Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

France24 imeripoti kuwa kiongozi shujaa wa kivita Chechnya, Ramzan Kadyrov, ameishaingia ulingoni vitani nchini Ukraine. Ni yule jamaa mpenda vita na wenye amsha amsha ya kibabee.

Kawaambia majeshi ya Ukraine wajisalimishe la sivyo watawafuta kwenye uso wa dunia.

Pia kawaambia majeshi ya Ukraine kuwa majeshi ya Russia yatawafunda vizuri zaidi (wanajeshi wa Ukraine) namna ya kupigana vita kuliko mafunzo ya nadharia (theory) waliyokuwa wakimezeshwa na majeshi ya kigeni (Marekani na NATO)

Kwa jinsi game lilivyochangamka, ni wazi jamaa keshaenda kuongeza vionjo ulingoni


 
Muda ni mwalimu mzuri.... Tuache kujikuta akina Yahaya... JF ndo hii hii... Kikubwa uzima tu baada ya miezi kadhaa tuendelee kukutana apa apa... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Af hoja zako mwenyewe waona umeandika nyundo haswa... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hivi kwa akili yako bila mihemko wanaosita kuikata ile Gas ni Russia au Europe wenyewe? Si wamezuia kila kona waambie waisimamishe right now af unambie atakayoisoma number ni Russia au wao...

Kama hawama shida nayo wangezuia sehem zingine wakaiacha hiyo? Wanazuia kila chaka za ela zinazoingia Russia kwanini hyo waendelee kuiacha...

Hyo SWIFT why iwe selective kwa baadh ya Bank? Kama wamepania mbona hawajaizuia Completely...

Unashindwa kuona USA alikuwa aki'import just as little as 3% ya Oil and Gas kutoka Russia kaizuia hali nchini kwake hakuna asyejua... UK nae anapokea just as little as USA kwa 3% kutoka Russia...

View attachment 2149652

Haya kwa hizo data apo juu tumia utashi wako nambie anaesita kukata Gas ni nani? Na hii chini kila mda nairudia... Ukiikata hyo Nusu ataumia Russia au wataumia wananchi wa Europe?

View attachment 2149656

Af na vile unavoweka hizo "NEVER" [emoji23][emoji23][emoji23] utafikri we ndo unajua cha kufanya kuliko warusi wenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Utafikir we ndo huwa unasimamia mapato yao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....

Kingine una ka udhaif kamoja unabeba Issue juu juu... Hivi ukifanya mauzo ya 1000 faida no shi ngapi baada ya kutoa operation Cost?

Ngoja nikuisadie kingine ambacho hata huwazi... Kwenye revenue nyinhi avarage ya net profit huwa inarange asilimia kama 10... Apo ni when company limefanya vizuri... Na biashara ya bidhaa siku zote huwa mauzo makubwa faida kidogo tofauti na mauzo ya huduma "Service"...

Sasa kwa exportation ya B123 kwa mujib wa data alizoleta Mr kule juu maana ake ni about net profit ya ka Bil 10 hivi ambayo ukitoa kodi inayochukuliwa na serikali ka net profit ni ka Bil 1.5 USD kwa kufata rate yao ya kodi 15%..

Sasa angalia vizuri hicho kiasi halisi kinachoingia serikalin ambayo imelengwa kudhoofishwa kisha niambie hzo budget.

Hivi unatumia kiungo gani kufikiria rafiki angu au na wewe una mahaba?

Et Russia bila Oil hatoboi, eti BRICS ni Useless, Eti Dunia nzima inamtenga [emoji23][emoji23][emoji23] Kisa USA na NATO wamesema [emoji23][emoji23][emoji23]...

Kongole Jomba na we si tatizo lako ni mawazo na maono yako yalipoishia.
 
Unamfahamu Abu Bakr

Unamfahamu Costantine

Basi Constantine na Abu Bakr ndio Chanzo cha hiyo mikanyiko unayoiona
 
Hapa kweli makachero wa kijeshi Russia wamemeza vizuri data zote za hiyo kambi iliyopigwa makombora mengi
 
Nchi namba 1kwa uzalishaji wa mafuta ni Saud Arabia
Mbili Russia

Nchi zenye akiba kubwa ya mafuta USA namba 1
Mbili Russia


Rekebisha hapo
Ngoja nikurekebishe na kwa faida ya kila mtu
1. US
2. Saudi Arabia
3. Russia
4. Canada
5. China


 
Sijaelewa hata unachoweka. Nadhani upo nje ya mada sasa. Basi ubishi uendelee
 
Inaweza kuwapo kwa nia njema ya kuzalisha nishati ya umeme, hapo ndipo tunahitaji wenye akili nzuri tu wawe na urani, vinginevyo wataitumia vibaya

View attachment 2149624
Nishati nzuri ndugu yangu ni mwamvuli wa kulinda umiliki wa Nuclear, Na data nyingi za Economic wanao publish ni USA, EU, na washirika wake wengi, Unategemea atakwambia Nuclear ipo kwajili ya vita?

Nagasaki na Hiroshima kwani walikuwa hawajui kwamba ile ni nishati inatoa umeme, Wazungu ni Genius wa Brainwash kuwahi kutokea katika hii dunia, They don't care about anybody, only they care about is them.

Na ndio mana Nuclear for war sio umeme, USA Ni ya pili. Hizo ni data tu za kujificha katika ngozi ya Malaika lakini ndani ni nyoka.
 
ASUS will consider the possibility of evacuating workers and businesses from Russia.

Wang Meihua, the Minister of Economy of Taiwan, said this.
 
The Australian authorities have decided to impose sanctions on 33 Russian businessmen and their families.

Roman Abramovich, Alexey Miller, Sergey Chemezov, Kirill Dmitriev, Dmitry Lebedev, Nikolay Tokarev and Igor Shuvalov were subject to restrictions.
 
“The other day we were about 20 km away from you Kiev Nazis, and at the moment even closer.”

Ramzan @RKadyrov_95 Kadyrov confirmed that he was in Gostomel yesterday:

“On the video we are in Gostomel. The other day we were about 20 km away from you Kiev Nazis, and at the moment even closer, and guess how close we got?

Your SBU intelligence service does not know how to work at all. Apparently, foreign instructors and military advisers taught you according to an outdated method.

You can relax for a moment, because you do not have to look for us - we will find you ourselves. Oh, you don't have long. Better give up and stand beside us, as I have suggested more than once, or your end will come.
Your browser is not able to display this video.
 
Sasa kama mnavomsifia huyu bwana msije kusema siyo yeye akisha uliwa
 
Wewe kibibi,acha udini ww, dini yenu imeanza 622 AD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…