jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
Majibu yatapatikana tutaanza na huyo Patriotic.Kuna Patriot kiboko ya kinzhal,Wala hatuna wasiwasi
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wewe Ni msemaji wa jeshi la Ukraine? Jeshi la Russia likiondoka Kiev si kwa nguvu ya jeshi la Ukraine Bali kwa makubaliano na mkataba uliofanyika na kusimamiwa na Turkey.Mkuu hizi silaha zinakuja kulingana na mahitaji, Ukraine baada vamizi kuvamia kwanza walianza kujihami kwa bunduki za mkono, baadae zikaja Stinjer na Javeline zikatamba sana mpaka vamizi akatimua zake Kyiv wanajesh kibao wa Russia wakapoteza maisha., sasa kadri ambavyo Russia wanakuja silaha kali na mahitaji ya silaha ya Ukraine ikawa yanaongezeka ndio mapaka kuja hizo kufikia hizo Patriotic systerms kwa sababu Urusi walitumia sana anga kuua watu Ukraine.,
Kumbuka vita haikuanza kwa drons Urusi ndio walikodi drons kutoka Iran ndio na wao wakabadilishiwa na kuletewa hizo Lopard tanks za kutungua na Patriotic system ni kwa hatua tu. Lakini hizi silaha zote bado kuna silaha kali na kubwa zaidi ambazo ata sisi hatuzijui kwa sababu nitakupa mfano nchi nying za ulaya wanaendelea kutoa silaha hizo hizo ambazo wewe unaona ni kubwa lakini zipo out of stock, Nchi kama Ujerumani, Finland, France nk zote wanatoa silaha ambazi hazina tena muda matumizi lakini zinawatesa Russia nafkiri unaskia huko Ukrain wanavyorejesha miji yao
Unaweza kututajia hapa silaha Kali hizo za Russia? Maana mlisema anatumia tanks za enzi za usoviet na mlisema Hana silaha hebu zitaje tuone ukali wake ukilinganisha na zile NATO na US.Mkuu hizi silaha zinakuja kulingana na mahitaji, Ukraine baada vamizi kuvamia kwanza walianza kujihami kwa bunduki za mkono, baadae zikaja Stinjer na Javeline zikatamba sana mpaka vamizi akatimua zake Kyiv wanajesh kibao wa Russia wakapoteza maisha., sasa kadri ambavyo Russia wanakuja silaha kali na mahitaji ya silaha ya Ukraine ikawa yanaongezeka ndio mapaka kuja hizo kufikia hizo Patriotic systerms kwa sababu Urusi walitumia sana anga kuua watu Ukraine.,
Kumbuka vita haikuanza kwa drons Urusi ndio walikodi drons kutoka Iran ndio na wao wakabadilishiwa na kuletewa hizo Lopard tanks za kutungua na Patriotic system ni kwa hatua tu. Lakini hizi silaha zote bado kuna silaha kali na kubwa zaidi ambazo ata sisi hatuzijui kwa sababu nitakupa mfano nchi nying za ulaya wanaendelea kutoa silaha hizo hizo ambazo wewe unaona ni kubwa lakini zipo out of stock, Nchi kama Ujerumani, Finland, France nk zote wanatoa silaha ambazi hazina tena muda matumizi lakini zinawatesa Russia nafkiri unaskia huko Ukrain wanavyorejesha miji yao
Leo ndiyo umekubali Artyomovsk umechuliwa? Polecity of Bakhmut
Unaweza kututajia hapa silaha Kali hizo za Russia? Maana mlisema anatumia tanks za enzi za usoviet na mlisema Hana silaha hebu zitaje tuone ukali wake ukilinganisha na zile NATO na US.
UK hana impact...aweke sanctions milele..tena anasaidia wezi wa Russia-Oligarch...wasiibe hizo hela na kupeleka UK-Ndo maana hata Putin alisema hawaonei huruma waliozuiliwa pesa zao hasahasa UK...badala ya kuzirudisha ndani- wao wanapeleka nje...hii ni loss kwa matajiri wa Urusi lkn ni advantage kwa Serikali ya Urusi na Putin mwenyewe...Britain brings in laws to keep sanctions against Russia until compensation paid to Ukraine
The UK has introduced legislation that will allow it to keep sanctions against Russia in place until Moscow pays compensation to Ukraine.
"As Ukraine continues to defend itself against Russia's invasion, the terrible impacts of Putin's war are clear. Ukraine's reconstruction needs are – and will be – immense," Foreign Secretary James Cleverly said.
"Through our new measures today, we’re strengthening the UK's sanctions approach, affirming that the UK is prepared to use sanctions to ensure Russia pays to repair the country it has so recklessly attacked," he added.
==========================
Huyu Supa-pawa wa mchongo hachomoki safari hii, kabanwa mbavu pande zote.
https://news.sky.com/story/ukraine-...d-putin-12541713?postid=6071717#liveblog-body
Ni kichaa tu anayeweza kufikiri urusi anaweza kuzuiwa na NATO nzimaBritain brings in laws to keep sanctions against Russia until compensation paid to Ukraine
The UK has introduced legislation that will allow it to keep sanctions against Russia in place until Moscow pays compensation to Ukraine.
