Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Dah aisee Urusi Iko juu sana kwa tech.yaani Ukraine kuishinda nchi yenye uwezo huu inajidanganya.
Leo ndio nimeamini kua Urusi inaionea huruma Ukraine na ndio maana smo inaenda taratibu.
Hebu tazama picha hiyo Urusi anawachambua wanajeshi wa Ukraine vile anavyotaka,anachagua ampige nani amuache nani.hana haraka..
Aisee ukaraine hawezi kuishinda urusi.anapoteza watu wake TU.
 
Yaani NATO yoote akili zao zimeishia hapo....wanaratibu vita wanatuma silaha..wanatuma magenerali wao wooote kupanga vita wanatishia ooh Counter Counter kumbe Counter ya bia shenziiii mbavvuuuuu...pigaaaa hao mashogaaa..Yanapigwa sana
 
Yaani NATO yoote akili zao zimeishia hapo....wanaratibu vita wanatuma silaha..wanatuma magenerali wao wooote kupanga vita wanatishia ooh Counter Counter kumbe Counter ya bia shenziiiiji mbavvuuuuu...pigaaaa hao mashogaaa
Ha ha haa.
Wakijichanganya TU kuingiza pua zao mazima,kiduku anapiga jaramba,jeshi la ukombozi la china haliko mbali,jeshi la Ayatollah wa Iran halitaki masihara.
Aisee Dunia itafutuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…