kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Warusi mashine zao nyingi ni roho ya paka. Juzi kuna Ka-52 iliendelea kupiga kazi wakati imeshambuliwa mkia umekatikaHiki kifaru Cha Mrusi si Cha dunia hii. Pamoja na kukutana na vilipuzi (mines) na kupigwa mabomu kibaao ,lakini kilikuwa kinaendelea kupiga kazi kama Kawa.
View attachment 2664452
The Russian T-90M tank, having received several hits and explosions on mines, continues to fire and advance on the Bandera fortification.
#source
Join Slavyangrad chat. Your opinion matters.
@Slavyangrad
Join SLG 🔺 Intelligence Briefings, Strategy and Analysis, Expert Community
Mchawi lugha[emoji1255][emoji1099]Ukraine and the European Investment Bank signed a Memorandum on allocating €840 million for Ukraine,
These funds will be used to reconstruct schools, hospitals, water supply infrastructure, transport networks, and other facilities destroyed or damaged due to Russian aggression.
[emoji328]: Ukraine's Ministry of Community, Territory and Infrastructure Development
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mzee Biden mzigo unagonga na kurudi ndani.Hii ngoma acha mashoga wachezee sharubu za Putin shauri yao.
View attachment 2664541
[emoji635] Putin First @IntelRepublic
Putin announces new Sarmat intercontinental ballistic missiles (ICBM) will soon be ready for deployment.
Sarmat ICBM weighs 100 tonnes (for comparison, the US made LGM-30 Minuteman is 35 tonnes) with a range of 18,000km.
This allows it to carry around 15 warheads, up to 750kt. (For comparison - the bomb US dropped on Hiroshima was 15kt.) This would be enough to wipe out a country the size of France. It can also carry hypersonic missiles, rendering most missile defence systems ineffective.
Russia Ina Mambo Mengi ya kushangaza dunia hii kisayansi tuombe uzima tuendelee kuyaona yaani.Hiki kifaru Cha Mrusi si Cha dunia hii. Pamoja na kukutana na vilipuzi (mines) na kupigwa mabomu kibaao ,lakini kilikuwa kinaendelea kupiga kazi kama Kawa.
View attachment 2664452
The Russian T-90M tank, having received several hits and explosions on mines, continues to fire and advance on the Bandera fortification.
#source
Join Slavyangrad chat. Your opinion matters.
@Slavyangrad
Join SLG [emoji832] Intelligence Briefings, Strategy and Analysis, Expert Community
Kipanya muulize leopard ameweka wap?“I’m proud that today we’re announcing a multiyear commitment to support Ukraine’s economy, and over the next three years, we will provide loan guarantees worth $3 billion,” UK Prime Minister Rishi Sunak stated in his opening address at the Ukraine Recovery Conference in London.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Uraàaaaaaaaa [emoji635]Naomba T14 Armata , HIMARS na kp kipanya44 mshirikiane kudadavua hii strategy mpya ya Russia. Kuhusu posho baada ya kazi, wala hata msijali. Mtapewa tanker 1 la mafuta na gesi kila mmoja.
Ameipigia lini na wapi?Ata sikuelewi, Iran unayoizungumzia ndio kwanza anaipigia magoti US kuondolewa vikwazo
Mbona kama wamelazimishwaIN VIDEO: ‘IN UKRAINE, THERE ARE QUEUES AT MILITARY ENLISTMENT OFFICES’ – ZELENSKY
Tazama video kwenye link hapa Chini muone msululu wa wanaojitolea kujiunga na jeshi la Ukraine. Hii ni taarifa ya tarehe 19.06.2023
View attachment 2664108
In Video: 'In Ukraine, There Are Queues At Military Enlistment Offices' - Zelensky
On February 24, 2022, President of Ukraine Volodymyr Zelensky signed decrees on general mobilization and the introduction of martial law...southfront.org
Counter offensive ikazimwa na "Alligator"
Ha ha ha haaaa!!!"They burn quite well."
Lugha babaWe mshamba una deal na vyombo gani vya habari vya kimataifa wakati hata maneno rahisi kabisa ya kingereza yanayotolewa na viongozi wa Urusi unashindwa kuyaelewa!
“The use of these missiles outside the zone of our special military operation would mean that the United States and Britain would be fully dragged into the conflict and would entail immediate strikes on decision-making centres in Ukraine,” Shoigu said.
Ni wapi katika hili tamko waziri wa ulinzi wa Russia anaongelea kuzishambulia Uk na Usa? Punguza ujuaji wa kishamba