mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Kamikaze ni hatari sana.hii imewafanya Nato na Marekani kujitafakari upya kuhusu silaha zaoWajerumani wamebaki hoi Kwa teknolojia mpya ya mrusi wa kugeuza vifaru kuwa droni za kujitoa mhanga na kuangamiza kabisa maadui zao.
View attachment 2663989
The Russians are using kamikaze tanks!
The Germans at Bild are outraged. These Russians have completely lost their minds. They make drones out of captured tanks and send them to enemy positions without getting out of the trench, to inflict damage, and, well, to mine their territory in the process.
The Wall Street Journal writes: This comes at a time when Kiev is forced to suspend its counteroffensive in the south of the country due to heavy losses of Western armored vehicles.
Kipigo Cha siku moja tu hicho.Portugal will soon hand over 14 more M113 armored personnel carriers and 9 towed 105-mm howitzers to Ukraine.
In total, Portugal has handed over 45 M113 vehicles to Ukraine.
Join our telegram channel for more videos - link in comments
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Counteroffensive ya kwanza imefeli tunasubiri ya pili ya F16Mkwara mwingine wa Mr. Bean - Endapo Crimea itambuliwa na makombora ya masafa marefu kutoka US na UK, basi watakiona cha mtema kuni... amedadavua.. UKraine yasema itayakomboa majimbo yake yote yaliyotekwa ikiwemo Crimea.
Russia has accused Ukraine of planning to attack annexed Crimea with long-range United States and British missiles and warned it would retaliate if that happened.
Russian Defence Minister Sergey Shoigu told a meeting of military officials on Tuesday that Moscow possesses information that Ukraine plans to strike Crimea with US-supplied HIMARS long-range rocket systems and British-supplied Storm Shadow cruise missiles.
“The use of these missiles outside the zone of our special military operation would mean that the United States and Britain would be fully dragged into the conflict and would entail immediate strikes on decision-making centres in Ukraine,” Shoigu said.
Kyiv, which says it is battling for its survival in a war of colonial conquest, said it wants to reclaim all of its territory, including Crimea, the home of Russia’s Black Sea naval base.
Nawachora hawa wakina kipanya wanavyopiga kelele humu, Russia hajawahi kutarget makazi ya watu wala social infrastructures ambyo haitumiki kijeshi kama wanavofanya ukraine. But daily zelensky na watu wake wanajizima data eti russia kashambulia residential area.Russia alitaadhalisha kwamba ataanza kupiga zile decision making centres. Ukraine wakadhani ni utani.
Akatoa mifano mitatu TU!!:
1. Akapiga decision centre ya NATO iliyopo 80m chini ya ardhi (NATO officers wakafia humo)
2. Akapiga Military Intelligence HQs - Akamuua yule mkuu wa MI (wanasema amefia German wakati akipata matibabu)
3. Wakapiga Military Planning Centre - Alikuwapo Mkuu wa Majeshi, wakamuulia humo na mpaka sasa hajaonekana tena.
Sasa hivi viongozi wote waliobakia wanaishi kama digidigi. Muda mwingi wapo Poland.
....will not halt the liberation of Ukraine...
Wee vipi kwani vinapakiwa kwa mtumbwi? umelala sana kiongoziDuuu nyie waongo Sana. Hivi unajua km moja Ina Meter ngapi?
Sisi tuna deal na kauli za babako putin halafu akizidiwa tunazileta hapa., kwa mfano jana Defence minister wa Russia amesema kwamba Ukraine, US na Britain wana mpango wa kushambulia Crimea kwa Himars, Shadow weapon akasema jambo ambalo wakijaribu itakuwa ni full escalation kwa nchi ya uengereza na US kuhusika hivyo atajibu mapigo kwenye hizo nchi.Kilaza namba moja wewe...hebu lete andiko au link yoyote ambayo Putin alisema siku 3 zinamtosha kumaliza operations!!!
ndio maana nimekuambia kajiupdate kwanza ndio uje humu...halafu inaonyesha ww ni mgeni humu...hz hoja zako wenzako walishashindwa humu kitambo na wakasanda...!!!
