July sio mbali bado nusu mweziMwezi July ya mwaka gani mkuu tunaomba tuweke wazi.
Vifaru vyote hivi vinalenga kuua wanadamu,duh,inasikitisha na kutisha kweli kweli.Wanadamu wamekuwa waovu sana.Si ajabu kwamba Mkuu wa Moderna amesema kwa kweli tunadukua "Programu ya Maisha."Vyuma vimetulia hapo tulii, kuna Banzoka anaweka vita na Russia kwa silaha za mkopo na kupewa.View attachment 2655694
Umshana umemehau Hapo alikazia matrekta.Hii ni aibu kubwa sana kwa Marekani na Nato maana silaha zao hata wiki 2 zimeshindwa kuvumilia uwanja wa vita.zinavumuliwa kama vile mabox[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haya sasa mnaojifanya wachambuzi, kina T-14 Armata na Himars njooni mtuambie hii ni nini[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2655667
NASIKIA KUNA MZIGO WA USA $4.8bl UPO NJIANI KWENDA UKRAINE [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
salute kwa RUSSIA
VP mkuu uko kwenu dola ipooHivi mmefatilia sarafu ya Russia, inapinduka imefikia 84 kutoka 58
Ya China imefikia 7.1 kutoka 6.5
2435 Mlimani City KadooVP mkuu uko kwenu dola ipoo
TUONGEE UKWELI TU unadhani kweli Ukraine na Wenzie wote NATO ambao wanapigana na mtu mmoja tu Russia araweza kuichukua Cremea??Ukraine wanataka kuimaliza hii mechi kabla ya mwezi July, wana matumaini ya kupewa wanachama wa NATO ikiwa watagain maeneo yao yaliopotea mfano CRIMEA.
Pia kugain kwao maeneo ndio kutawapa nguvu katika meza ya mazungumzo dhidi ya RUSSIA
mwezi July kuna mkutano wa NATO
RUSSIA FEDERATION....Habari ni kwamba hii inayoitwa "counter offensive" ilizimwa na RF Spetsnaz.
Sababu ya kuwatumia hao Spetsnaz ni kwamba, Ukraine walienda/walikuwa na very special drones za kutoka US (ni drone ndogo sana), kwa ajiri ya kufanya reconnaissance.
Sasa Russia walipopata hizo taarifa za uwepo wa hizo drones, wakazitamani. Ndio wakawatuma hao Spetsnaz kwenda kuwa neutralise hao magaidi wa Ukraine.
Ukraine wanasema hata hawafahamu nini kilichowatokea, ila walishangaa tu ghafla wapo mikononi mwa Spetsnaz na tayari wameporwa silaha.
Link hii hapa:
Siku nyingine usikurupuke kupost [emoji28][emoji1787][emoji16]Wahuni wanafukuza mwizi kimya kimya
View attachment 2655959