kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Bila shaka mkuuNdio zinazo shusha kinzal hypersonic?
Nimeeleza nadharia mbalimbali zilojitokeza baada ya kamanda wa majeshi ya Ukraine kukumbwa na madhila ya mashambulizi ya Russia.Mkuu!tuamini lipi mwanzo tuliambiwa kauawa(Kyiv) hivyo hakutakuwa na counterofensive,
pili tukaambiwa kajeruhiwa huko Kherson.
tatu tuliambiwa kuwa yupo nje ya nchi(Germany) anatibiwa,
leo unasema amejiweka kando kwa kutoelewana na Zelensky.
#Tatizo la propaganda ni kutokuwa stable!
So this is just an Indicative Estimate.Hii ni Jana tu, zaidi ya mia sita wamelambishwa mchanga 🥱🥱🥱🥱View attachment 2662124
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Vifurushi vinaenda mkuu wala hakuna anayekataa lakini jeshi liliopo uwanja wa vita ni la Ukraine, jambazi akiingia nyumban kwako kukuibia ukapiga kelele jiranzi lazima watatoka kukupa msaada, sasa wako watakaotoka mapanga, nondo, tufali nk ili kumshughulikia jambazi, ndivyo anavyoshughulikiwa Putin dikteta huyuVifurushi vya marekani vinaenda kufanya nn? Wewe hujaona Kuna kila Aina za silaha kutoka Nchi zote za NATO kama unabisha taja Nchi moja ya NATO ambayo haijapeleka silaha Ukraine.
Taja Nchi ya NATO ambayo haijapeleka silaha Ukraine mbona unazunguka?Vifurushi vinaenda mkuu wala hakuna anayekataa lakini jeshi liliopo uwanja wa vita ni la Ukraine, jambazi akiingia nyumban kwako kukuibia ukapiga kelele jiranzi lazima watatoka kukupa msaada, sasa wako watakaotoka mapanga, nondo, tufali nk ili kumshughulikia jambazi, ndivyo anavyoshughulikiwa Putin dikteta huyu
Ndio maana russia anapigika bila ya wanaume kuingia kwenye uwanja wa vita fullStoltenberg ndo aliyesema,
View attachment 2662051
Msikilize BANZOKA mwenzako alichosema, vita ni ya Russia vs NATO (Umoja wa nchi 30, dhaifu na oga)
Mkuu silaha zinaenda Ukraine bado ni silaha ndogo ndogo sana nyengine ni zile ambazo ulaya hazipo tena kwenye stock maana zimekaa sana na ku-expire usilalamike sana nimekupa issue ya jambazi aliyekuvamia na kukuibia nyumbani kwako si mbaya majira kuja kukupa msaadaTaja Nchi ya NATO ambayo haijapeleka silaha Ukraine mbona unazunguka?
Counter offensive imefeli pakubwa, Ukraine wanataka kuisitisha wakaulizane imekuajeCounter offensive hadi Nyie wamarekani mnaijua mlitegemea Mrussi hata jiandaa?
Ujinga ni mzigo,
Suprise waliyokutana nayo.....ni Russia kudefend screening zone.....
Walitegemea iwe rahisi.....
Ona sasa wanapoteza Units kabla hata hawajafikia defensive lines.....