Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,110
- 2,787
Hello wajuzi , wataalamu wa zana za kivita , hii kitu imeshaanza kutumiwa na Ukraine au badobado , mwenye kujua namna hii kitu inavyofanya Kazi atiririke kidogo hapa please.
Zile km 64 bado zinazonga mbele kuja kyiv au zililipuliwa na Himars?Tulishaisahau hio kama HIMARS, JAVELINA, PATRIOT, NASAMS na takataka zingine za NATO.
Zile km 64 bado zinazonga mbele kuja kyiv au zililipuliwa na Himars?
Mkuu, usisahau kwamba Ulaya ya NATO ni jimbo la 51 la United Snakes...Inakuwaje wazikwe wote ujerumani wakati asilimia kubwa ni kutoka USA na Britain, au wanaogopa kuonesha kwa wananchi wao kuwa wao ndo sehemu kubwa ya hii vita na badala yake wanamsukumia mnyonge mjerumani, ambaye siku hizi ni nyoka wa kibisa.
Mkuu PNU , kama serikali almost zote za Ulaya zimeufyata kwa Mmarekani, watu binafsi ni nani hata wampinge -- labda wawe na ujasiri kama huu tunaouona kwa supapawa orijino.Alafu ripoti inaonesha kwenye hyo bunker kulikuwa na watu karibu 500, ukijumuisha wataalamu wengine ambao sio wanajeshi kutoka nchi za magharibi, na kuna miili ya watu mpaka sasa haionekani
Ila kuna watu wanaujasiri, yaani unaenda kweli kufanya kazi Ukrain ili umpige mrusi na wewe sio mwanajeshi. Kweli kuna watu hawana hata common sense maana hyo ni obvious suicide opportunity.
Mkuu, hivi DIT hawawezi kuwasaidia hawa jamaa kwenye teknolojia, au wao wanasomea namna ya kutuma zile meseji za ^Hiyo hela tuma kwenye namba hii?^View attachment 2641627Nvidia Joins The Trillion-Dollar Club With The Rise Of AI
On Tuesday, Nvidia Corp (NVDA.O) became the first chipmaker to hit a trillion-dollar market value. The company has historically led in AI chips that power chatbot sensation ChatGPT and many other applications...
.Tulishaisahau hio kama HIMARS, JAVELINA, PATRIOT, NASAMS na takataka zingine za NATO.
Usimwamini sana Mtanzania, mkuu. Mara nyingi huwa wakikishiba huzungumza chochote. Unajua siye hata vita tumewahi kuviona basi?Yaani Urusi unailinganisha na Iraq na Libya kweli? Waulize Wajerumani watakupa taarifa za Urusi kwa undani kuhusiana na WWII
Russia yazima mashambulizi makubwa ya Ukraine, yaua mamia ya wanajeshi
Jun 05, 2023 08:17 UTC
[https://media]
Wizara ya Ulinzi ya Russia imesema kuwa vikosi vyake vimezuia mashambulizi makubwa ya jeshi la Ukraine katika eneo la kusini lililojitenga la Donetsk na kuua mamia ya wanajeshi wa nchi hiyo.
Wizara hiyo ilitangaza ushindi huo katika taarifa ya mapema Jumatatu kwamba: "Asubuhi ya Juni 4, adui alianzisha mashambulizi makubwa katika sekta tano za mbele kuelekea Donetsk Kusini."
Wizara ya Ulinzi ya Ulinzi ya Russia imesema: "Lengo la adui lilikuwa kuvunja ulinzi wetu katika mazingira magumu zaidi, kwa maoni yake, sekta ya mbele," na kuongeza kuwa, "adui hakufanikisha kazi zake, hakuwa na mafanikio."
Taarifa hiyo iliendelea kusema kuwa vikosi vya Russia pia vimewaua mamia ya wanajeshi wa Ukraine na kuharibu idadi kubwa ya magari yao ya kijeshi.
Russia pia ilitoa video inayoonyesha jeshi lake likilipua magari kadhaa ya kivita ya Ukraine katika medani ya vita.
