Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kivita huo ni umbali mrefu mno,viwanja vinne vikiunganika kwa pamoja usichukulie seriously

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app

Hhhhhhhh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]we jamaaa unazingua,kwa hio kikawaida viwanja vi 4 ni pafupi ila kivita parefu [emoji23]
 
Mkuu punguza speed kwanza uandike vizuri.

Vita ipo Belgorod sasa na Mayor wa huu mji anataka kufanya mazungumzo na hao "waasi"
Una uhakika gani kayasema hayo bila ya yeye na familia yake kutishiwa kwanza kwamba say this or else.

Sijaona clip yenyewe, lakini instict zangu zina onyesha kwamba huo ni ulaghai wa westerm media publicity STUNTS za kutaka kuadaa Dunia kwamba wanajeshi wa Urusi wana rebel au raia hawataki kupigana - mambo hayo yote ni maigizo tu hayana ukweli wowote, Uzuri Warusi wana busara sana si rahisi kurubumiwa na media mshenzi za magharibi. Nawajua vizuri modus operandi zao za kutaka kulazimisha ku-win heart and mind za watu abao haeana uwezo wa kun analyse mambo kiundani, mimi tangu mwanzonilishs ona ni michrzo ya kuigiza tu - Russia ikiwafagia hao waigizaji hutawasikia tena.
 
Naamini statistics za Urusi kuliko chombo chochote cha West na US kwasababu Urusi inashikilia maeneo na bado inaendelea kukimbiza na kufukuzia maeneo wanayokaa askar na vifaa vya kivita vya ukrain, ila ukrain hana anachoshikilia zaid ya kupiga na kukimbia, anahesabu vipi kwa usahihi wakati vijana wa Zelensky ndio wanakimbizwa, wanaingia vipi eneo lililotekwa kufanya hesabu zao kwa usahihi..
 
Ktish
Katishiwa na nani wakati yupo kwenye jimbo lake? Russia ndiyo wanamtishia mtu wao? Do you even know what you are talking brother?

Sasa kumbe unaamini insticts zako? Inakuwaje mtu umepewa habari na still unaamini insticts zako wewe ni mganga wa kienyeji?

Vita inapiganwa Belgorod. Russia anatupa makombora jimboni kwake.
 
Jinsi pekee ya kuilinda BELGOROD ni kuanza Kharkiv offensive.

Wameshaanza kupelekwa Vagner group huko hivyo Ukraine wajiandae.

Kwingineko Kupiansk kunawaka na Russian forces wanaadvance

Marinka ndani ya 15 days zijazo itakuwa imeanguka

Forest Battle inayoendelea iwapo Warusi wakifanikiwa kuchukua mjue Siversk itakuwa imezingirwa

Tuendelee kula mtori, nyama zipo chini
 
Crimea, Maliupol, Kherson na Zaporizhia kuna askari wangapi wa Zelensky?
 
Scott Ritter,

Russia's new surveillance satellites will allow Moscow to change the course of conflict in Ukraine,

"Recently launched satellite, resolution up to one meter, which means it can see everything." "You can't hide anything, Russians are seeing everything right now"
 
[emoji845][emoji1083][emoji635] Raul #Castro declared full support for #Russia

Cuban revolutionary Raul Castro expressed support for Russia and complete confidence in the country's victory in the special operation. He spoke about this in a telephone conversation with Deputy Secretary of the Security Council of the Russian Federation Dmitry Medvedev.

Castro also thanked Medvedev for congratulations on his birthday - on June 3 he turned 92 years old. #Cuba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…