kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Mchicha WA NYOKWEEE 🙄🤣🤣🤣🙄Hata mbuyu ulianza kama mchicha.Kuanza kukomboa vijiji ndio ndio Mwanzo wa kukomboa wilaya na mikoa!
Kuna kitu nashindwa kuelewa, naona kama Ukraine wanakomboa maeneo kiulaini sana,zile battles na mikikimikiki kama ya bakhumut hatusikii ..Kuna tatizo!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Tatizo kweli lipo.
Hapo wanatengenezewa net. Ili wajae wauliwe kwa mkupuo.
really juzi tu wamejaa wamepigwa uko wapi wewe?As if ukraine ni wajinga, hiyo ni style ya kizamani sana
As if ukraine ni wajinga, hiyo ni style ya kizamani sana
Ni bora umejiuliza, sijui na Ukraine wanajiuliza pia? Isije ikawa kuna mtego!Kuna kitu nashindwa kuelewa, naona kama Ukraine wanakomboa maeneo kiulaini sana,zile battles na mikikimikiki kama ya bakhumut hatusikii ..Kuna tatizo!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app