MR MAJANGA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 3,526
- 10,820
Sema muhandisi mkuu - ni mifano gani ambako umeme wa sola, upepo, maji haiwezi kuchukua nafasi ya gesi?Kwanza unajua matumizi ya gas viwandani na nyumbani maana unaongea kitu usichokielewa kabisa.
Yani mbadala wa gas iwe solar au upepo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Crimea gani izo au kina Crimea mbili maana mi nipo hapa Crimea na hali shwari tu.au unaongelea Crimea ya kipawaAise nyie watu mna siri! Kumbe kitu kizito chenye ncha kali kimeshuka Crimea.
Kwa iyo kukaa kote mjini ina maana ujui gas ina umuhimu gani na matumizi yake kwenye nchi.Sema muhandisi mkuu - ni mifano gani ambako umeme wa sola, upepo, maji haiwezi kuchukua nafasi ya gesi?
Crimea gani izo au kina Crimea mbili maana mi nipo hapa Crimea na hali shwari tu.au unaongelea Crimea ya kipawa
Kwa iyo kukaa kote mjini ina maana ujui gas ina umuhimu gani na matumizi yake kwenye nchi.
*Sasa chuma, bati, glass unayeyusha na nini kiwandani?
- majumbani unapikia na nini ?
- hospital ile mitungi ya kuwasaidia watu kupumua uwa inajazwa nini?
*Viwandani matumizi ya gas ni mengi sana yani nikikuandikia hapa basi itakuwa balaa usione vitu vinatoka tu kiwandani.
*Bila gas sabuni unatengenezaje.
*Au unajua gas ni kwa ajili ya kuzalisha umeme tu kama ilivyo pale ubungo.
*Bila gas madawa unatengenezaje.
Sasa hapo maji au solar vinachukua nafasi gani hapo?
Mkuu amini usiamini - Zama za Mawe yamekwisha siku hizi (angalau katika sehemu kubwa ya Dunia, hata kwenye vichwa vingi)Kwa iyo kukaa kote mjini ina maana ujui gas ina umuhimu gani na matumizi yake kwenye nchi.
*Sasa chuma, bati, glass unayeyusha na nini kiwandani?
- majumbani unapikia na nini ?
- hospital ile mitungi ya kuwasaidia watu kupumua uwa inajazwa nini?
*Viwandani matumizi ya gas ni mengi sana yani nikikuandikia hapa basi itakuwa balaa usione vitu vinatoka tu kiwandani.
*Bila gas sabuni unatengenezaje.
*Au unajua gas ni kwa ajili ya kuzalisha umeme tu kama ilivyo pale ubungo.
*Bila gas madawa unatengenezaje.
Sasa hapo maji au solar vinachukua nafasi gani hapo?
Kuna kitu naona wewe ukijui ila unakimbia kimbia tu pasipo kuelewa unaongelea nini.ulikuwa unaitaji matumizi ya gas sasa nimekupa matumizi ya gas.Mkuu amini usiamini - Zama za Mawe yamekwisha siku hizi (angalau katika sehemu kubwa ya Dunia, hata kwenye vichwa vingi)
* Kioo: Developments in all-electric glass melting
Developments in all-electric glass melting
All-electric glass furnaces are anything but a brand new invention. There is a rich history in melting glass only with electricity. ...
* Feleji / vyuma vyovyote: Electric arc furnace - Wikipedia (mifano mingi mno!!) na Metal melting and energy saving in different types of melting furnaces
Kupika: kweli hujawahi kuona jiko la umeme? Tena ziko nyingi!! Mfano Marekani: asilimia 68 za nyumba hutumia umeme (Infographic: Electric or Gas? What the U.S. Is Cooking On), Ulaya: 45% na asilimia inazidi kuongezeka (https://mecs.org.uk/blog/the-gas-to-electric-cooking-transition-in-the-oecd/=
mitungi ya kuwasaidia watu kupumua - je unataka kuwaua wagonjwa kwa kuwalisha gesi ya Urusi?????? Hii mitungi inajaa oksijeni !!
Kwa hiyo, muhandisi: heri rudi shuleni, anza upya.
Kila mchakato unapohitaji joto unaweza kutumia umeme.
Au kwa mfano gesi ya hidrojeni unayopata kwa njia ya kupasua molekuli za maji kwa msaada wa umeme. Gesi hii ikichomwa inazalisha joto - na maji tena. Hakuna gesi ukaa, tofauti na gesi asilia ambayo ni kabohidrati.
(samahani nikitumia maneno ambayo hujawahi kusikia...)
Mkuu mifano yako kuhusu matumizi ya gesi zote zilikuwa sawa.Kuna kitu naona wewe ukijui ila unakimbia kimbia tu pasipo kuelewa unaongelea nini.ulikuwa unaitaji matumizi ya gas sasa nimekupa matumizi ya gas.
Gas ina matumizi makubwa sana viwandani na majumbani ila wewe unalazimisha vitu pasipo kujua.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unachekesha sana kwa kweli.ivi kuna mfanyabiashara ambaye hataki faida kweli. Gas ya hydrojen kilo moja tu inafika mpaka Tsh 15, 000.icho kiwanda cha kutumia Hydrojen kitakuwa kimetoka mbinguni.Mkuu amini usiamini - Zama za Mawe yamekwisha siku hizi (angalau katika sehemu kubwa ya Dunia, hata kwenye vichwa vingi)
* Kioo: Developments in all-electric glass melting
Developments in all-electric glass melting
All-electric glass furnaces are anything but a brand new invention. There is a rich history in melting glass only with electricity. ...