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
We mshamba una deal na vyombo gani vya habari vya kimataifa wakati hata maneno rahisi kabisa ya kingereza yanayotolewa na viongozi wa Urusi unashindwa kuyaelewa!Sisi tuna deal na kauli za babako putin halafu akizidiwa tunazileta hapa., kwa mfano jana Defence minister wa Russia amesema kwamba Ukraine, US na Britain wana mpango wa kushambulia Crimea kwa Himars, Shadow weapon akasema jambo ambalo wakijaribu itakuwa ni full escalation kwa nchi ya uengereza na US kuhusika hivyo atajibu mapigo kwenye hizo nchi.
Sasa subiri wewe uone namna Crimea itakavyoshambuliwa halafu atakavyoufyata kushambulia marekani au uengereza,
Mimi sijiskii fahari kuwa hapa jf na deal na vyombo vikubwa habari vya ulimwengu sio huu mtandao wa Africa mashariki sana huko kwenu gongolamboto, shwain
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Achana nae maana inaonekana lugha ni changamoto kwake.We mshamba una deal na vyombo gani vya habari vya kimataifa wakati hata maneno rahisi kabisa ya kingereza yanayotolewa na viongozi wa Urusi unashindwa kuyaelewa!
“The use of these missiles outside the zone of our special military operation would mean that the United States and Britain would be fully dragged into the conflict and would entail immediate strikes on decision-making centres in Ukraine,” Shoigu said.
Ni wapi katika hili tamko waziri wa ulinzi wa Russia anaongelea kuzishambulia Uk na Usa? Punguza ujuaji wa kishamba
[emoji375][emoji375][emoji419][emoji419][emoji419]We mshamba una deal na vyombo gani vya habari vya kimataifa wakati hata maneno rahisi kabisa ya kingereza yanayotolewa na viongozi wa Urusi unashindwa kuyaelewa!
“The use of these missiles outside the zone of our special military operation would mean that the United States and Britain would be fully dragged into the conflict and would entail immediate strikes on decision-making centres in Ukraine,” Shoigu said.
Ni wapi katika hili tamko waziri wa ulinzi wa Russia anaongelea kuzishambulia Uk na Usa? Punguza ujuaji wa kishamba
Tukisema pro Ukraine mazuzu tutakuwa tumekosea kweli.ebu niambie ni waziri wa nchi gani amesema hayo maneno ya kushambulia UK na USA ?Sisi tuna deal na kauli za babako putin halafu akizidiwa tunazileta hapa., kwa mfano jana Defence minister wa Russia amesema kwamba Ukraine, US na Britain wana mpango wa kushambulia Crimea kwa Himars, Shadow weapon akasema jambo ambalo wakijaribu itakuwa ni full escalation kwa nchi ya uengereza na US kuhusika hivyo atajibu mapigo kwenye hizo nchi.
Sasa subiri wewe uone namna Crimea itakavyoshambuliwa halafu atakavyoufyata kushambulia marekani au uengereza,
Mimi sijiskii fahari kuwa hapa jf na deal na vyombo vikubwa habari vya ulimwengu sio huu mtandao wa Africa mashariki sana huko kwenu gongolamboto, shwain
Yaani hata siku mbili hazijapita wameshaanza kulalamika.
Biden amtaja Xi kuwa 'Dikteta' siku moja tu baada ya mazungumzo ya Beijing https://bbc.in/3CKKh0p
Sisi tuna deal na kauli za babako putin halafu akizidiwa tunazileta hapa., kwa mfano jana Defence minister wa Russia amesema kwamba Ukraine, US na Britain wana mpango wa kushambulia Crimea kwa Himars, Shadow weapon akasema jambo ambalo wakijaribu itakuwa ni full escalation kwa nchi ya uengereza na US kuhusika hivyo atajibu mapigo kwenye hizo nchi.