jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
Schoz alisema atampigia Putin simu sijui anataka kuomba msamaha baada ya kipigo kitakatifu kwa leopard zake.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani vita ya wiki moja tu anaomba vifaru vingine.vimeenda wapi walivyopewa.
[emoji722][emoji722][emoji722]Ukraine's Foreign Ministry has called on Germany to transfer more tanks and other armored vehicles for the counteroffensive
How come ? Why ?[emoji722][emoji722][emoji722]
Haitabadilisha kitu.[emoji94] President Volodymyr Zelensky said on June 11 that the International Criminal Court had already launched an investigation following Russia's destruction of the Kakhovka dam in Kherson Oblast on June 6.
Hakuna namna nyingine.Rais wachina Xi Jinping
anasema Waache Kulaumu China Kuhusu Mgogoro wa Ukrein
anasema Haijamsaidia Chochote Urusi Lakini Ikifikia Maamuzi yakumsaidia Mungu Hata Wasaidia Wao.
Anasema Karibu Dunia Nzima Ipo Inamsaidia Ukrein Dhidi ya Urusi
Pale watakapo Ona Kuna hatari ya Kuzuka kwa Vita Ya Dunia
hawata Sita Kuungana na Urusi moja kwa moja
Xi Jinping: “Stop blaming China. China does not help the Russian Federation, but if it decides to help, God will not help you. Almost the whole world helps Ukraine. If we see the threat of World War III, we will help the Russian Federation
Kwa mda tu Kama Ni kweli ila mafundi majeneza wapeleke mzigo karibu.Watu weweeeeeeeeeee!!
[emoji94] Ukraine's Armed Forces have liberated the village of Storozheve three kilometers south of Velyka Novosilka in Donetsk Oblast, the Tavriisk defense forces' press center reported on June 12.
Hata mbuyu ulianza kama mchicha.Kuanza kukomboa vijiji ndio ndio Mwanzo wa kukomboa wilaya na mikoa!
May be najadiliana na mtu ambaye, hafatilii yanayoendelea huko Ukraine.
Juzi tu hapo Mkuu wa Wagner PMC alisema kwamba Wagner PMC wameishiwa silaha na wanajiondoa kwenye maeneo. Then, Ukraine wakajaa, bila kujua kwamba ni mtego, wakachinjwa kama kuku.
Je, leo hii umesahau?
Vita in tactics nyingi sana. Its all about deception.
[emoji722][emoji722][emoji722]The Zaporizhia Front is now a big disinformation. For example, in the Novopavlovsk direction, the RF Armed Forces in one day recaptured all the positions previously occupied by the Armed Forces in the fields, and in some places they advanced further. At the same time, internal sources of the Armed Forces of Ukraine report that "they (the Armed Forces of the Russian Federation) in the Zaporozhye direction have significant losses."
Meanwhile, the RF Armed Forces in the Blagodatnoye, Storozhovoye, Urozhaynoye area repulsed all enemy attacks and positions previously occupied by the Armed Forces on the first line of defense[emoji722][emoji722][emoji722]
Counter-offensive imeferi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Putin: Чем я могу вам помочь, сэр?Schoz alisema atampigia Putin simu sijui anataka kuomba msamaha baada ya kipigo kitakatifu kwa leopard zake.
[emoji94] Ukraine's General Staff reported on June 12 that Russia had also lost 3,931 tanks, 7,636 armored fighting vehicles, 6,471 vehicles and fuel tanks, 3,746 artillery systems, 601 multiple launch rocket systems, 362 air defense systems, 314 airplanes, 299 helicopters, 3,307 drones, and 18 boats
Mzee...na wewe unaendelea na deception.Acha tuone kinachotokea kwenye uwanja..hayo mambo ya kuna vikosi vingine...visivyokuja je, una uhakika gani??You have no idea, huu mgogoro nimeufuatilia for very very long time. Let me put this hii vita ina deception kibao but dont you ever underrate ukraine forces.
Vilivyokuwa hapo havikuwa vikosi vya kuchukua eneo zaidi ni ku hold tu is why nguvu yao ilikuwa ndogo. Hivi vya sasa ndio vikosi vya kuchukua eneo.
Mkuu, baada ya kudai wameteka kajumba kamoja kwenye kijiji fulani, sasa wanatangaza kwamba ni rasmi wamo kwenye kaunta-often-sieve. hahaKwa hio mmekubali saiv mko kwenye counteroffensive sio .maana msije sema bdo pale tutaporusha picha za field [emoji23][emoji23]