Jacob kalokola
JF-Expert Member
- Mar 26, 2022
- 901
- 2,734
Hakuna anayekubali kufa kizembe.West now sijui wana hali gani wakati huu wakishuhudia kila silaha ya mrussi inaweza kuripua tanks na armored vehicles zao.
Kuanzia lancet, kornet, ka 52 plane ndo balaa kabisa wakiisikia mlio wake hata kwa mbali wanakimbia wanaacha tanks zao [emoji28]
Zera-4, America is a printing (or cheating) economy while Afrikka is an earning (genuine) economy). Afrikkan economy >>> American economy.America has debt in its own money, they can print it. Africa has their debt in USD, they need to earn it.”
Lazima achanganyikiwe sababu ya uzee na zaidi sana u"supper" power wa marekani unapotea mikononi mwake!Biden looked lost at an event in North Carolina.
Technologia yake anayoDah ila Urusi wanajidai sana,wakiteka silaha ya NATO wala hawana shida nayo,wanampa Iran akahangaike nayo.
Hawa jamaa wa NATO na Marekani, si mbona Inglishi yao inawaumbua tena, kama zile ADS zao?if so, you could have finished the so what your calling "military operation in Ukraine".
Ndio maana Putin kawauliza Nato Kama Silaha za Ukraine zina ufatiliaji wowote? Maana zinanunuliwa na kutekwa.Hicho kicheko sasa haha
Mkuu hata Tanzania tuna madeni ya ndani karibu Trillion 35 hivi yanayotakiwa yalipwe kwa Tshs kwa hiyo unataka kusema tu print hela tulipe hayo madeni?America has debt in its own money, they can print it. Africa has their debt in USD, they need to earn it.”
Una"report" kutokana Belgorod sehemu gani mkuu?Russia anavyodeal na issues ya Belgorod ni kama mwanaume anavyodeal na siafu aliyeng'ata kwenye pumbu, kule Belgorod Kuna maumivu makali lakini vyombo propaganda vya urusi vinashindwa jinsi ya kuripoti hii incidence,
Ni sawa na kujitangaza kwamba una kaswende au gonorrhea,[emoji1787]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Putin huwa analalaika sana kuwa USA ana print hela pasipo kufuata kanuni za kiuchumi na kuzipeleka kufadhili vita.America has debt in its own money, they can print it. Africa has their debt in USD, they need to earn it.”
Duuu!Tuliwambia kuwa URUSI sio zimbambwe ila hamkutaka kutusikia.
Cheki Lancet ilivyondoka na Leopard Tank
Sifuri ina siri gani we jamaa! Tafadhali sana naomba niambie nijue! Nitashukuru
Tanzania hatuprint hela wenyewe, Tunaprintiwa Ulaya/Marekani.Mkuu hata Tanzania tuna madeni ya ndani karibu Trillion 35 hivi yanayotakiwa yalipwe kwa Tshs kwa hiyo unataka kusema tu print hela tulipe hayo madeni?
Putin hataki tena kuua Waukraine! Anachambua Makamanda ndio wanauliwa.Dah aisee Urusi Iko juu sana kwa tech.yaani Ukraine kuishinda nchi yenye uwezo huu inajidanganya.
Leo ndio nimeamini kua Urusi inaionea huruma Ukraine na ndio maana smo inaenda taratibu.
Hebu tazama picha hiyo Urusi anawachambua wanajeshi wa Ukraine vile anavyotaka,anachagua ampige nani amuache nani.hana haraka..
Aisee ukaraine hawezi kuishinda urusi.anapoteza watu wake TU.
Atuondolee huu wizi!
Na Urusi anapigana na nani we kenge? Unakera sana wewe! Utakuwa una msongo wa mawazo!Bila aibu Kuna wajinga wanasema Ukraine anapigana na Russia pekee !
Ukraine anapigana na Russia, Belarus, Iran, north Korea,na mataifa mengine mengi,
[emoji298]Belarus' government, led by dictator Alexander Lukashenko, gave Russia 131,582 tons of ammunition, according to an investigative project of Belarusian journalist Anton Motolko.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Huoni kama unajitukana chief? Tunaomba na wewe urekebishe statement yako, usiseme Ukraine anapigana!!!! Taja NATO, UKRAINE na washirika wake wote! Utakuwa umeepuka tusi la ujinga!Bila aibu Kuna wajinga wanasema Ukraine anapigana na Russia pekee !
Ukraine anapigana na Russia, Belarus, Iran, north Korea,na mataifa mengine mengi,
[emoji298]Belarus' government, led by dictator Alexander Lukashenko, gave Russia 131,582 tons of ammunition, according to an investigative project of Belarusian journalist Anton Motolko.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app