kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Kuna siku airbase iliyokuwa ndani ya urusi ilishambuliwa na drones hambazo urusi alidai kwamba alizidungua zote zile drone, lakini bado ndege za kivita zikaharibiwaKwamba wamezidungua makombora yote lakini wameuawa watu watatu?
Mbolea ya Bure imepokelewa Kenya View attachment 2641979
Taarifa za urusi juu ya vifaa vita vya ukraine vilivyoteketezwa ni kama ifuatavyo!Halafu uliuliza kuhusu idadiiliyopotea upande Ukraine, nisipokosei.
(ingerahisisha mambo kama unepunguza matusi kwa jumla, 1) utaeleweka zaidi na 2) utafikiri vizuri zaidi!)
Confirmed vehicle loss
Ukraine - 3464, of which: destroyed: 2258, damaged: 216, abandoned: 95, captured: 895
Tanks (509, of which destroyed: 316, damaged: 31, abandoned: 22, captured: 139)
Russia - 10500, of which: destroyed: 6920, damaged: 353, abandoned: 404, captured: 2823
Tanks (2003, of which destroyed: 1240, damaged: 106, abandoned: 113, captured: 544)
Hapa unaona pia siri kwa nini idadi ya vifaru upande wa Ukraine iliongezeka kidogo -maana walikamata vifaru vya Kirusi kuliko kupoteza wenyewe...)
Chanzo:
Asante sana kwa comment hii fupi lakini yenye ujumbe mzito...Hawa wajinga na wapumbavu ambao ni washenzi pia na ambao ni Pro-NATO, West na USA huwa wanajifanya hawajui unyama uliowahi kufanywa na unaoendelea kufanywa na Marekani.....Hakuna watu washenzi na wanyama duniani Kama Wamarekani...Uukiacha ukatili mkubwa na wa kutisha uliofanywa na Marekani huko KOREA YA KASKAZINI kwa kufanya mauaji ya kimbari na kuteketeza mashamba ya mpunga lakini Hawa 'mbwa' wa Marekani waliua watu kwa mamilioni huko Vietnam, Afghanistan, Irak na nchi nyingine kadhaa zaifi ya 50 duniani.....Marekani imewahi Mara kadhaa kutumia mabomu ya napalm huko Vietnam mabomu ambayo yanaunguza mwili...Marekani ndiyo nchi pekee iliyowshi kutumia silaha za nyuklia huko Japan...huko Syria Marekani pia ilitumia silaha za sumu kwa kuwatumia the so called white helmets. Marekani ni washenzi na mbwa kabisa...Mimi nije kwenu nikuondolee uwezo wa wewe kujikimu, Niue ndugu zako kisha nikupe misaada utafurahi?
Pia Mabomu yalidondoshwa specific North Korea
1. Asilimia 85 ya majengo yote yalilipuliwa
2. North Korea ilikua na watu wachache kama Nusu tu ya South Korea ila wahanga wa kubwa waliouliwa walitoka North Korea. Kwenye Jarida lake Ameandika Armstrong
The number of Korean dead, injured or missing by war's end approached three million, ten percent of the overall population. The majority of those killed were in the North, which had half of the population of the South; although the DPRK does not have official figures, possibly twelve to fifteen percent of the population was killed in the war, a figure close to or surpassing the proportion of Soviet citizens killed in World War II.
3. asilimia 75 ya ma shamba ya Mpunga na Mabwawa ya umwagiliaji yalilipuliwa, mpunga haupigani ila makusudi walidhamiria kuhakikisha hata kama vita inaisha wanakufa Njaa.
4. mpaka sasa eneo la North Korea ambalo linalimika ni kama 1/5 ya Nchi nzima.
Hivyo pamoja na wao Kufanyiwa huo ukatili na Marekani wamefanikiwa Leo hapo walipo wanahitaji pongezi kubwa.
