ikisimama panda
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 2,728
- 2,418
Hivi unajua hata ulicho kiandika lakini? Ni mataifa gani yanaweza kutengeneza ndege za kivita zinazo gongana zenyewe kwa zenyewe in mid air badala ya kushambulia maadui, hiyo ndio maana ya neno collision/gongana.
Kama uwezi kutofautisha baina ya neno coalation na collision who can take you seriosly??
Labda wenzangu wamekuelewa, lakini mimi maelezo yako hasa ya para ya mwisho yameniacha kwenye mataa kusema kweli!!
Kama uwezi kutofautisha baina ya neno coalation na collision who can take you seriosly??
Mkuu mbona hata wewe umefanya makosa ya kiuandishi?!
-Coalation!!
-Seriosly!!
-Uwezi!!
-In mid air!!
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Umekosa tena muzee huaminiki .Spealing ndio mdudu ganiMkuu ikisimama panda,
Ndugu zetu waislamu wana msemo wao unaosema, "kama ulivyofanya na wewe utafanyiwa".
Huyu jamaa alitaka atake-advantage ya Mimi kukosea spealling kwa bahati mbaya. Bahati nzuri naye kaangukia humo humo. Mungu kamuonyesha hata yeye hawezi aminika kama alivyokuwa anadai kwamba Mimi siwezi aminika.
Yeye kakosea zaidi ya neno moja. [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]
Hata neno 'kamuonyesha' limeandikwa kimakosa! Alipaswa aseme 'kamuonesha'! Hii ndiyo Tanzania, hawa ndiyo wasomi wetu!Umekosa tena muzee huaminiki .Spealing ndio mdudu gani
Mimi sina tatizo na spelling errors. Jamaa yenu ndiye amejifanya ana PhD ya spelling na ndiye aliyeanza kunisahihisha. Kuja kumchunguza kumbe naye ni mweupe pee!Umekosa tena muzee huaminiki .Spealing ndio mdudu gani
Wewe jamaa una matatizo ya ubongo, siyo bure..Mkuu jielimishe kidogo. Hakuna anayefika Kyiv kwa ndege tangu 2022 maana uwanja wa ndege wa Kyiv iko kwenye upeo wa SAM4 kutoka Byelarus.
Wageni walio wengi wanafika kwa treni. Biden alifika kwa gari.
Hayo yote ni uthibitisho Putin anashindwa kudhibiti anga juu ya Ukraine.
TETESI. Kuna maandalizi ya mazishi ya mtu mkubwa huko ukreini. Ngoja tusubiri muda utajibu.
@polk105
Super women hao...💪💪💪The Ministry of Defense said that more than 60,000 women are defending Ukraine, more than 42,000 of them are members of the Armed Forces.
In early May, Deputy Defense Minister Hanna Malyar said that five thousand women were fighting on the front line. 107 women have already been killed in action.
Join our telegram channel for more videos - link in comments
View attachment 2645084
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Moscow News ndio wameandika lakini wakati huu wa Vita uongo ni mwingi sanaLabda Belgrod ya kijichi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Moscow News ndio wameandika lakini wakati huu wa Vita uongo ni mwingi sanaLabda Belgrod ya kijichi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Someone, please tell Zelensky that you cannot change the rules in the middle of a game.If we don't get a clear signal at the NATO summit in Vilnius, we have nothing to do there - Zelensky