Kuna watu hapa wanasema 'Mungu awasaidie', hii narrative ya Mungu iko very compromised.
Biblia inasema Mungu aliwapa kibali wana wa Israel kuua na kuteketeza kila kilicho hai watapoingia Caanan kwani ni nchi yao ameshawapatia na hao waCaanan walikua wakiabudu miungu mingine, jambo ambalo lilimkera sana Mungu.
Leo Alqaeda and the likes wakiishambulia magharibi tunaambiwa ni magaidi, lakini wao husema ni vita dhidi ya makafir. Kuhalalisha ushoga ni ukafiri tosha haina mjadala.
Wadau hapa wanasema Mungu awasaidie Ukraine, wakati maandiko yanasema Tajiri ataongezewa na masikini atanyang'anywa hata hicho alichokuwa nacho. Utajiri unakwenda sambamba na ubabe, huwezi kuwa tajiri alafu ukawa mnyonge, utapukutishwa!
Lakini maandiko hayohayo yanasema akikupiga shavu la kushoto, mgeuzie na la kulia. Kwa maana hii ukiingia kichwakichwa kwenye haya maandiko utatoka kapa!
Waliotunga hivi vitabu walikuwa na IQ kubwa sana, maana ndio manifesto/ doctrine za mwanzo kabisa kuishape dunia.
China hawana huu ujinga na ukiuendekeza wanakumaliza (e.g uyghur society), Japan ndo kabisaa kila ofisi utakuta Shrine, India vilevile wanamiungu yao etc etc!
Msemo wetu unasema 'pilipili ya shamba inakuwashia nini?' wacha watu wapasuane adabu ipatikane!
BITHA NI BITHA MURA!!!