Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

..... live aljazeela ...
Kipigo naona kimefika mahali pake. Ona wanavyokanusha kizembe
====

Ukraine says it has no information on Donetsk offensive​

Ukraine’s military says it has no information about an offensive Russia said Kyiv had launched at five points along the front line in Donetsk.
“We do not have such information and we do not comment on any kind of fake [news],” a spokesperson for the Ukrainian armed forces’ general staff said in response to a question from the Reuters news agency.
- Aljazeera
 
Kapewa dola za kimarekani zaidi ya bilioni 100 na misaada kibao ya kijeshi lakini bado anakula kichapo unategemea NATO wamsaidie nini tena wakirogwa wamkubalie aingie uanachama inamaa mataifa ya ulaya yaingie front Moscow nani atakubali kupokea makombora kutokea urusi.
 
Hili jambo US walishajibu mara kadhaa kwamba Zelensky alishauriwa mapema kabla ya vita kujiunga na Ulaya ama NATO binafsi Zelensky akawa anasita sita mpaka vita ikaanza, Sasa issue ya kuwa mwanachama wa Jumuiya za Ulaya ama NATO lazima nchi wanachama wapige kura na wamkubali mwanachama mpya, Sasa kuna baadhi ya Nchi bado hazijakuwa tayari kwa Ukraine kuwa mwanachama wa Ulaya, issue ni hapo tu., US hata kesho anataka Ukraine iwe member wa NATO.

Mfano mzuri ni Finland na Sweden ilipotaka kujiunga NATO Uturuki alizuia mpaka alipokubali ndio Finland wameenda zake NATO, na kuhusu Sweden bado kuna kauzibe baadhi ya nchi wanachama wa NATO akiwamo huyo huyo Uturuki bado hawajakubali iende zake NATO, ingawa kampeni zinapigwa chini chini Sweden nayo iende zake NATO

Shida ni hiyo tu.
Umeangalia kwa juu juu shida ni kuwa nchi za NATO hazitaki vita kwenye ardhi za ndani ya nchi zao full stop.
 
Hili jambo US walishajibu mara kadhaa kwamba Zelensky alishauriwa mapema kabla ya vita kujiunga na Ulaya ama NATO binafsi Zelensky akawa anasita sita mpaka vita ikaanza, Sasa issue ya kuwa mwanachama wa Jumuiya za Ulaya ama NATO lazima nchi wanachama wapige kura na wamkubali mwanachama mpya, Sasa kuna baadhi ya Nchi bado hazijakuwa tayari kwa Ukraine kuwa mwanachama wa Ulaya, issue ni hapo tu., US hata kesho anataka Ukraine iwe member wa NATO.

Mfano mzuri ni Finland na Sweden ilipotaka kujiunga NATO Uturuki alizuia mpaka alipokubali ndio Finland wameenda zake NATO, na kuhusu Sweden bado kuna kauzibe baadhi ya nchi wanachama wa NATO akiwamo huyo huyo Uturuki bado hawajakubali iende zake NATO, ingawa kampeni zinapigwa chini chini Sweden nayo iende zake NATO

Shida ni hiyo tu.
Shida ni hii, Ukraine kujuunga NATO haitakaa itokee ndio sababu kubwa wapo vitani muda huu
 
Urusi atahimili au Ukraine atarudisha maeneo yake??? Wataalamu wa vita wanatabiri hii counteroffensive ndiyo itatoa picha kamili ya huu mgogoro!!!!!!!!!!!!

Ukraine counteroffensive has begun, reports indicate - as Western officials say 'Russian defences more fragile than thought'​

As discussed here, Russian claims that a major Ukrainian attack has been thwarted have so far been met with silence from officials in Kyiv.


However, analysts have long suggested that Ukraine's best chance of success when it does launch a counteroffensive would involve a de facto information blackout on the operation - meaning it was always unlikely to be accompanied by a grand announcement.


With this in mind, the various reports emerging today that indicate the long-awaited counteroffensive has begun - and that Ukraine appears to have been making advances - should be taken seriously.


Source: Skynews:05/06/2023
 
Tatizo ni kwamba any offensive wanayofanya Ukraine inawaacha wakiwa vulnerable.
Yaani ni kama wanakuwa wanasema Tupo tumejificha kwa hapa!! Then, Russia Aerospace Forces wanatuma guided missiles zao wanawamaliza.

