MR MAJANGA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 3,526
- 10,820
Hata Mimi nahisi hivyo maana kuna dalili NATO kuingiza jeshi Ukraine, naona Putin kaamua kukaba eneo kwamba akamate eneo kubwa na abakishe eneo dogo ambalo litakuwa na faida Kwa jeshi lake maana hakutakuwa na front line nyingipia nimefatilia kuna uwezekano urusi kausika mwenyewe kujishambulia ,ili apate sababu ya kutupa makombola mengi zaidi ukraine
Huu ni Uhalifu wa kivita wa Urusi.[emoji845][emoji91]Kiev was attacked at night for the 3rd time in a day by 20 kamikazes
The authorities and the media publish footage of the consequences of the work of air defense and fallen debris.
The house burned down and one person was reported dead and injured.
t.me/RVvoenkorView attachment 2640433
Ukidanganya jifunze kujifichsSawa mimi sina akili ila wewe mwenye akili unayetuambia kuwa drone zinashambulia majengo ya moscow kama vile kiev wakati huna hata picha ya hayo mashambulizi. Shambulizi hata AC imeshindwa kizulika inaendelea kupiga kazi alafu leo hii uje kufananisha na mashambulizi ya kiev.utakuwa dish limeyumba sio bure.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Angalia katikati ya kiev palivyofanywa na WarusiView attachment 2640586View attachment 2640587
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa hapo nimedanganya nini?Ukidanganya jifunze kujifichs
View attachment 2640603
Ndo maana mnaambiwa hamna akili, we unaona hiyo picha ya leo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa hapo nimedanganya nini?
Kwani hapo ni wapi au sio Ukraine
Kwani mi nimesema iyo picha ni ya leo.wapi niliposema iyo picha ni ya leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo maana mnaambiwa hamna akili, we unaona hiyo picha ya leo?
Hiyo ni maandamano ya 2014/15
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Huu ni Uhalifu wa kivita wa Urusi.
Mkuu huyo hajaanza leo kutokuwa na akili. Hap ana prove tu nadhani umejionea.Ndo maana mnaambiwa hamna akili, we unaona hiyo picha ya leo?
Hiyo ni maandamano ya 2014/15
Sijakuonea kusema huna akili.Sawa mimi sina akili ila wewe mwenye akili unayetuambia kuwa drone zinashambulia majengo ya moscow kama vile kiev wakati huna hata picha ya hayo mashambulizi. Shambulizi hata AC imeshindwa kizulika inaendelea kupiga kazi alafu leo hii uje kufananisha na mashambulizi ya kiev.utakuwa dish limeyumba sio bure.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Angalia katikati ya kiev palivyofanywa na WarusiView attachment 2640586View attachment 2640587
[emoji23][emoji23][emoji23]Aiseee
Duh hapo nasikia kulikua na watu wa Nato kibaoSawa mimi sina akili ila wewe mwenye akili unayetuambia kuwa drone zinashambulia majengo ya moscow kama vile kiev wakati huna hata picha ya hayo mashambulizi. Shambulizi hata AC imeshindwa kizulika inaendelea kupiga kazi alafu leo hii uje kufananisha na mashambulizi ya kiev.utakuwa dish limeyumba sio bure.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Angalia katikati ya kiev palivyofanywa na WarusiView attachment 2640586View attachment 2640587
Hii ilikuwa shoping centre hapo kiev.cheki Warusi walivyofanya.alafu paka mmoja wa kuitwa Himars anakuja kuongea pumba sijui drone zimeshambulia majengo ya warusi[emoji23][emoji23][emoji23].Duh hapo nasikia kulikua na watu wa Nato kibao
[emoji23][emoji23][emoji23] kwani unaumia ukiwa kigogo sehemu ganiSijakuonea kusema huna akili.