Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,233
Na bado makubwa yanakuja - katika vita hii silaha za USA karibu zote zitapoteza sifa including hyped Patriot ADS - na USA hisipo kuwa makini wakajitia kutuma ndege za vita type: F16, F-22, F-35 na B-2 etc kwenda kushambulia Ukraine na Russian Federation basi wakae walijua kwamba Russian air defense systems zitazidondosha/tunguliwa kwa wingi mpaka US/NATO wata aibishwa ne ndege zao kukosa soko,hasa hii F-35 wanayo ipigia debe Dunia nzima wakati aijawahi kushiriki kwenye vita hata moja na one of military powerful NATION like Russia, China and North Korea.According to Turkish sources, another Patriot battery was destroyed as a result of rocket attacks on Kyiv. Three Patriot batteries were sent to Ukraine, two of which were destroyed within a few weeks.
Russia detects a Patriot battery and launches standard cruise missiles with electronic and satellite intelligence. Then a hypersonic missile is launched towards the battery.
When the battery commander sees that the missile is more advanced than they can destroy, he starts firing all at least 32 missiles in the battery indiscriminately, and the battery is destroyed immediately afterwards.
Thus, today there was probably a loss of at least another $ 2 billion, and the previous losses amounted to $ 5 billion.
t.me/vicktop55/15361View attachment 2640434
CV ya KIBABE,sio siri uchawi upo yaani vijimgambo vya Ukraine sio akili zao kutunishiana msuli na Dubu sema ndio wamesharogwa watafanyaje?kumbe miamba ga urusi toka zamani za kale huko walikuwa wabishi sasa leo si ndio watakuwa balaa zaidi....[emoji116][emoji116]View attachment 2640628
Sifikirii hivyoMuseveni alichokifanya Leo,huenda ndio mwanzo wa mwisho wa utawala wake!
Nimeshangaa sana kaka imekuwaje wakati jamii forrum ni sehemu ya amani na furaha.uwa nikiwa hata kwenye kazi nakosa raha kama nisipoingia jamii forrum maana nawaona kama ndugu zangu, nimewazoea sana watu wa jamii forrum.Kakengeuka mkuu, msamehe,huyo HIMARS si kawaida yake kutoa matusi hivyo..,tuvumiliane
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hamna mkuu tumsamehe tu maana nae ni binadamu hatujui anapitia nini kwenye maisha yake maana si kawaida yake kutoa maneno mazito kama haya.Mkuu achana nao sioni lolote ulipokosea ila wakizidi kukuchangia mande tutaingilia