Counter offensive inabidi iwe in full scale and continuously na sio hivi wanavyofanya Ukraine, wanavizia kama magaidi. Matokeo yake wanaishia kuwa mizoga.
Mkuu Kwa sasa counter offencive ni ngumu kufanyika Kwa Ukraine, maana ili ufanye counter offencive inabidi uwe na

1) uwe na Askari wa kutosha
2) uwe na silaha za kutosha
3) logistics iliyotimia

Vitu hivyo ni muhimu maana kimoja kikipungua ni maafa, maana kama watu wapo silaha hakuna ni tatizo, kama silaha zipo Askari wachache ni tatizo na kama Askari wapo silaha zipo Ila hakuna hakuna logistic nzuri ya kuhakikisha silaha zinafika front line Kwa wakati ni tatizo


Kwa sasa hivi mrusi anachofanya ni kuhakikisha Askari wa Ukraine hawajikusanyi yaani wakikaa 50 sehemu moja mrusi anashusha kitu na kuwaangamiza na watakao pona watakimbia eneo la tukio, na pia anahakikisha wakirundika tu silaha anazichoma Moto,

Kwa hiyo Ukraine wanajikuta kila wakijipanga wanajikuta mahitaji ya counter offencive hayatimii, wanaweza wakajikuta wapo watu wa kutosha Ila silaha hakuna maana mrusi kazitia Moto au silaha zipo lakini hakuna manpower wa kuendesha counter offencive Kwa hiyo wanaishia kusogeza mbele tarehe ya counter offencive
 
Leo wamekimbia mpaka wamekimbia mpaka wameacha Leopard tank zao
Urusi atahimili au Ukraine atarudisha maeneo yake??? Wataalamu wa vita wanatabiri hii counteroffensive ndiyo itatoa picha kamili ya huu mgogoro!!!!!!!!!!!!

Ukraine counteroffensive has begun, reports indicate - as Western officials say 'Russian defences more fragile than thought'​

As discussed here, Russian claims that a major Ukrainian attack has been thwarted have so far been met with silence from officials in Kyiv.


However, analysts have long suggested that Ukraine's best chance of success when it does launch a counteroffensive would involve a de facto information blackout on the operation - meaning it was always unlikely to be accompanied by a grand announcement.


With this in mind, the various reports emerging today that indicate the long-awaited counteroffensive has begun - and that Ukraine appears to have been making advances - should be taken seriously.


Source: Skynews:05/06/2023

⚡️🇷🇺 Overnight, losses of the enemy in the Zaporozhye Direction and Southern Donetsk Region amounted to nearly 17APCS, 11IFVS, 9 Tanks, and beyond 900+ personnel. The advance of the enemy was only 700 metres near Velkya Novoselika; the enemy attempted to go on the offensive in Avdeevka however suffered significant losses and retreated.

In the Ugledarisky and Pobjeda (Marinskoye Tactical Region); the AFU attempted to probe the villages around Pobjeda; suffered losses amounting to nearly 250 personnel and 8 vehicles and retreated. On the Ugledarisky Tactical Region, the AFU attempted to probe the villages of Myliske and Pavlovka, however, suffered losses amounting to 13 vehicles (5 SMVs and 8 IFVs and APCs) and around 5 tanks.

In total, losses are nearing 2,000 personnel and almost 45 destroyed vehicles from one night of attack. Battles continue today, as the AFU is attempting another large-scale probing attack. Western vehicles are involved.


#source
@Slavyangrad
Join SLG 🔺
 
U.S. General Mark Milley praised the readiness of the Ukrainian Armed Forces for the expected counteroffensive, but noted that it was "too early to tell the results."

He also warned that the invasion of the Belgorod region by Russian volunteer groups could lead to an escalation of the war, and the United States is watching this "very, very closely."

Join our telegram channel for more videos - link in comments

#
1685980501289.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Morawiecki: Ukraine is fighting in the interests of NATO, so it deserves a shortcut to the Alliance

"Even if Ukraine is not a part of NATO today, it is fighting in its interests in the sense that it is defending against the brutal Russian force that would threaten many NATO countries," Polish Prime Minister Mateusz Morawiecki said in an interview with CBS.

"I believe that Ukraine deserves to be offered a very fast track to NATO," he noted. In his opinion, this issue is now more important than certain problems of the Ukrainian state system.

Morawiecki also called on Western European countries that are geographically distant from Russia to be more supportive of Ukraine.

Join our telegram channel for more videos - link in comments

View attachment 2646903

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mnaona sasa wanakiri wazi mashetan
 
Back
Top Bottom