2040 / 2050.
Halafu tekinolojia zimeongeza akiba ya gesi. Maana yake kwa Ulaya: viwango vya gesi ambavyo bado vinahitajika (ilhali vinapungua) vinapatikana pia kutoka vyanzo vingine hasa gesi miminika kutoka Marekani, Uarabuni, na labda baadaye kidogo pia kutoka Tanzania.
Urusi haihitajiki tena kwa Ulaya. Genius Putin aliua miradi mikubwa kama Nordstream na kuzuia mipango mingine. Sasa anaweza kujaribu kuuza China - akifaulu kujenga mabomba ya nyongeza baada ya miaka kadhaa. . . .
Kwanza unajua matumizi ya gas viwandani na nyumbani maana unaongea kitu usichokielewa kabisa.Mkuu inaonekana sehemu kubwa ya habari za miaka iliyopita ilipita kwako??? Nchi nyingi zimeamua kuachana na gesi na mafuta. Kadri zinavyofaulu kuhamia nishati mbadala (umeme wa sola, upepo, maji...) hazihitahi gesi na mafuta mengi. Shabaha ni kufika SIFURI gesi na mafuta hadi 2040 / 2050.
Halafu tekinolojia zimeongeza akiba ya gesi. Maana yake kwa Ulaya: viwango vya gesi ambavyo bado vinahitajika (ilhali vinapungua) vinapatikana pia kutoka vyanzo vingine hasa gesi miminika kutoka Marekani, Uarabuni, na labda baadaye kidogo pia kutoka Tanzania.
Urusi haihitajiki tena kwa Ulaya. Genius Putin aliua miradi mikubwa kama Nordstream na kuzuia mipango mingine. Sasa anaweza kujaribu kuuza China - akifaulu kujenga mabomba ya nyongeza baada ya miaka kadhaa. . . .
Nasikia Kiev akurudi ila alionekana maeneo ya dombass.[emoji1787][emoji23][emoji23]Hivi zelensyk alisharudi kyivu kweli
Na jengine hili hapa lilitoka kwenye interview moja hivi janaRussian- Ukraine war caused a global economic shock. Discuss
Swali limetoka kwenye interview ya Mchumi- Bunge. Kiukweli hili swali nimelionea kuliko yote[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Russian forces easing attacks on Bakhmut in order to regroup, says Ukraine
Russian forces have temporarily eased their attacks on Bakhmut to regroup and strengthen their capabilities, a senior Ukrainian official has said.
In a statement on Telegram, Ukraine's Deputy Defence Minister Hanna Maliar said Russian forces have continued attacking but that "overall offensive activity has decreased".
"Yesterday and today there have not been any active battles - neither in the city nor on the flanks," she wrote, adding that Moscow's troops were instead shelling the outskirts and approaches to Bakhmut.
"The decrease in the enemy's offensive activity is due to the fact that troops are being replaced and regrouped," Maliar said.
"The enemy is trying to strengthen its own capabilities."
She added that Ukrainian troops "firmly hold" the heights overlooking Bakhmut from the north and south, as well as a portion of the outskirts, but have not advanced during the past two days to focus on "other tasks".
It comes after Russia's mercenary Wagner group started handing over its positions to regular Russian troops earlier this week.
Here's the latest territorial situation around Bakh
==========================
Kabla ya kuanza kwa hii SMO, Urusi ilionekana kama dude kubwa mno la kutisha kumbe sio hivyo.....hata Mzee Putin na genge lake walijiona supa-pawa.
Propaganda ina nguvu sana ikitumika vyema.
Hicho kitongoji tu wametumia zaidi ya nusu mwaka na rasilimali za kutosha kukidhibiti, eti ndio wakupambana na NATO huyu ?....
Urusi haiwezi kamwe kumaliza hii Vita kwa ushindi wa kijeshi bila mazungumzo ya kidiplomasia.

Here's the latest territorial situation around Bakhmut...

Warusi walikuwa na vikosi vingi tu hapo Bakhmut ikiwemo vikosi maalumu (special forces), hao Wagner hawakuwa peke yao.Private military company hii inayorecruit wafungwa mda mfupi na kuwapeleka frontline, inawezaje kushinda jeshi la nchi ambalo linashika nafasi ya 15 kidunia mpaka kupelekea Ukraine kupoteza zaidi ya wanajeshi 70K+ kuipigania Bakhmut?
Hilo movie ni kama la Van Dame na Shokoshugi ...au Leathal weapon adui kuu Jet LI ...masteringi wanagongeshwa mpaka wanakimbia.... Putin weka kigingi kamtia hapohapooo.. ndio mtajua hamjui...Russian forces easing attacks on Bakhmut in order to regroup, says Ukraine
Russian forces have temporarily eased their attacks on Bakhmut to regroup and strengthen their capabilities, a senior Ukrainian official has said.
