Maelezo yaki ya utangulizi na habari uliyoleta ni inversely proportional!Huko nyuma niliwahi kuandika kuwa urusi ni watu wa propaganda sana. Hawana jeshi la kuweza kuinyamazisha dunaia. Sasa hivi Putin anahanganika kujenga coalition ya kuichukia Marekani, hata hivyo wahenga walisema muda utazungumza wenyewe.
Exclusive: Russian hypersonic scientist accused of betraying secrets to China
The director of a top Russian science institute, arrested on suspicion of treason along with two other hypersonic missile technology experts, stands accused of betraying secrets to China, two people familiar with the case told Reuters.www.reuters.com
First Russian hypersonic missile scientist to go on trial for treason next week
The first of three Russian hypersonic missile scientists to be arrested on suspicion of treason will go on trial next week, the court handling the case said on Wednesday.www.reuters.com
Picha wewe unazitoa wapi?? Unataka kujitoa ufahamu kwamba picha ni wao wenyewe huweka kwa kutumia mitambo na Vyombo vyao vya habari BBC...CNN..Sky...Al jazeeza wote hao wanareport uongo mtupu...Habari nyingi zinazoletwa na Pro russia ambao ni wengi kwenye huu uzi hazina source walau hata pich hakuna. Nyingi ni merely here say, unaambiwa etc.
Inakuwa hakuna tofauti na wauza karanga wa gongo la mboto.
Walikwambia wanataka kuwa na jeshi la kuinyamazisha dunia???Au unatunga parameters zako kichwani na kuanza kujipinga ...???Huko nyuma niliwahi kuandika kuwa urusi ni watu wa propaganda sana. Hawana jeshi la kuweza kuinyamazisha dunaia. Sasa hivi Putin anahanganika kujenga coalition ya kuichukia Marekani, hata hivyo wahenga walisema muda utazungumza wenyewe.
Exclusive: Russian hypersonic scientist accused of betraying secrets to China
The director of a top Russian science institute, arrested on suspicion of treason along with two other hypersonic missile technology experts, stands accused of betraying secrets to China, two people familiar with the case told Reuters.www.reuters.com
First Russian hypersonic missile scientist to go on trial for treason next week
The first of three Russian hypersonic missile scientists to be arrested on suspicion of treason will go on trial next week, the court handling the case said on Wednesday.www.reuters.com
Agiza Biaaaaaa nalipa mimiVikwazo vikali toka dunia imeimbwa amewekewa Russia, nchi zaidi ya 40 zinatoa misaada ya silaha na intelejensia kwa Ukraine ili amshinde Urusi.
Ni zaidi ya mwaka sasa, ndio kwanza Russia amechukua ardhi ya Ukraine yenye ukubwa wa 20% ya nchi nzima ya Ukraine. Ndio kwanza nchi ya German inafisirisika kiuchumi. Unataka muujiza gani?
Urusi haiwezi kushindwa kijeshi, pale Ukraine operation imeendeshwa na Wagner group kwa zaidi ya asilimia 80. Narudia jeshi la urusi halijashiriki kikamilifu
Nawaambieni ukweli, Urusi haiwez kushindwa vita na nchi yoyote.. ina kila aina ya option ya silaha.
Wakiuwawa wanaitwa X soldiers ila tunajua sio ex soldier hawa ni watu wanawaleta wao kupitia poland..juzi tuliwachoma moto wengi sana[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2642036
Hii kauli inafikirisha Sana hasa nikikumbuka kuwa urusi imesema unataka kugawana ardhi na PolandMahasimu wakubwa wa Russia uzalendo umewashinda wameamua kusema ukweli
Poland’s President makes unexpected statement about Putin
Polish President Andrzej Duda said that the leader of the Russian Federation, Vladimir Putin, has not lost a single war.
“Today they say that Vladimir Putin lost the war, and his defeat is that Finland joined NATO, although for many years the Finnish public hesitated whether to give up neutrality. Ladies and gentlemen, Vladimir Putin has not lost a single war,” the head of Poland said.
@ukraine_watch
Kipigo Cha heshima ngoja tufuate updates tuangazie kipigo Cha leoKimetokea nini Kiev manning jameshyela Bwana Utam
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2641915
Ngoja tuendelee kutumia samadi.Mbolea ya Bure imepokelewa Kenya View attachment 2641979
Hii habari ya kuripua Underground bunker na kuua 500. Leta basi hata source ya RT news.Picha wewe unazitoa wapi?? Unataka kujitoa ufahamu kwamba picha ni wao wenyewe huweka kwa kutumia mitambo na Vyombo vyao vya habari BBC...CNN..Sky...Al jazeeza wote hao wanareport uongo mtupu...
umesahau walituonyesha mapicha ya uongo Libya ili waharalishe ushetani wao...Walituonyesha hayo hayo Iraq..empire ya kishetani hii...
Huko kiev urusi imelipua ghala la kuhifadhia madini ya uraniam taarifa nimezipa juu juu ngoja pakuche tujue zaid maana ni mlipuko mkubwa aisee
Kama patriot zinafanya kazi, zipo kwa kulinda nini kama sehemu muhimu zinafikiwa na Urusi au zinalinda mito na milima isiguswe?[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
It reported by several unofficial sources that a Russia missile strike on a Command Centre in Lviv on Sunday, resulted in the death and serious injury of a number of High Ranking NATO Officers
including Generals
It is claimed that the dead and wounded were transfered to[emoji629] via [emoji1200]View attachment 2642034
Uranium???Huko kiev urusi imelipua ghala la kuhifadhia madini ya uraniam taarifa nimezipa juu juu ngoja pakuche tujue zaid maana ni mlipuko mkubwa aisee
Mkuu nani alifanya ardhi ya Korea Kaskazini isiweze kulisha watu wake? Labda siasa inayoendelea kufuata mtindo wa ukomunisti ambao nchi zote nyingine za kikomunisti zimeacha muda mrefu?Nani alifanya Ardhi ya North Korea isilimike? Si hao mabwana zako wauaji wakubwa na Washenzi wasio na huruma kwa wanawake na watoto? Walipiga mabomu Korea na kuua 1/3 ya watu wote. Watu Milioni 8 walikufa na kuacha majeruhi na Ardhi isiolimika.
Leo hii North Korea wa watu wa najitahidi hadi wamekua katika nchi zinazoongoza ku export Matunda, wametoka mbali sana hao jamaa na North Korea inahitaji pongezi, propaganda za Marekani ni kuficha tu Mauaji aliyoyafanya.
Kwani hajarudi hadi sasaKwa namna hii ndio maana Zelensky alijiamualia aondoke zake hapo Ukraine...
Mkuu kama jeshi ambalo halishiriki kweli katika vita linafaulu hata hivyo kupoteza vifaru 2000 ni hali ya ajabu kidogo.Vikwazo vikali toka dunia imeimbwa amewekewa Russia, nchi zaidi ya 40 zinatoa misaada ya silaha na intelejensia kwa Ukraine ili amshinde Urusi.
Ni zaidi ya mwaka sasa, ndio kwanza Russia amechukua ardhi ya Ukraine yenye ukubwa wa 20% ya nchi nzima ya Ukraine. Ndio kwanza nchi ya German inafisirisika kiuchumi. Unataka muujiza gani?
Urusi haiwezi kushindwa kijeshi, pale Ukraine operation imeendeshwa na Wagner group kwa zaidi ya asilimia 80. Narudia jeshi la urusi halijashiriki kikamilifu
Nawaambieni ukweli, Urusi haiwez kushindwa vita na nchi yoyote.. ina kila aina ya option ya silaha.
Kwani hajarudi hadi sasa