Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hello wajuzi , wataalamu wa zana za kivita , hii kitu imeshaanza kutumiwa na Ukraine au badobado , mwenye kujua namna hii kitu inavyofanya Kazi atiririke kidogo hapa please.
 
US Panics Over Our Ties With Russia, Nothing Can Break Them — Eritrean President: RT Exclusive

Eritrean President Isaias Afwerki shared his thoughts in an exclusive interview with RT, discussing multipolarity, bilateral relations with Russia, and the West’s sanctions tactics.

Watch the full interview on RT’s Rumble:



Subscribe to RT
 
Inakuwaje wazikwe wote ujerumani wakati asilimia kubwa ni kutoka USA na Britain, au wanaogopa kuonesha kwa wananchi wao kuwa wao ndo sehemu kubwa ya hii vita na badala yake wanamsukumia mnyonge mjerumani, ambaye siku hizi ni nyoka wa kibisa.
Mkuu, usisahau kwamba Ulaya ya NATO ni jimbo la 51 la United Snakes...
 
Mkuu PNU , kama serikali almost zote za Ulaya zimeufyata kwa Mmarekani, watu binafsi ni nani hata wampinge -- labda wawe na ujasiri kama huu tunaouona kwa supapawa orijino.
 
Russia yazima mashambulizi makubwa ya Ukraine, yaua mamia ya wanajeshi

Jun 05, 2023 08:17 UTC

[https://media]

Wizara ya Ulinzi ya Russia imesema kuwa vikosi vyake vimezuia mashambulizi makubwa ya jeshi la Ukraine katika eneo la kusini lililojitenga la Donetsk na kuua mamia ya wanajeshi wa nchi hiyo.

Wizara hiyo ilitangaza ushindi huo katika taarifa ya mapema Jumatatu kwamba: "Asubuhi ya Juni 4, adui alianzisha mashambulizi makubwa katika sekta tano za mbele kuelekea Donetsk Kusini."

Wizara ya Ulinzi ya Ulinzi ya Russia imesema: "Lengo la adui lilikuwa kuvunja ulinzi wetu katika mazingira magumu zaidi, kwa maoni yake, sekta ya mbele," na kuongeza kuwa, "adui hakufanikisha kazi zake, hakuwa na mafanikio."

Taarifa hiyo iliendelea kusema kuwa vikosi vya Russia pia vimewaua mamia ya wanajeshi wa Ukraine na kuharibu idadi kubwa ya magari yao ya kijeshi.

Russia pia ilitoa video inayoonyesha jeshi lake likilipua magari kadhaa ya kivita ya Ukraine katika medani ya vita.

Aidha taarifa hiyo imeongeza kuwa Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Russia Valery Gerasimov, ambaye anaendesha operesheni ya kijeshi ya Moscow huko Ukraine, alikuwa katika eneo la oparesheni hiyo.

Hatua hiyo mpya imekuja baada ya Ukraine kutangaza mara kwa mara kwamba inajiandaa kwa mashambulizi dhidi ya vikosi vya Russia ili kurudisha sehemu ya eneo ambalo imepoteza katika muda wote wa vita.

[https://media]

Siku ya Jumamosi, Rais wa Ukrainia Volodymyr Zelensky aliliambia jarida la Wall Street Journal kwamba yuko tayari kuzindua mashambulizi hayo, hata hivyo, akionya kwamba inaweza kuchukua muda na kuja kwa gharama kubwa.

Rais wa Russia Vladimir Putin, mnamo Februari 24, 2022 alianzisha oparesheni za kijeshi nchini Ukraine akiwa anaitikia ombi la msaada wa kijeshi kutoka kwa wakuu wa mikoa ya Donetsk na Luhansk mashariki mwa Ukraine ambao walitajangaza kujitenga maeneo hayo.
 
Mkuu, hivi DIT hawawezi kuwasaidia hawa jamaa kwenye teknolojia, au wao wanasomea namna ya kutuma zile meseji za ^Hiyo hela tuma kwenye namba hii?^
 
[emoji2407] The United Nations' official Twitter account reacted to the explosion of the Kakhovka HPP with a very brief message and no mention of Russia

“Civilian population and civilian infrastructure should not be a target, They must be protected. Any time. Everywhere,” the UN wrote.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 

Aisee, hivi anayeongoza majeshi ya Ukrain ni nani? Mi nishaanza kudoubt kuwa hawa ni ukrain, nahisi ni majeshi ya NATO, inakuwaje Wa Ukrain uwende kwenye vita wakati mkuu wako wajeshi hajulikani alipo, Raisi kakimbia, hawa watakuwa wanajeshi wa NATO.
 
Haya Mabilion ya madora ambayo yanamwaga Ukraine kutoka Nchi za Magharibi hivi ninkweli au USA anatumia hicho kivuli Cha msaada kama sehem ya kupigia pesa pamoja na propoganda
Ni kweli kabisa, mkuu. Hata ile ndege yetu, nasikia ilikusudiwa ikachote sehemu ya pesa hizo, ije nazo. But, kikosi cha wananchi, sema tu kwamba hawakumwelewa Kwin Camilla, wao wakaishia kuja mikono mitupu na minyororo yenye beji shingoni.
 
Majigambo tuu, hivi sasa Ukraine hana uwezo wowote wa kuishinda Russia - mataifa ya magharabi yana wazuga tu na watakufa kwelikweli na taifa laokuangamia vibaya sana - Urusi ilimuonya mara nyingi Zelensky lakini akahamua kuweka pamba masikioni - uwezi kuchezea Super power ukasalimika.
 
You're right, mkuu. Usikute nia ya Marekani ni kuendelea tu sasa kumfanya Russia aonekane mkatili dhidi ya Ukraine, kwa sababu mwisho wa siku ndiye atakuwa amepoteza watu wake na almost kila kitu -- kama ambavyo tayari amepoteza maeneo yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…