In a statement on Telegram, Ukraine's Deputy Defence Minister Hanna Maliar said Russian forces have continued attacking but that "overall offensive activity has decreased".
"Yesterday and today there have not been any active battles - neither in the city nor on the flanks," she wrote, adding that Moscow's troops were instead shelling the outskirts and approaches to Bakhmut.
"The decrease in the enemy's offensive activity is due to the fact that troops are being replaced and regrouped," Maliar said.
"The enemy is trying to strengthen its own capabilities."
She added that Ukrainian troops "firmly hold" the heights overlooking Bakhmut from the north and south, as well as a portion of the outskirts, but have not advanced during the past two days to focus on "other tasks".
It comes after Russia's mercenary Wagner group started handing over its positions to regular Russian troops earlier this week.
Here's the latest territorial situation around Bakhmut...
==========================
Kabla ya kuanza kwa hii SMO, Urusi ilionekana kama dude kubwa mno la kutisha kumbe sio hivyo.....hata Mzee Putin na genge lake walijiona supa-pawa.
Propaganda ina nguvu sana ikitumika vyema.
Hicho kitongoji tu wametumia zaidi ya nusu mwaka na rasilimali za kutosha kukidhibiti, eti ndio wakupambana na NATO huyu ?....
Urusi haiwezi kamwe kumaliza hii Vita kwa ushindi wa kijeshi bila mazungumzo ya kidiplomasia.
Maneno anayotumia hakuna mtanzania aayatumia vyovyote iwavyo .... Hii ni chatbox,AI au Robot... Ndio maana muda nimejibu nimwambia nenda Tena google translate ukatafsiri ulete majibu ...karudi anarukaruka tu ...Inawezekana kabisa kama microbiologist Mathanzua asemavyo hii ni chatbot🤔.
Maneno yake ni kama google translate kabisa! Au ni AI labda nn!? Basi irudishe feedback imefeli kujifanya ni mtu.
Huwa sifuatani na nadharia njama kama za braza. Lakini inaonesha kuna faida ya kuwasikiliza watu walio suspicious na kila kitu western kama braza. Kama hapa katusaidia tumejua kuwa the so called western-kabalistic-khazarianmafia-ajenda 😌. Is using even some bots and AI to install propaganda promulgating devices to try control peoples' perception. 'Evil indeed' 😆😆 in Mathanzua 's voice.
Anyway, to braza pamoja na kuwa sidhani kama kuna ulazima wa kumuhisisha shetani na hili. Au kuwa paranoid saana kwamba wanataka kuua saana.
Nadhani tu ni mambo ya ukoloni na kujaribu kuendelea kututawala, sababu inajulikana; When two intelligent species colide, they often struggle to dominate each other rather than annihilate each other.
Uzuri tushaishtukiaManeno anayotumia hakuna mtanzania aayatumia vyovyote iwavyo .... Hii ni chatbox,AI au Robot... Ndio maana muda nimejibu nimwambia nenda Tena google translate ukatafsiri ulete majibu ...karudi anarukaruka tu ...
Ndio maana niliacha kumjibu ..hashirikishi halmashauri ya kichwa chake....Ebu acha kuchekesha watu wewe.yani mauzo ya gesi ya urusi kwa ulaya yashuke mpaka asilimia 50.unafikiri wanatoa wapi gesi ya kuweza kuziba ilo pengo la gesi la Urusi. Au ndo unachana na gesi unarudi zama za makaa ya mawe.
Hakuna mwenye jeuri ya kuikimbia gesi ya Mrusi maana ukikataa kununua Urusi,nyingine unatoa wapi.ndo maana alivyowambia anauza kwa ela yake, hakuna aliyegoma.hakuna kiongozi mwenye ujasiri uwo.
Muoneeni huruma ....Kwanza unajua matumizi ya gas viwandani na nyumbani maana unaongea kitu usichokieleaa kabisa.
Yani mbadala wa gas iwe solar au upepo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha ujinga, hivyo vitu wanajaribu ktk mambo madogomadogo lakini bado sana na itachukua miaka mingi sanaaa tena sanaaa kuja kuachana na matumizi ya mafuta na gesiMkuu inaonekana sehemu kubwa ya habari za miaka iliyopita ilipita kwako??? Nchi nyingi zimeamua kuachana na gesi na mafuta. Kadri zinavyofaulu kuhamia nishati mbadala (umeme wa sola, upepo, maji...) hazihitahi gesi na mafuta mengi. Shabaha ni kufika SIFURI gesi na mafuta hadi 2040 / 2050.