Aidha taarifa hiyo imeongeza kuwa Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Russia Valery Gerasimov, ambaye anaendesha operesheni ya kijeshi ya Moscow huko Ukraine, alikuwa katika eneo la oparesheni hiyo.
Hatua hiyo mpya imekuja baada ya Ukraine kutangaza mara kwa mara kwamba inajiandaa kwa mashambulizi dhidi ya vikosi vya Russia ili kurudisha sehemu ya eneo ambalo imepoteza katika muda wote wa vita.
[https://media]
Siku ya Jumamosi, Rais wa Ukrainia Volodymyr Zelensky aliliambia jarida la Wall Street Journal kwamba yuko tayari kuzindua mashambulizi hayo, hata hivyo, akionya kwamba inaweza kuchukua muda na kuja kwa gharama kubwa.
Rais wa Russia Vladimir Putin, mnamo Februari 24, 2022 alianzisha oparesheni za kijeshi nchini Ukraine akiwa anaitikia ombi la msaada wa kijeshi kutoka kwa wakuu wa mikoa ya Donetsk na Luhansk mashariki mwa Ukraine ambao walitajangaza kujitenga maeneo hayo.
Hawa ndio raia sasa. Wametuma salamu hadi Pentagon.Today in Zvečan, Kosovo and Metohia [emoji1212]View attachment 2641693
Ni kweli kabisa, mkuu. Hata ile ndege yetu, nasikia ilikusudiwa ikachote sehemu ya pesa hizo, ije nazo. But, kikosi cha wananchi, sema tu kwamba hawakumwelewa Kwin Camilla, wao wakaishia kuja mikono mitupu na minyororo yenye beji shingoni.Haya Mabilion ya madora ambayo yanamwaga Ukraine kutoka Nchi za Magharibi hivi ninkweli au USA anatumia hicho kivuli Cha msaada kama sehem ya kupigia pesa pamoja na propoganda
Majigambo tuu, hivi sasa Ukraine hana uwezo wowote wa kuishinda Russia - mataifa ya magharabi yana wazuga tu na watakufa kwelikweli na taifa laokuangamia vibaya sana - Urusi ilimuonya mara nyingi Zelensky lakini akahamua kuweka pamba masikioni - uwezi kuchezea Super power ukasalimika.Huenda ni kweli Ukraine anatumia mbinu za kitoto, lakini kichapo kinaendelea kuwa palepale
[emoji298][emoji298]Russia’s destruction of the Kakhovka Hydroelectric Power Plant’s dam in Kherson Oblast on June 6 will not prevent Ukraine’s planned counteroffensive, Ukraine’s Armed Forces said.
Ukraine’s military said it is “equipped with all the necessary watercraft and pontoon bridges for crossing water obstacles,” adding that Russia’s actions “will not stop Ukraine’s Defense Forces, which are ready to liberate Ukraine’s occupied territories.”
Learn more: Military: Kakhovka dam explosion will not stop Ukraine’s counteroffensive
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mwenyewe Zelensky anakwambia, ^We ahrr winning zhis whorr!^Wala sina mengi
1. Wanajeshi 1500 wa ukeaine waaga dunia
2. Vifaru 28 vikiwemo Leopard tanks 8 za iierumani zimetiwa kiberiti na Urusi.
3. Magari 109 yapigwa kiberiti
View attachment 2648011
You're right, mkuu. Usikute nia ya Marekani ni kuendelea tu sasa kumfanya Russia aonekane mkatili dhidi ya Ukraine, kwa sababu mwisho wa siku ndiye atakuwa amepoteza watu wake na almost kila kitu -- kama ambavyo tayari amepoteza maeneo yake.Majigambo tuu, hivi sasa Ukraine hana uwezo wowote wa kuishinda Russia - mataifa ya magharabi yana wazuga tu na watakufa kwelikweli na taifa laokuangamia vibaya sana - Urusi ilimuonya mara nyingi Zelensky lakini akahamua kuweka pamba masikioni - uwezi kuchezea Super power ukasalimika.