"As Ukraine continues to defend itself against Russia's invasion, the terrible impacts of Putin's war are clear. Ukraine's reconstruction needs are – and will be – immense," Foreign Secretary James Cleverly said.
"Through our new measures today, we’re strengthening the UK's sanctions approach, affirming that the UK is prepared to use sanctions to ensure Russia pays to repair the country it has so recklessly attacked," he added.
==========================
Huyu Supa-pawa wa mchongo hachomoki safari hii, kabanwa mbavu pande zote.
https://news.sky.com/story/ukraine-...d-putin-12541713?postid=6071717#liveblog-body
Kama wanachama wa NATO wataamua kuzipeleka, zitaenda tu.Putin amewakaribisha mpeleke F-16 ukraine!Ila kaweka wazi iwapo zitatumika kwenye combat halafu zinarudi base nje ya Ukraine basi zitachomewa huko huko!
NATO ni kubwa sana kuzuia Urusi, ni sawa na kuua mbu kwa kutumia rungu, labda useme Ukraine.Ni kichaa tu anayeweza kufikiri urusi anaweza kuzuiwa na NATO nzima
Acha uongo unakosoa upa de wa Urusi, yaani hata haijifichi kujua upande wako!Mkuu!si kwamba watu wanajari neutrality yangu,hapana!isipokuwa naweka wazi public watu wawe aware kuwa hata michango yangu haifungamani au hichagizwi na upande fulani,hiyo ndio nia haswa!
Mkuu nakosoa hoja yeyote kutoka kwa yeyote ninapoona inafaa!
Mkuu!Zipo,kuna Hungary,Austria kuna Bulgaria,Romania,Luxenbourg nk.Taja Nchi ya NATO ambayo haijapeleka silaha Ukraine mbona unazunguka?
Mkuu!Liko wazi kuwa ukraine hajapokea siraha za hatari kama;Taja silaha kubwa kubwa ambazo NATO wanazo hazijaenda Ukraine.
Mkuu!Hizo siraha si ndogo ila zimepelekwa kwa kiwango kidogo.Patriots ad 3,challeger 14,leopard 100,abraham 30(not deployed till now),himars 30,Unataka kusema leopard battle tanks Ni ndogo? Challenger, na abram Ni ndogo je MiG 29 Ni ndogo? Himars Ni ndogo? Unataka kuaminisha JF kuwa hata patriotic Ni silaha ndogo? Haupo serious Kama vipi jitoe kwenye huu Uzi.
Mkuu!Labda umesahau kuwa Urusi anatumia siraha za kisasa kama creselet rases air defence,S-400 triumph,pantsir ad,pia anatumi meli vita huko black sea kurusha makombora,pia anatumi SU-34,SU-35,MIG-31K kurusha hypersonic misille,Unaweza kututajia hapa silaha Kali hizo za Russia? Maana mlisema anatumia tanks za enzi za usoviet na mlisema Hana silaha hebu zitaje tuone ukali wake ukilinganisha na zile NATO na US.
Wambie wapeleke tu zikachomwe moto tena kwa remote tu ya Russia the living and real super power.Mkuu!Liko wazi kuwa ukraine hajapokea siraha za hatari kama;
Aviations-apache,suber cobra,F-22,F-35,F-16,B 52H,REAPER,PREDATOR DRONE,
Misille,atacm,long range ballistic missile and cruise missile(
ADs kama AEGIS ASHORE,THAAD nk
Naval assets-battle ship,frigates,destroyer nk.
Hizi ni baadhi tu ila kuna nyingi(nimejibu roughly na typically kulingana na swali lako)
Kwa hiyo mabosi wako NATO ni waongo pale waliposema Russia anaishiwa na anatumia silaha za kizamani tena zenye ufanisi kidogo.Mkuu!Labda umesahau kuwa Urusi anatumia siraha za kisasa kama creselet rases air defence,S-400 triumph,pantsir ad,pia anatumi meli vita huko black sea kurusha makombora,pia anatumi SU-34,SU-35,MIG-31K kurusha hypersonic misille,
Pia anatumia makombora ya masafa marefu na yakisasa kama kh-22,zircon,kh-47 dagger,karibr,iskander missiles.pia anatumia vifaru vyakisasa kama T-90,T-80,T-72,BMP-3 IFV or APC.
Mkuu!labda hujanielewa,mwanze ilisemekana Zelensky kampoteza baada ya kutofautiana katika namna ya kuendesha vita(hapa kabla ya mashambulizi ya Urusi)Nimeeleza nadharia mbalimbali zilojitokeza baada ya kamanda wa majeshi ya Ukraine kukumbwa na madhila ya mashambulizi ya Russia.
Fuatilia uzuri kinoandikwa.