Na mtu mwenye Akili timamu hawezi akaishabikia Usa kwa unyama waliofanya Korea na kuwaponda North Korea.
Hawajafaulu, wamegaragazwa na Ukraine kwa sasa anashikikia 40% ya ardhi ya urusiMkuu kwanza naona hali ya kawaida: pasipo na hoja, kimbilio ni matusi.
Pili Naturalismus kukusaidia: kama makadirio niliyoona ni sahihi, Urusi ilikuwa na vifaru 3000 - 4000 kabla ya vita halafi idadi kubwa vilivyokaa kwenye maegesho au stoo. Kwa hiyo hata sehemu iliyobaki bado ni idadi kubwa.
Lakini swali langu lilikuwa hilo:
Kama jeshi la Urusi halikuingia bado katika vita hii (jinsi ulivoandika), je walifaulu kivipa kupoteza hivyo vifaru 2001 vilivyopgwa picha tayari ??
Russia hawana haja ya kumuua Zelenzky kama wangetaka kufanya hivyo wangefanya tangu siku ya kwanza ya SMO.Zelensky ameona mambo yasiwe mengi.... Huuuyooooo kakimbia zake...
Kwa nini auliwe kizembe wakati ana uwezo wa kukimbia.
Katibu mkuu wako wa NATO alikiri mwaka jana kwamba NATO imekuwa ikiwatayarisha Ukraine kwa vita na Russia tangu 2014..wameshaona kwamba walibug step,Sasa wanaanza kutaftana [emoji23][emoji28][emoji1787]
"Our only mistake is that we didn't resolve this issue in 2014-2015 when Ukraine didn't have an army and wasn't prepared," Lukashenko said, emphasizing that the attack on Ukraine should have happened earlier.View attachment 2642508
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mkuu asa nte kwa mchango wako.Taarifa za urusi juu ya vifaa vita vya ukraine vilivyoteketezwa ni kama ifuatavyo!
Kila mtu aamini anachoamini!
In total, 430 airplanes and 235 helicopters, 4,407 unmanned aerial vehicles, 424 air defence missile systems, 9,352 tanks and other armoured combat vehicles, 1,105 combat vehicles equipped with MRLS, 4,954 field artillery cannons and mortars, as well as 10,587 units of special military equipment have been destroyed during the special military operation.
sasaiv Tumebadili gia angani kenge yeyote sisi tunaondoka na kichwa chake huyo Msanii akae tayari tutamlipua batalokota tishirt kunyavuNaona Mrusi Kaamua Kupiga Sawa sawa
saivi Viongozi wa Ukrein wanaishi kwa Shida sana wanajificha kama nguchiro
zile Swaga za Zele kutembea mtaani Tusitegemee kwasasa
Kuna namna mbili kuangalia matokeo hayo.Kwamba wamezidungua makombora yote lakini wameuawa watu watatu?
Uzuri wa Urusi kila siku anatoa taarifa...na mtu unaweza hata kuhesabu na kuona zinavyo ongezekaTaarifa za urusi juu ya vifaa vita vya ukraine vilivyoteketezwa ni kama ifuatavyo!
Kila mtu aamini anachoamini!
In total, 430 airplanes and 235 helicopters, 4,407 unmanned aerial vehicles, 424 air defence missile systems, 9,352 tanks and other armoured combat vehicles, 1,105 combat vehicles equipped with MRLS, 4,954 field artillery cannons and mortars, as well as 10,587 units of special military equipment have been destroyed during the special military operation.
Mkuu kuna dalili zote kwamba Warusi walijaribu kumwua Zele tangu mwanzo wa vita. Ila hawakufaulu. Na hata sasa hakuna dalili kwamba wana uwezo kupiga shabaha wanazolenga mjini Kyiv.sasaiv Tumebadili gia angani kenge yeyote sisi tunaondoka na kichwa chake huyo Msanii akae tayari tutamlipua batalokota tishirt kunyavu