Naona Mrusi Kaamua Kupiga Sawa sawa
saivi Viongozi wa Ukrein wanaishi kwa Shida sana wanajificha kama nguchiro
zile Swaga za Zele kutembea mtaani Tusitegemee kwasasa
Yani wew kilaza bado unatuletea habar zilipendwaMkuu kama jeshi ambalo halishiriki kweli katika vita linafaulu hata hivyo kupoteza vifaru 2000 ni hali ya ajabu kidogo.
Maana tunakubaliana kwamba Wagner hawana vifaru, sivyo?
Jeshi la Urusi limepotea vifaru 2000. Idadi hiyo imethibitishwa kwa picha hadi sasa, kwa hiyo idadi itakuwa kubwa zaidi.
Walifanyeje kama hawakuanza bado?.
Aliyepigwa kapoteza kila kitu mpaka uhuru wakeYani wew kilaza bado unatuletea habar zilipendwa
ebu twambie ikiwa huyu kapoteza vifaru 2000 na mpaka sasa anamiliki asilimia 20 ya ukraine je alie pigwa kapoteza vifaru vingapi?
Jibu swali insha peleka shuleni.
Huenda urusi ikaanza mchakato wa kuichukua kharkiv hili eneo limekuwa likitumiwa na ukraine kujipenyeza ndani ya ardhi ya urusi
Russia wanaimega Ukraine nusu kabisa na kuifanya iwe disitegrated.
Walishatoa hints kwamba hakutakuwepo na taifa linaloitwa Ukraine.
Kipigo kisisimame bali kiendeleeUrusi Nikama Ndio anaanza Kazi Tutegemee Kipigo kuongezeka
kuna Silaha Nyingi zinasogezwa Kwa wingi Tokea Juzi
Wuuuuuuh!Vikwazo vikali toka dunia imeimbwa amewekewa Russia, nchi zaidi ya 40 zinatoa misaada ya silaha na intelejensia kwa Ukraine ili amshinde Urusi.
Ni zaidi ya mwaka sasa, ndio kwanza Russia amechukua ardhi ya Ukraine yenye ukubwa wa 20% ya nchi nzima ya Ukraine. Ndio kwanza nchi ya German inafisirisika kiuchumi. Unataka muujiza gani?
Urusi haiwezi kushindwa kijeshi, pale Ukraine operation imeendeshwa na Wagner group kwa zaidi ya asilimia 80. Narudia jeshi la urusi halijashiriki kikamilifu
Nawaambieni ukweli, Urusi haiwez kushindwa vita na nchi yoyote.. ina kila aina ya option ya silaha.
Mbona kama analia[emoji298]️Volodymyr Zelensky has arrived in Moldova to attend the European Summit
“Today we work in Moldova. Participation in the summit of the European political community. Many bilateral meetings. We are developing a coalition of fighters and offer a coalition of Patriots,” the President said.View attachment 2642252
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
The French President called on Western countries to offer Ukraine "tangible and credible" security guarantees while Ukraine waits to join the Alliance.
"I am for it, and it will be the subject of collective negotiations in the coming weeks... to offer tangible and credible security guarantees to Ukraine," Macron said.
Join our telegram channel for more videos - link in comments
View attachment 2642267
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Asante kwa kunijuzaUmemuelewa Macron anaposema Security Guarantee? Ngoja nikueleweshe, maana umekuwa ni mtu wa ku copy na ku paste tu habari.
Kwa sasa Ukraine anaogopa kukubaliana na matakwa ya Russia aliyoyaweka mwanzoni kutokana na kuhisi kwamba Russia atakuja tena kumvamia.
Kwa hiyo, itatengenezwa security framework kuhusu Ukraine, ili kuondokana na future wars.
Ukraine atatakiwa akubaliane na matakwa ya Russia ya kuto join NATO, kutoyakaribisha majeshi ya NATO etc.
Yaani Ukraine anarudi kulekule kwenye matakwa ya mwanzo ya Russia.
Soon Ukraine analamba matapishi yake.
Usimlishe maneno macron!Umemuelewa Macron anaposema Security Guarantee? Ngoja nikueleweshe, maana umekuwa ni mtu wa ku copy na ku paste tu habari.
Kwa sasa Ukraine anaogopa kukubaliana na matakwa ya Russia aliyoyaweka mwanzoni kutokana na kuhisi kwamba Russia atakuja tena kumvamia.
Kwa hiyo, itatengenezwa security framework kuhusu Ukraine, ili kuondokana na future wars.
Ukraine atatakiwa akubaliane na matakwa ya Russia ya kuto join NATO, kutoyakaribisha majeshi ya NATO etc.
Yaani Ukraine anarudi kulekule kwenye matakwa ya mwanzo ya Russia.
Soon Ukraine analamba matapishi yake.
Umemuelewa Macron anaposema Security Guarantee? Ngoja nikueleweshe, maana umekuwa ni mtu wa ku copy na ku paste tu habari.