* Feleji / vyuma vyovyote: Electric arc furnace - Wikipedia (mifano mingi mno!!) na Metal melting and energy saving in different types of melting furnaces
Kupika: kweli hujawahi kuona jiko la umeme? Tena ziko nyingi!! Mfano Marekani: asilimia 68 za nyumba hutumia umeme (Infographic: Electric or Gas? What the U.S. Is Cooking On), Ulaya: 45% na asilimia inazidi kuongezeka (https://mecs.org.uk/blog/the-gas-to-electric-cooking-transition-in-the-oecd/=
mitungi ya kuwasaidia watu kupumua - je unataka kuwaua wagonjwa kwa kuwalisha gesi ya Urusi?????? Hii mitungi inajaa oksijeni !!
Kwa hiyo, muhandisi: heri rudi shuleni, anza upya.
Kila mchakato unapohitaji joto unaweza kutumia umeme.
Au kwa mfano gesi ya hidrojeni unayopata kwa njia ya kupasua molekuli za maji kwa msaada wa umeme. Gesi hii ikichomwa inazalisha joto - na maji tena. Hakuna gesi ukaa, tofauti na gesi asilia ambayo ni kabohidrati.
(samahani nikitumia maneno ambayo hujawahi kusikia...)
Alafu mbona ujakimbia bado maana upo pale pale kwa sababu Hydrojen ni gas na Oxygen nayo ni gas.Mkuu mifano yako kuhusu matumizi ya gesi zote zilikuwa sawa.
Lakini unajaribu kukimbia tulichojadili.
swali langu lilikuwa:
"ni mifano gani ambako umeme wa sola, upepo, maji haiwezi kuchukua nafasi ya gesi?"
Ukaleta mifano ya matumizi ya gesi. Hujaonyesha dalili kwamba unajua hayo yote yanawezekana kwa kutumia umeme.
Maneno yako yalikuwa "mbadala wa gas iwe solar au upepo."
Ndiyo, umeme unaweza kufanya kazi hizi. Ukiamini au usipoamini.
Umeme inaweza kuzalishwa kwa njia mbadala bila kuchafusha mazingira kwa sola, upepo, maji na mengine.
Boiler viwandani zitaendeshwa na Nini?.Mkuu mifano yako kuhusu matumizi ya gesi zote zilikuwa sawa.
Lakini unajaribu kukimbia tulichojadili.
swali langu lilikuwa:
"ni mifano gani ambako umeme wa sola, upepo, maji haiwezi kuchukua nafasi ya gesi?"
Ukaleta mifano ya matumizi ya gesi. Hujaonyesha dalili kwamba unajua hayo yote yanawezekana kwa kutumia umeme.
Maneno yako yalikuwa "mbadala wa gas iwe solar au upepo."
Ndiyo, umeme unaweza kufanya kazi hizi. Ukiamini au usipoamini.
Umeme inaweza kuzalishwa kwa njia mbadala bila kuchafusha mazingira kwa sola, upepo, maji na mengine.
Hajui umuhimu wa gas huyu.uwezi kuikimbia Natural gas hata siku mojaBoiler viwandani zitaendeshwa na Nini?.
Je boiler viwandani unafikir Kwa Nini wamehama kutoka kwenye makaa ya mawe, Kuni, umeme na kukimbilia gas?.
Kumbuka: kuna sehemu za dunia ambako Zama za Mawe zimewkisha... Kuna majadiliano pana sana kuhusu tekinolojia ya hidrojeni. Itakuwa nafuu mara umeme mbadala unapatikana kwa wingi. Maana changamoto ya sola na upepo ni hazipatikani kila wakati. Leo tayari Ulaya wanazima mashine za upepo kwa sababu umeme unazidi. Hapo ni chanzo cha mipango cha kuzalisha hidrojeni kwa njia ya hidrolisisi ili kuhifadhi nishati hiyo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unachekesha sana kwa kweli.ivi kuna mfanyabiashara ambaye hataki faida kweli. Gas ya hydrojen kilo moja tu inafika mpaka Tsh 15, 000.icho kiwanda cha kutumia Hydrojen kitakuwa kimetoka mbinguni.
????? Sijui kama umeguswa na somo la fizikia maishani mwako; kimsingi kila kitu kinapatikana kama gesi kama halijoto ni sawa. Hatujajadili gesi kwa maana ya Fizikia.Alafu mbona ujakimbia bado maana upo pale pale kwa sababu Hydrojen ni gas na Oxygen nayo ni gas.
Kuna kitu ukijui kuhusu gharama za nishati.natural gas ni nafuu kuliko nishati yoyote ile na pia ni salama kwa utunzaji wa mazingira.Kumbuka: kuna sehemu za dunia ambako Zama za Mawe zimewkisha... Kuna majadiliano pana sana kuhusu tekinolojia ya hidrojeni. Itakuwa nafuu mara umeme mbadala unapatikana kwa wingi. Maana changamoto ya sola na upepo ni hazipatikani kila wakati. Leo tayari Ulaya wanazima mashine za upepo kwa sababu umeme unazidi. Hapo ni chanzo cha mipango cha kuzalisha hidrojeni kwa njia ya hidrolisisi ili kuhifadhi nishati hiyo.
Kweli unapenda kuvijunia lakini hali halisi tunajadili hapa mambo ambayo hujawahi kugusa.