Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nasoma hoja zako, zimejaa furaha Ukraine wanapouliwa. Unaipenda sana Urusi.
 
Madini
 
Putin ground troops amepata hasara sana.Hii imesababisha kuwapiga chini majenerali wake 8 na kuwaweka kizuizini wakuu wa usalama wa Taifa,FSB🤔
 
Kama wewe unavyoipenda Ukraine Mkuu
😀.
Kwa upande wangu, Yoyote anayefanya jambo lenye maslahi kwangu na majirani zangu hapa mtaani ni RAFIKI na anayefanya jambo lisilo na maslahi kwangu na majirani zangu ni ADUI. Urafiki na uadui naupima katika kiwango cha jamii ya kijiji changu na si nchi nzima.

Anachokifanya Urusi japo hakijatugusa moja kwa moja ila ikichelewa kumalizika kama inavyoendelea sasa itatugusa indirect kwa mfumo hasi. Siwezi shabikia jambo lenye matokeo hasi kwa jirani zangu na mm.
 
View attachment 2148785
KAMA HIZI ZOTE ZIMETOKA KWENYE SOURCE MOJA YA HABARI, BASI TATIZO SI LAKO NI LA CHANZO CHAKO CHA HABARI.
Hakuna tatizo hapo, hiyo ni lugha ya watu (wao).

Tatizo lako wewe wakariri maana moja moja ya misamiati ya kiingereza. Hata hiyo 'urge' ktk maana zake pia ni pamoja na kumuomba mtu kufanya kitu fulani huku ukimshawishi.
 
Hakuna tatizo hapo, hiyo ni lugha ya watu (wao).

Tatizo lako wewe wakariri maana moja moja ya misamiati ya kiingereza. Hata hiyo 'urge' ktk maana zake pia ni pamoja na kumuomba mtu kufanya kitu fulani huku ukimshawishi.
View attachment 2149669

Hiyo dfn uliyoiweka ya urge imetumia neno persuade kama tafsiri, sasa maana ya persuade sio kuomba ni kusisitiza/kuhimiza. Boss hiyo source ya habari ilitumia maneno mawili yenye maana mbili tofauti hakuna haja ya kubishana katika hili. Ni binadamu hao pia.

persuade
/pəˈsweɪd/
how to pronounce persuade - Tafuta na Google

verb
  1. induce (someone) to do something through reasoning or argument.
    "it wasn't easy, but I persuaded him to do the right thing"
 

Kazi wanayo siwalikua wanajidai kupost wanajeshi wakirus waliowaua sijui wamefika 11k mara wengine wamewateka!Sasa moto ndio unaenda kumaliziwa Kyiv waliwasumbua sana.
 

Hivi US kuna visima vya mafuta kweli au ndio wamewaibia waarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…